Rais Magufuli akitembelea maeneo yenye mawe ndani ya Ikulu ya Chamwino, Dodoma

Wewe sio mzalendo
 

Mzee baba mbona povu kama lote, katika koment ya mshikaji mbona sio chuki yoyote. Hu noz, huenda mnajuana.


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Magufuli! Moto mwingi acha kabisa! Ila anapendwa na wananchi wake!
 
Reactions: Ole
Dunia nzima kwa sasa viongozi wana haha na huu ugonjwa na sio tu kwenye kutibu bali pia kuokoa uchumi. Viongozi wana kazi mbili kwa sasa kwanza kuzuia kuenea kwa ugonjwa na pili kuahakikisha wana okoa uchumi au wanazuia uchumi usianguke zaidi.

Huu sio muda kabisa wa Mkuu wa nchi kupiga picha akiwa amelala juu ya mawe, hiki ni kipindi kigumu sana kwa nchi nyingi.

Washauri wa Mkuu jalibuni kushauri mkuu kwamba wakati huu kuna mambo aanapaswa kuyaepuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kueleweshwa, hivi hiyo ikulu ya Chamwino ipo wilaya ya Chamwino au ipo mjini pale Dodoma ila jina tu ndio la Chamwino?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…