Lutandagula
JF-Expert Member
- Apr 8, 2018
- 1,762
- 2,154
Fafanua kivipi? Taswira ya Tanzania imerudi kama ilivyokuwa 1989 au una maana gani? Hebu jaribu Kudadavua!Mimi nadhani anajua anachokifanya si bure, tulipofikia panasikitisha, tumerudishwa nyuma miaka zaidi 30.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namshukuru baba yangu kwa kunihimiza niende shule. Shule imenifanya nione mengi ya ulimwengu. Kusema kweli elimu ni ufunguo wa maisha. Nina uhakika ungejitahidi shuleni ungepata nafasi ya kwenda kusoma kwa wenzetu, huko ndiyo ungejua nini maana ya kodi kwa Taifa.
Nchi zote zilizoendelea zimendelea kwa ajili ya kodi. Wewe unfikiri hizo nchi zinapata wapi pesa za kugharimia miradi na matumizi mbali mbali? Kodi iko hata kwenye Biblia na Koran. Kodi sio kwa ajili ya Magufuli kodi ni kwa ajili yako na vizazi vyako baadae.
Wenzako wanso soma bure wanajua muhimu wa walipa kodi.
Kuto kujua vitu kweli ni umasikini wa akili!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani kati ya nchi zinazotuzunguka, nchi gani ina shida ya umeme wenu? Msumbiji wana Kabola Bassa Dam, Zambia wa Kariba Dam, Congo wana Inga Dam, jifunze capacities na uwezo wa mabwawa ya wenzako kabla hujabwatuka. Hata Uganda kwenye Owen wanakuzidi umeme wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kidogo kidogo naona akili inakukaa sawa, baada ya mwaka utakuwa kwenye right track.Usiogope, nchi hii inaweza kuwadonor country soon haswa baada ya kulijenga hilo bwawa kubwa sana la Stigla's goji. Tutakuwa na umeme mwingi kiasi cha kuwauzia nchi zote za EAC na Sadec hadi Africa Kusini. Tutapata mapesa mengi hadi wazungu mabeberu waje kutukopa badala ya kwenda kuomba China iwasaidie. Msiogope; We are riding toward the laiti pathi
Fungua dirisha utaona mwanga kama sio wa jua utakuwa wa mbala mwezi.Mimi ndio kwanza sielewi mkuu atatufikisha wapi maana mwenzake alitufanta tuone mwanga wa kuwa middle income country lakini ujuaji wake hatika mambo ambayo hayajui kazima taa sasa ni giza.
Mwitikio wa andiko langu wiki lililopita katika mtandao huu wa JF ulinipa hamasa kuendelea kuandika zaidi jinsi Rais Magufuli anavyoendelea kulipotezea mwelekeo taifa. Wiki hii naona nigusie kwa undani jinsi Magufuli anavyoharibu uhusiano mzuri sana uliokuwepo kati ya Tanzania na wadau mbalimbali wa maendeleo. Awali ya yote naomba mnisamehe, kiswahili changu si kizuri kama ambavyoningependa kiwe, ila anendela kujifunza;
Sio siri kwamba Tanzania ilijulikana kama kipenzi cha wadau wa maendeleo(darling of development partners); Ukiangalia twakimu za misaada iliyokuwa inaletwa na wahisani katika nchi za Africa, Tanzania ilikua haikosi katika 10 bora katika nchi za Africa. Umoja wa Ulaya, Benki ya Dunia, Marekani, China, Ufaransa, Uingereza, Ujerumani nchi zote hizi zilikua zinawekeza kwa nguvu kubwa katika maendeleo ya watanzania.
Magufuli alipoingia madarakani, mambo yakaanza kubadilika, mwanzoni walikua wanamvumilia sababu alionekana kama ni kiongozi mpya mwenye ‘zeal’ ya kupigana na rushwa ila siku zilivyokuwa zinazidi wakaona hali inazidi kuwa mbaya hususani katika utawala wa sheria, demokrasia na haki za binadamu.
