Kinacho endelea Venezuela ni zaidi ya unavyo yaelewa mataifa ya mabepari.
Ni kweli ila ni siasa nzuri. Kama ataweza kutuweka kwenye matumaini miaka 10 tukikondolea mimacho kisichokuja basi atakuwa mwanasiasa mzuri
Kwa Elimu ipi?Je watanzania waliendelea baada ya kupewa hiyo misaada? Ili tuendelee inabidi tuwe "sooooooooooo broke" ili akili ije tujitegemee kwa kodi zetu kama walio endelea - waliokuwa wanatupa hiyo misaada. Misaada inadumaza. Hatuitaki. Afadhali kukopa.
Hata wangeomba kuununua, unao?? Mbona Kenya wananunua sana tu
Hata wasipo chukua kwao nchini mwako vipo?, hayo ni mapatano ya kibiashara na hiyo ni biashara na miradi mingi iliyopo nchini huo ndiyo mwelekeo wake mwenye nacho ndiye mwenye maamuzi na kwa mutumiaji ni kuangalia faida na hasara ya maamuzi yako. Swali la msingi ni kujiuliz tunafaidika kwa maamuzi hayo au tuaingia hasara?Wakikupa shilingi 100 hao wadau wa maendeleo unaowasema kisha ukalipa mishahara watu wao wanaokuja kwa majina ya expert 60% ya hiyo 100 kisha wakafanya manunuzi kwa hiyo hiyo 100 tena vifaa toka zilikotoka 30& na kisha ukawapa misamaha ya kodi kwa bidhaa zao zinazoingia hapa ndani utabaki na nini? Ni bora kubaki hauna ukajua hauna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu mjuwe kibepari hamjambo! Heshimu mawazo ya wengine! Na hata hiyo lugha uliotumia nikuhakikishie tu ninaimanya kuliko wewe! Heshimu usiowajua kwani ni faida kwako mara zote.What is this nonsense??
Kalime inafanya nini mijini kama huna kazi au shughuli ya kukuingizia pato. Usiwe kupe. Kuwa kule ni umasikini. Wewe mlalamikaji ndiye unayeleta umasikini katika nchi yetu. Kupe mkubwa wewe. Hata haibu huna!Tatizo ni Jiwe.
Tuna raisi wa hovyo kweli.
Anajifanya mzalendo lakini maneno na matendo yake yanaiharibu nchi.
#JiweMustGo
Namshukuru baba yangu kwa kunihimiza niende shule. Shule imenifanya nione mengi ya ulimwengu. Kusema kweli elimu ni ufunguo wa maisha. Nina uhakika ungejitahidi shuleni ungepata nafasi ya kwenda kusoma kwa wenzetu, huko ndiyo ungejua nini maana ya kodi kwa Taifa.Reli na miradi mingine uliyoitaja haitakamilika wakati wa Magufuli. Akilazimisha hatalipa mishahara. Siku hizi TRA wanapiga simu hadi jumapili "kukumbusha" kulipa kodi. Na bado jiwe anataka hadi wauza mchicha na mishikaki walipe kodi (nionyesheni mchoma mishikaki wa kawaida atakaepata revenue inayovuka 4m kwa mwaka).
Hiyo ni dalili ya kushindwa. And fail he will surely do just that.
Kupe ni nyie mnaofisadi fedha za umma pumbavu, wezi wa fedha za umma 2.4T.Kalime inafanya nini mijini kama huna kazi au shughuli ya kukuingizia pato. Usiwe kupe. Kuwa kule ni umasikini. Wewe mlalamikaji ndiye unayeleta umasikini katika nchi yetu. Kupe mkubwa wewe. Hata haibu huna!
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe umepata exposure nje?? embicile hata kujenga hoja huwezi unaropoka tu.Mkuu yaani katika watu ambao wamekaa nje kwa mda mrefu mpaka wana sahau kiswahili kama ulivyodai, basi wewe ni mtanzania wa kwanza ambaye amewahi kuandika upuuzi usio semeka ambao sijawahi kuusikia. Yaani kukaa kote huko Amerika umeshindwa kupata exposure kiasi kwamba unaandika madudu humu kama mtu ambaye hata Msumbiji hajafika?
Inasikitisha sana na nimekuwa very very disappointed. Yaani kuishi kote nje bado unatumia neno msaada. Yaani unaona ufahari kuwa na uhusiano mzuri na wazungu kwa ajili ya misaada?