Magufuli alipotangaza kuzuia wasichana wa kike kutoendelea na masomo yao kisa ya mimba alipiga msumari mkali katika mahusiano na hawa watu. Na hii ndio sababu husikii hawa development partners hawainvest kwenye sekta ya elimu, maana wakitoa msaada au wakiwakopa Tanzania, watanekana na wao wapo complicit kwenye hilo katazo. Athari zake tunaziona kwa jinsi hali ya elimu inavyozidi kuporomoka siku baada ya siku, madarasa hayatoshi, walimu hawashugulikiwi madai yao vizuri maana mzigo wa kuiinua hii sekta nyeti kwa Taifa limebaki tu kwa serikali.
Benki ya dunia
Katika wahisani ambao sikutegemea (hata Magufuli mwenyewe hakutegemea) wangeweza kuigomea serikali ni Benki ya dunia maana ndio ilikua taasisi iliyobaki ambayo ilikua inaipa serikali kiburi pamoja na kuwepo kwa ukiukwaji wa haki za kiraia.
Kwa msiofahamu wahisani wanachangia asilimia 40% ya bajeti ya Tanzania na Benki ya dunia inachakia takribani asilimia 10%(kubwa kuliko mdau yeyote) na hivyo kuifanya kuwa Tanzania’s biggest partner in development.
Benki ya dunia ilianza kuichoka serikali walipofanya marekebisho kwenye sheria ya twakimu ya mwaka 2018 ambayo inazuia taasisi yeyote kuto-desseminate statistics bila kupata verification kutoka NBS. Kazi kubwa za Benki ya Dunia ikiwemo repoti na miradi zinategema takwimu halisi, hii sheria mpya iliweka vikwazo vilivyoifanya WB kutofanya kazi zao freely and professionally
Tulisikia mwaka jana mwezi wa 11 jinsi benki ya dunia livyositisha mkopo wa $300million wa elimu (takribani billion 700tsh) kwa sababu ya sera ya serikali ya kutoruhusu hawa watoto kurudi shuleni. Magufuli anathamini na anajua mchango wa benki ya dunia katika maendeleo ya nchi na ndio maana alikubali kukutana na WB Regional Vice President wanegotiate kuhusu huu mkopo. Katika maongezi yao (japo hayajawekwa wazi) walikubaliana kuandaa program ambayo italipiwa na serikali itakayowawezesha watoto wa kike wenye mimba kupata elimu, kama mnakumbuka wakati ule nchi ilibujikwa katika sakata la ushoga lililoanzishwa na makonda, waliliongelea na Magufuli alimuhaidi kuwa amna mtu atakae kamatwa kwa ushoga na atamkataza Mkuu wa Mkoa kuongelea kuhusu swala hilo tena, tatu, alikubali kuendelea kuwa na maongezi juu ya ile sheria ya takwimu.
Cha kushangaza, siku chache tu baada ya kukubaliana nao, Magufuli wakati wa uzinduzi wa Library ya UDSM, akawakashifu kwa kuwapongeza waChina kwa kuwaambia kuwa, “misaada yenu hayana masharti, sio kama mashirika mengine”. Huyo makamu wa Rais alisikitiswa na kauli hii maana ilionyesha kuwa serikali haikuwa na commitment katika makubaliano hayo.
Ni kwa sababu hiyo mpaka leo hii mkopo haujatolewa na sidhani kama utaolewa. Sio hiyo tu, Benki ya Dunia imei-demote ofisi yake ya Tanzania. Benki ya Dunia inakuaga na Country Director- wa sasa ni ndugu Bella Bird lakini kuanzia June 2019, amabapo mda wake utaisha nchi itaanza kuwa na country manager.
Kuwa na country manager inamaanisha kuwa na portfolio ya nchi itapunguzwa. Miradi yote inayohusiana na P4R – Program for results, kwenye elimu, maji, umeme, yote inafutwa, maana huwezi kupata results without credible statistics.
Pamoja na balozi Mahiga na Prof Kabudi kwenda Brussels kuipigia magoti umoja wa ulaya bado wameendelea kusitisha msaada wao nchini.
Yamkini inabidi tutafute mbinu za kujitegemea lakini tupende tusipende bado tunawahitaji hawa wadau wa maendeleo. Hata Europe yenyewe iliendelea kwa kusaidiwa na Marekani through the Marshall Plan policy iliplay a big part in the reconstruction of Europe baada ya vita ya pili ya dunia.