Haya naomba nitolee list ya maendeleo ambayo hiyo misaada imefanya kwa watanzania. Una maanisha msaada ya wazungu ambao kwao ni jobless kuja kwetu kwa misingi ya kuwapatia kazi. Au una maanisha misaada ya NGOs ambao wanakuja Tanzania na Afrika kwa ujumla kuja kuishi maisha ya kifahari na kujiingiza katika sexual Business. Kuchezesha porno filams na dada zetu na shangazi zetu?
Ningekushauri kwa niaba ya watu ambao wamepata elimu nje na kufanya kazi nje kwa mda mrefu, watu ambao wameyaelewa maisha na dhamira za wazungu, kufutilia mbali hoja yako. Inatudhalilisha sisi tulio pata exposure. Kwa mtu anaye wajua wazungu kwa jinsi walivyo kuwa the Killing machines nisinge tegemea niger kama wewe kuwasifu kiasi hicho na kuwaona wao ndiyo kila kitu. Yaani bila wao hakuna kitu kinawezekana.
Jiamini kijana usiwe na mchecheto wa kukata tamaa ya maisha na kuji positon wewe mwenyewe katika kundi la watu ambao wako inferior. Kuto jiamini kwako ndiyo kitu ambacho kinawapa wao nguvu na kujiona kuwa wao ni Superior. Nakuomba usiruhusu mambo kama hayo.
Sasa kama wewe ambaye umeishi na wazungu na kuyajua maisha yao unakuwa mwoga na kuwababaikia wazungu kiasi hicho sasa yule mtanzania ambaye hajawajua wazungu na mifumo yao ya kutaka kuwa na control over our lives atafanya nini?
Nitarudi tena!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena kubwa saba na ndiyo maana sitaki nchi yetu tuwategeme wazungu. Wazungu ni nani kwanza? Wao ni mungu? Nionyeshe kitu ambacho mzungu ameki gundua ambacho kina malengo ya kuwafanya binadam waishi kwa usalama na amani. Kwa taarifa yako mzungu yuko hatarini kujijengea Kabudi lake mwenyewe.Na wewe umepata exposure nje?? embicile hata kujenga hoja huwezi unaropoka tu.
Wewe kweli bwege msaada kwako ni NGO??
Wale World Bank waliompa bwana wenu kidole cha kati kwenye hela ya barabara na US300M za elimu ni NGO??
Na mngekuwa amuwashobokei asingeenda kuuza sura nao kwenye TV kudanganya atapewa hela only to be disgaced the next day.
Na kule EU unajua Kabudi na Mahiga walitumwa kufanya nini??
Wewe usiyeweza hata kufikiria kwa akili zako unaropoka kama kasuku ndio utaweza kujitegemea.
Its obvious wewe ni mpumbavu fulani unayejifanya mjuaji kwa usichokijua.
Eti 'Ushahidi msikilize Askofu Ngwajima' hovyo kabisa wewe. Hii ndio exposure yako?? What makes his word absolute?? Is he a god?? Pathetic.Tena kubwa saba na ndiyo maana sitaki nchi yetu tuwategeme wazungu. Wazungu ni nani kwanza? Wao ni mungu? Nionyeshe kitu ambacho mzungu ameki gundua ambacho kina malengo ya kuwafanya binadam waishi kwa usalama na amani. Kwa taarifa yako mzungu yuko hatarini kujijengea Kabudi lake mwenyewe.
Ushahidi msikilize Askofu Ngwajima. Unamwona yeye mwenda wazimu sasa lakini kizazi cha baadae watayakumbuka maneno yake.
Wayahudi nao wali mkebei na kumsulubu Yesu, lakini sasa wanayaona yale ambayo Prophet wao aliwaonya. Lait wang emsikiliza yeye hivi sasa wangekuwa na amani ya milele.
Zaidi ya hayo mimi najiamini na ninauhakika tunaweza. Ilimu tunayo na maarifa pia, kinachokosekana ni ushujaa wa kuamua mambo mazito na kufanya kinachotakiwa kufanya.
Fine mkuu naomba maana ya Bank. Bank ni kitega uchumi kama kampuni yeyote ile ambayo ina afanya biashara. Kwa hiyo World Bank inapo toa hela haitoi kwa ajili ya kuipa nchi kama msaada bali ni mkopo ambao tunaurudisha kwa riba.