Serikali ifanye nini
Kwanza wathibiti matamko ya Rais; Kuwaita mabeberu hadharani, kutangaza kwamba nchi ipo katika vita ya uchumi na kusema kwamba misaada yao inamasharti. Ushawahi kuona wapi jirani yako anakuja kukusaidia alafu unaanza kumtukana, unadhani ataendelea kukusaidia?? Sio lazima akubaliane nao ila awaheshimu, kiufuppi ajifunze lugha za kidiplomasia zaidi
Pili, na hii itakua ngumu kwake, aruhusu watoto wenye mimba waendelee na masomo yao, hii itabuild confidence kubwa sana kwa hawa wahisani. But we all know this is never going to happen maana Rais alishasema na ninanamnukuu, “katika utawala wangu watoto wenye mimba hawatarudi shuleni, siwezi somesha wazazi”. Kwa mtu mwenye ego kubwa kama Rais wetu, hawezi reverse such a statement, it will possibly be the biggest political miracle in our country’s history.
Tatu, Asisgn into law mswada wa vyama vya siasa. Hii itakua ushindi kwakwe in both the internal and external politics.. kwanini; 1. Itanesha kwamba kama Rais anaheshimu demokrasia ya vyama vingi, pili itabuild trust kwa wananchi kuwa rais kumbe anauwezo wa kutosign sheria mbaya hata iliyopitishwa na wabunge wa vyama vyake (hatausishwa na hii sheria kabisa), tatu, He will for once be on the positive side of the coverage of the international media. Tutaona makala mabali mbali za nje zitakavyomsifu jinsi kwa huo uwamuzi… But this is also never going to happen maana ukweli unajulika kuwa yeye ndio muasisi mkuu wa hiyo sheria.
Najua wengi mtasema kuwa “hatuitaji misaada yao” “serikali ina pesa” ila ukweli msioujua ni kuwa the government is sooooooooooo broke, na ndio maana unaona kuna msisitizo mkubwa hivi karibuni wa kulipa kodi na kufanya ulipaji kodi kuwa rahisi kwa watanzania.
Kama mnadhani tunaweza kuendelea bila ushirikiano na wadau wa maendeleo angalieni hali ya Zimbabwe wanaoenda nunua mkate na begi limejaa noti… Serikali ibadilishe mwelekeo, kabla mwelekeo haujatubadilisha… kuweni na siku njema
Mkuu usipende kuandika vitu ambavyo huna uhakika navyo maadam unaandika tu. Na usipende kuwazarau watu usio wajua maadam wamexhangia hoja. Hilo naomba ujifunze. Usilete usomi wako wa UDSM au UDOM ukafikiri wewe unaelewa mengi wakati kumbe hujui kitu.Eti 'Ushahidi msikilize Askofu Ngwajima' hovyo kabisa wewe. Hii ndio exposure yako?? What makes his word absolute?? Is he a god?? Pathetic.
Kama umeifuatilia history vizuri utaona kuwa si kweli kuwa elimu imeletwa na wazungu. Elimu ilikuwepo Afrika kabla ya wazungu hawaja anza kuwa na ustaarabu huo. "Akhenaten was an ancient Egyptian king of the 18th Dynasty and son of Amenhotep III. and Queen Teje. He raised the god Aton in the form of the solar disc to God over all the gods of Egypt and consecrated to him his new capital Achet-Aton." Huu ni uthibitisho kuwa elimu na dini zilianza Afrika Egypt. Kwa hiyo usitake kunieleza mimi mambo ambayo nayajua tayari. Hofu yangu kubwa katika mjadala wangu ni maswala yanayo tokea sasa Ulaya na Amerika ambayo wewe inaonekana huyajui. That is the fact!!Hao wazungu unao wadharau kwa ujinga wako ndio waliokuletea elimu na hiyo dini ya Ngwajima wako.
Unajua unaniudhi sana kwa hoja kama hii? Unawajua wazungu wewe? Unajua harufu za mavi yao?Na hao wazungu ndio wanaosaidia miradi mingi ya maendeleo Africa na hapa kwetu Tanzania kwa asilimia kubwa sana tu na ndio maana Jiwe aliuza sura mbele yao na kuwatuma Kabudi na Mahiga EU to his disgrace.
Wewe ukiona Bank unafikiria CRDB?? Unazijua huduma za fedha za world bank?? Why not any other bank then??
FYI world bank wanatoa mikopo ya riba ndogo na misaada kwa nchi zinazoendelea, jiongeze usikariri.
Kutoendelea kwa nchi za Afrika na Tanzania ikiwa mmoja wao ni kwa sababu za ufisadi wa viongozi kama Jiwe, wabinafsi wasio na vision.
Serikali yako inaposhindwa ku account 2.4T alafu wewe unasema wazungu kama sio upumbavu ni nini??
Kumbe na wewe ni zero brain kama Bashite what a waste of space.Mkuu usipende kuandika vitu ambavyo huna uhakika navyo maadam unaandika tu. Na usipende kuwazarau watu usio wajua maadam wamexhangia hoja. Hilo naomba ujifunze. Usilete usomi wako wa UDSM au UDOM ukafikiri wewe unaelewa mengi wakati kumbe hujui kitu.
Kama wewe umekariri herufi za kigiriki, namba za kiarabu na kirumi na misamiati ya lugha ya waingereza UDSM au UDOM basi elewa kuwa wenzako tumefanya hivyo kama wewe machimboni. Soma hoja uielewe alafu uchangie. Acha zarau za Tundu Lissu!!
Kama kuna mtu mwingine una mjua Tanzania ambaye ameelezea kutoweka kwa race ya wazungu hadharani zaidi ya Askofu Ngwajima basi naomba niambie, nitakuwa sija mtendea haki. Lakini kama huna basi vile vile jaribu kunielewa nini nimemaanisha.
Kwa vile hiyo mada ya Askofu Ngwajima katika hoja yako uliyo changia umeipa kipao mbele sana na kutumia nguvu zaidi basi naomba tumsikilize tena alichokisema:
Kama umenielewa vizuri mimi nimechallenge kitendo cha kuwaona wazungu ndiyo kila kitu. Kuna watanzania wengi, na nafikiri kulingana na mchango wako kwenye hoja yako, wewe ukiwa mmoja wao wanaamini kuwa wazungu wanaweza solve all the problems we do have. Kwa kuwathibitishia kuwa wazungu sio Mungu na hawawezi solve matatizo yote ambayo binadam tuna kabiliana nayo, ndiyo maana nikaleta hiyo mada ya Askofu Ngwajima.
Kama utakuwa unabusara ya kuelewa mambo vizuri utatambua kuwa sija m-relate yeye na mungu na wala sija m-regard yeye kama Prophet, isipokuwa maelezo aliyo yatoa kwenye clip yake hiyo kuhusu dynamic inayotokea kwa wazungu Ulaya na Amerika hiyo ni fact!
Kama wewe unaishi au kujihusisha na mambo yanayo tokea Ulaya au Amerika utanielewa nina maanisha nini. Mimi kwa taarifa yako Tanzania ni kwangu na Ulaya pia na kwa vile nimeishi mda mrefu sana huko na kuwa na mke wa kizungu nina affinity kubwa na mambo yanayotokea Ulaya. Kwa hayo nimempa Askofu Ngwajima right kwa kauli yake na haja kosea kitu.
Lengo langu la ku-relate hii mada ya Askofu Ngwajima katika sifa ambazo watanzania mnazitoa kwa wazungu ni kutaka kuonyesha kuwa sio kila kitu ambacho mzungu anakifanya kina faida katika maisha ya binadam mambo mengi ambayo amesha gundua so far yamekuwa destructive kwa maisha ya binadam. Kwa vile yeye ameintroduce democracy, hiyo democracy ndiyo inayo wafanya wazungu washindwe kuamua mambo muhimu na mazito ya maendeleo yao na vile vile kizazi chao kufa. That is the fact!!
Wao kwa vile kwao kila kila kitu ni demokrasia na demokrasia ndiyo inayo wafanya wao wasizaane na wachache kujilimbikizia pesa, badala ya hizo pesa kuzipeleka kwa watu wasio nazo ili kuzitumia katika maswala ya utafiti ya mazingira ili kukabiliana na matatizo yanayo ikabili dunia kwa sasa.
The Global warming kwa mfano na polution ya hewa kutokana na combustion ya fuel kwenye turbines za denge na power plants na vile vile engines za magari, meli na mashine tofauti na kwa nchi zenye baridi generators zao which are resulting into the climate change na immigrants kutoka Afrika kutafuta riziki zao Ulaya na hatimaye wengi wao kupoteza maisha yao kwenye Mediterranean Sea na wa Latin-Amerika wanao vamia USA na Canada ni challenges ambazo dunia inakabiliana nazo na ambazo wazugu hawana solutions yet. Wao wenyewe ndiyo wame mess up!