Umejiuliza kwa nini nchi za kiafrika ndizo zenye madeni makubwa zaidi kwenye World Bank kama huo ni msaada?
Nchi yenye rasilimali nyingi kama Tanzania au Kongo hatustahili kuwa nchi tegemezi na wala hatuhitaji mikopo ya World Bank wakati tuna weza uza dhahabu na almasi zetu.
Wewe kama ungekuwa unauwezo wa kutoa hoja nzuri basi nategemea unaweza tambua tofauti kati ya msaada na mkopo. Wewe unafikiri duniania kuna nchi ambazo zinatoa tu misaada bure bila wao kunufaika. Ebu jiulize kwa nini sisi wapokeaji wa misaada hatuendelei lakini watoaji wanazidi kuendelea? Ukijua hilo nafikiri ndiyo utajua nani anajua kutoa hoja nzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
But this is also never going to happen maana ukweli unajulika kuwa yeye ndio muasisi mkuu wa hiyo sheria.
Umetengeneza wewe au? Mimi niliandika toka kichwani sikujua kuna catoon imeshachorwa!!!!!Kauli mbovu za Magufuli
There can be a sliver lining in every cloud, you know!I'm glad you reached that conclusion, because my mind was already tickled on the words you had written prior to this statement.
Najua uandishi wa namna hii. Nadhani background yako itakuwa kwenye 'political science,' International relations, au vitu vya namna hiyo.
Unaifanyia vyema taaluma yako. Kuna vijana wengi sana hapa JF wanao'spire' kwenye taaluma kama hizi za "Uchambuzi". Ingewafaa sana wakachota mtindo huu unaoutumia wa kuwasilisha hoja zenye 'ushahidi na takwimu' zinazotakiwa.
Kwa mara nyingine ninakupongeza sana.
Natamani sana kwenda mstari kwa mstari na ku-'critic' uliyoyaandika hapa.; lakini (uvivu aisee!) ni mbaya sana kwa sasa.
Lakini hebu nikupe sampuli tu ya mambo ambayo mimi ningependa uyazingatie.
Anzia mchango Na. 7 katika mada yako hii, kwa mfano. Wapo wapiga vigelegele wengi sana wa namna hiyo. Sasa hivi wanakwambia 'misaada inalemaza', kana kwamba hawakujua hivyo toka siku zote. They woke up one morning recently and found out that 'misaada' inatunyima kujiendeleza wenyewe. As if, we cannot deploy our self-reliance efforts irrespective of having the help! And after all, why do we have to wait until misaada are no longer forthcoming to realise that we needed to be self-reliant in the first place?
Look. WB wanataka kukupa msaada (concessional loan) $300 million uendeleze elimu yako ili uweze kujitegemea mwenyewe. Then you turn around and say, "missada inatulemaza."
My take on this whole saga la misada: acha tunyooke aisee, possibly when the going gets tough, our minds will be jolted to be serious on who we chose to be our leaders.
Na bado hujazungumzia sana kuhusu 'personal attributes' za a mtoa kauli ya mwisho kama ,kupenda kusifiwa, kulewa madaraka; ingawaje umegusia 'ego'. Usidhani maneno na sifa kama 'bulldozer' ni kitu kidogo. It means a lot in the realm of some individuals.
There can be a sliver lining in every cloud, you know!
Misamiati yetu mhimu: Pesa ipo, miradi yote itatekelezwa kwa pesa yetu wenyewe. That will be wonderful when it indeed happens -
Unadhani kati ya nchi zinazotuzunguka, nchi gani ina shida ya umeme wenu? Msumbiji wana Kabola Bassa Dam, Zambia wa Kariba Dam, Congo wana Inga Dam, jifunze capacities na uwezo wa mabwawa ya wenzako kabla hujabwatuka. Hata Uganda kwenye Owen wanakuzidi umeme wao.Usiogope, nchi hii inaweza kuwadonor country soon haswa baada ya kulijenga hilo bwawa kubwa sana la Stigla's goji. Tutakuwa na umeme mwingi kiasi cha kuwauzia nchi zote za EAC na Sadec hadi Africa Kusini. Tutapata mapesa mengi hadi wazungu mabeberu waje kutukopa badala ya kwenda kuomba China iwasaidie. Msiogope; We are riding toward the laiti pathi