Cha kusikitisha ni kuwa wao badala yake wanazitumia hela zao kucheza kamali kwenye stock exchange. Matendo haya ndiyo ungeya consider "Pathetic" na sio reference yangu!
Kama umeifuatilia history vizuri utaona kuwa si kweli kuwa elimu imeletwa na wazungu. Elimu ilikuwepo Afrika kabla ya wazungu hawaja anza kuwa na ustaarabu huo. "Akhenaten was an ancient Egyptian king of the 18th Dynasty and son of Amenhotep III. and Queen Teje. He raised the god Aton in the form of the solar disc to God over all the gods of Egypt and consecrated to him his new capital Achet-Aton." Huu ni uthibitisho kuwa elimu na dini zilianza Afrika Egypt. Kwa hiyo usitake kunieleza mimi mambo ambayo nayajua tayari. Hofu yangu kubwa katika mjadala wangu ni maswala yanayo tokea sasa Ulaya na Amerika ambayo wewe inaonekana huyajui. That is the fact!!
Unajua unaniudhi sana kwa hoja kama hii? Unawajua wazungu wewe? Unajua harufu za mavi yao?
Sikiliza kijana kama kuna makosa yalitokea kwenye serikali za nyuma basi ni kuhusu swala hili la kuwategemea wazungu kwa maisha yetu. Sahau illusions za kufikiri mzungu atakupa wewe misaada bure kwa misingi ipi? Akupe wewe kama nani?
Sisi watanzania tuna mgogoro mkubwa na Europeans. Europeans na wazungu wengine walizoea kuja kwetu kufanya mikataba na sisi ambayo ilitukandamiza sisi. Wazungu hao hao wamekuja kutaka kufanya mkataba wa EPA na sisi, kama umeusikia, Wanasheria wetu wakiongozwa na Prof. Paramagamba Kabudi wameishauri serikali ikaatae kutia saini mikataba huo kwa sababu kuna vipengee ambavyo haviko sawa. Kwa sababu hiyo ndiyo maana wamezira. Waache wazire! Mambo ya kunyanyaswakila wakati yamepitwa na wakati, sisi tunataka vijana wetu kama wewe muwe mnatembea kufua mbele mkijiamini kwa kuwa na uwezo wa kuwa creative na innovative na watu wenye Vision. Na sio uwoga uwoga kila wakati, hautusaidii kitu. Tutawatumikia wazungu mpaka lini? Naomba angalia hiyo Clip utajua nini maana ya kuwa kiongozi.
Mkataba wa EPA ni mkataba wa kitapeli - JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajielewa kweli wewe? SGR awamu ya kwanza kwenda Dar mpaka Morogoro ndio inajegwa na serikali, awamu zengine wanakopa, Hiyo Ubungo Interchange ni mkopo kutoka benki ya dunia, na hata hiyo miradi mengine inakwama maana serikali imekosa hela, kwenye kuhamia Dodoma mbona Rais hajahamia na alisema kabla mwaka 2018 kuisha atakua ameshahamia?? Hizo
Unajielewa kweli wewe? SGR awamu ya kwanza kwenda Dar mpaka Morogoro ndio inajegwa na serikali, awamu zengine wanakopa, Hiyo Ubungo Interchange ni mkopo kutoka benki ya dunia, na hata hiyo miradi mengine inakwama maana serikali imekosa hela, kwenye kuhamia Dodoma mbona Rais hajahamia na alisema kabla mwaka 2018 kuisha atakua ameshahamia?? Waliohamia wanakaa kwenye majengo ya vyuo?? Unaongea nnn sasa?? Do your research kabla ya kuja kuargue?
Usicheze na watu wenye elimu dunia. Elimu yako ya Manzssse itumie huko huko Manzssse. Unachekesha sana. Kama kukariri vitu na sisi tunaweza vile vile mtu wa CRDB Bank na World Bank.Kumbe na wewe ni zero brain kama Bashite what a waste of space.
Huna hoja just full of shite.
Nimesha malizana na wewe. Mtoto unaye nuka maziwa ya kucheua. Huna kifua cha kushindana na watemi kwa hoja. Akili ndogo![emoji57]Punguani tu wewe huna elimu yeyote. Just a waste of space.
Moja-huyu ndugu yetu prioriy yake kubwa kama umemfuatilia vizuri ni madaraka yake na ccm yake,so nchi yetu ikikosa chochote he doesnt care as long yupo madarakaniMwitikio wa andiko langu wiki lililopita katika mtandao huu wa JF ulinipa hamasa kuendelea kuandika zaidi jinsi Rais Magufuli anavyoendelea kulipotezea mwelekeo taifa. Wiki hii naona nigusie kwa undani jinsi Magufuli anavyoharibu uhusiano mzuri sana uliokuwepo kati ya Tanzania na wadau mbalimbali wa maendeleo. Awali ya yote naomba mnisamehe, kiswahili changu si kizuri kama ambavyoningependa kiwe, ila anendela kujifunza;
Sio siri kwamba Tanzania ilijulikana kama kipenzi cha wadau wa maendeleo(darling of development partners); Ukiangalia twakimu za misaada iliyokuwa inaletwa na wahisani katika nchi za Africa, Tanzania ilikua haikosi katika 10 bora katika nchi za Africa. Umoja wa Ulaya, Benki ya Dunia, Marekani, China, Ufaransa, Uingereza, Ujerumani nchi zote hizi zilikua zinawekeza kwa nguvu kubwa katika maendeleo ya watanzania.
Magufuli alipoingia madarakani, mambo yakaanza kubadilika, mwanzoni walikua wanamvumilia sababu alionekana kama ni kiongozi mpya mwenye ‘zeal’ ya kupigana na rushwa ila siku zilivyokuwa zinazidi wakaona hali inazidi kuwa mbaya hususani katika utawala wa sheria, demokrasia na haki za binadamu.
Magufuli alipotangaza kuzuia wasichana wa kike kutoendelea na masomo yao kisa ya mimba alipiga msumari mkali katika mahusiano na hawa watu. Na hii ndio sababu husikii hawa development partners hawainvest kwenye sekta ya elimu, maana wakitoa msaada au wakiwakopa Tanzania, watanekana na wao wapo complicit kwenye hilo katazo. Athari zake tunaziona kwa jinsi hali ya elimu inavyozidi kuporomoka siku baada ya siku, madarasa hayatoshi, walimu hawashugulikiwi madai yao vizuri maana mzigo wa kuiinua hii sekta nyeti kwa Taifa limebaki tu kwa serikali.
Benki ya dunia
Katika wahisani ambao sikutegemea (hata Magufuli mwenyewe hakutegemea) wangeweza kuigomea serikali ni Benki ya dunia maana ndio ilikua taasisi iliyobaki ambayo ilikua inaipa serikali kiburi pamoja na kuwepo kwa ukiukwaji wa haki za kiraia.
Kwa msiofahamu wahisani wanachangia asilimia 40% ya bajeti ya Tanzania na Benki ya dunia inachakia takribani asilimia 10%(kubwa kuliko mdau yeyote) na hivyo kuifanya kuwa Tanzania’s biggest partner in development.
Benki ya dunia ilianza kuichoka serikali walipofanya marekebisho kwenye sheria ya twakimu ya mwaka 2018 ambayo inazuia taasisi yeyote kuto-desseminate statistics bila kupata verification kutoka NBS. Kazi kubwa za Benki ya Dunia ikiwemo repoti na miradi zinategema takwimu halisi, hii sheria mpya iliweka vikwazo vilivyoifanya WB kutofanya kazi zao freely and professionally
Tulisikia mwaka jana mwezi wa 11 jinsi benki ya dunia livyositisha mkopo wa $300million wa elimu (takribani billion 700tsh) kwa sababu ya sera ya serikali ya kutoruhusu hawa watoto kurudi shuleni. Magufuli anathamini na anajua mchango wa benki ya dunia katika maendeleo ya nchi na ndio maana alikubali kukutana na WB Regional Vice President wanegotiate kuhusu huu mkopo. Katika maongezi yao (japo hayajawekwa wazi) walikubaliana kuandaa program ambayo italipiwa na serikali itakayowawezesha watoto wa kike wenye mimba kupata elimu, kama mnakumbuka wakati ule nchi ilibujikwa katika sakata la ushoga lililoanzishwa na makonda, waliliongelea na Magufuli alimuhaidi kuwa amna mtu atakae kamatwa kwa ushoga na atamkataza Mkuu wa Mkoa kuongelea kuhusu swala hilo tena, tatu, alikubali kuendelea kuwa na maongezi juu ya ile sheria ya takwimu.
Cha kushangaza, siku chache tu baada ya kukubaliana nao, Magufuli wakati wa uzinduzi wa Library ya UDSM, akawakashifu kwa kuwapongeza waChina kwa kuwaambia kuwa, “misaada yenu hayana masharti, sio kama mashirika mengine”. Huyo makamu wa Rais alisikitiswa na kauli hii maana ilionyesha kuwa serikali haikuwa na commitment katika makubaliano hayo.
Ni kwa sababu hiyo mpaka leo hii mkopo haujatolewa na sidhani kama utaolewa. Sio hiyo tu, Benki ya Dunia imei-demote ofisi yake ya Tanzania. Benki ya Dunia inakuaga na Country Director- wa sasa ni ndugu Bella Bird lakini kuanzia June 2019, amabapo mda wake utaisha nchi itaanza kuwa na country manager.
Kuwa na country manager inamaanisha kuwa na portfolio ya nchi itapunguzwa. Miradi yote inayohusiana na P4R – Program for results, kwenye elimu, maji, umeme, yote inafutwa, maana huwezi kupata results without credible statistics.
Pamoja na balozi Mahiga na Prof Kabudi kwenda Brussels kuipigia magoti umoja wa ulaya bado wameendelea kusitisha msaada wao nchini.
Yamkini inabidi tutafute mbinu za kujitegemea lakini tupende tusipende bado tunawahitaji hawa wadau wa maendeleo. Hata Europe yenyewe iliendelea kwa kusaidiwa na Marekani through the Marshall Plan policy iliplay a big part in the reconstruction of Europe baada ya vita ya pili ya dunia.
Serikali ifanye nini
Kwanza wathibiti matamko ya Rais; Kuwaita mabeberu hadharani, kutangaza kwamba nchi ipo katika vita ya uchumi na kusema kwamba misaada yao inamasharti. Ushawahi kuona wapi jirani yako anakuja kukusaidia alafu unaanza kumtukana, unadhani ataendelea kukusaidia?? Sio lazima akubaliane nao ila awaheshimu, kiufuppi ajifunze lugha za kidiplomasia zaidi
Pili, na hii itakua ngumu kwake, aruhusu watoto wenye mimba waendelee na masomo yao, hii itabuild confidence kubwa sana kwa hawa wahisani. But we all know this is never going to happen maana Rais alishasema na ninanamnukuu, “katika utawala wangu watoto wenye mimba hawatarudi shuleni, siwezi somesha wazazi”. Kwa mtu mwenye ego kubwa kama Rais wetu, hawezi reverse such a statement, it will possibly be the biggest political miracle in our country’s history.
Tatu, Asisgn into law mswada wa vyama vya siasa. Hii itakua ushindi kwakwe in both the internal and external politics.. kwanini; 1. Itanesha kwamba kama Rais anaheshimu demokrasia ya vyama vingi, pili itabuild trust kwa wananchi kuwa rais kumbe anauwezo wa kutosign sheria mbaya hata iliyopitishwa na wabunge wa vyama vyake (hatausishwa na hii sheria kabisa), tatu, He will for once be on the positive side of the coverage of the international media. Tutaona makala mabali mbali za nje zitakavyomsifu jinsi kwa huo uwamuzi… But this is also never going to happen maana ukweli unajulika kuwa yeye ndio muasisi mkuu wa hiyo sheria.
Najua wengi mtasema kuwa “hatuitaji misaada yao” “serikali ina pesa” ila ukweli msioujua ni kuwa the government is sooooooooooo broke, na ndio maana unaona kuna msisitizo mkubwa hivi karibuni wa kulipa kodi na kufanya ulipaji kodi kuwa rahisi kwa watanzania.
Kama mnadhani tunaweza kuendelea bila ushirikiano na wadau wa maendeleo angalieni hali ya Zimbabwe wanaoenda nunua mkate na begi limejaa noti… Serikali ibadilishe mwelekeo, kabla mwelekeo haujatubadilisha… kuweni na siku njema
Hili la ushoga ni issue kubwa kwa wale masikini wa kipato na elimu hapa Tanzania. Umasikini wao umewafanya washindwe kuwaelewa wazungu.hakuna sehemu kalazimisha mtu yeyote awe shoga ila wanasema kama mtu mwenyewe ameamua kuwa shoga hana sababu ya kibugudhiwa maana kila mtu anauhuru wa kuamua how to use his or her body.Je kama watanzania hawawataki mashoga hao mashoga waliopo Tanzania wanaishi wapi?hatuishi nao majumbani mwetu?je walilazimishwa na wanzungu ili wawe mashoga?Kumbe rais alimpigia magoti mwakilishi wa Benki ya Dunia na kuridhia ushoga...!!!! Sasa mbona wanasema ni Lissu ndio aliridhia kupitia BBC's Hard talk?
Mimi nafikiri sio Magufuli wala Lissu anayeridhia ushoga ila wote wanajikuta kuwa "Victims of Circumstances". Wanajikuta wakiwa tightly cornered between Donors' Spear and People's Spear, sasa wakwepe upi hapo.
Naona huko tuendako hili swala litasumbua sana wale wanaotafuta dhamana ya watu kuongoza na naona litaachwa tu li-hang kama lile la machangudoa lilivyoachwa ila itakuwa ni wajibu wa wazazi kulea watoto wao wakiwa karibu sana na majengo ya ibada ili ku-control hili "Janga". No way.
Je unaweza kuwa sehemu ya jukwaa la fikra la wachumi wetu japo kwa muda ili kuokoa chombo chetu kizizame kiuchumi?Mwitikio wa andiko langu wiki lililopita katika mtandao huu wa JF ulinipa hamasa kuendelea kuandika zaidi jinsi Rais Magufuli anavyoendelea kulipotezea mwelekeo taifa. Wiki hii naona nigusie kwa undani jinsi Magufuli anavyoharibu uhusiano mzuri sana uliokuwepo kati ya Tanzania na wadau mbalimbali wa maendeleo. Awali ya yote naomba mnisamehe, kiswahili changu si kizuri kama ambavyoningependa kiwe, ila anendela kujifunza;
Sio siri kwamba Tanzania ilijulikana kama kipenzi cha wadau wa maendeleo(darling of development partners); Ukiangalia twakimu za misaada iliyokuwa inaletwa na wahisani katika nchi za Africa, Tanzania ilikua haikosi katika 10 bora katika nchi za Africa. Umoja wa Ulaya, Benki ya Dunia, Marekani, China, Ufaransa, Uingereza, Ujerumani nchi zote hizi zilikua zinawekeza kwa nguvu kubwa katika maendeleo ya watanzania.
Magufuli alipoingia madarakani, mambo yakaanza kubadilika, mwanzoni walikua wanamvumilia sababu alionekana kama ni kiongozi mpya mwenye ‘zeal’ ya kupigana na rushwa ila siku zilivyokuwa zinazidi wakaona hali inazidi kuwa mbaya hususani katika utawala wa sheria, demokrasia na haki za binadamu.
Magufuli alipotangaza kuzuia wasichana wa kike kutoendelea na masomo yao kisa ya mimba alipiga msumari mkali katika mahusiano na hawa watu. Na hii ndio sababu husikii hawa development partners hawainvest kwenye sekta ya elimu, maana wakitoa msaada au wakiwakopa Tanzania, watanekana na wao wapo complicit kwenye hilo katazo. Athari zake tunaziona kwa jinsi hali ya elimu inavyozidi kuporomoka siku baada ya siku, madarasa hayatoshi, walimu hawashugulikiwi madai yao vizuri maana mzigo wa kuiinua hii sekta nyeti kwa Taifa limebaki tu kwa serikali.
Benki ya dunia
Katika wahisani ambao sikutegemea (hata Magufuli mwenyewe hakutegemea) wangeweza kuigomea serikali ni Benki ya dunia maana ndio ilikua taasisi iliyobaki ambayo ilikua inaipa serikali kiburi pamoja na kuwepo kwa ukiukwaji wa haki za kiraia.
Kwa msiofahamu wahisani wanachangia asilimia 40% ya bajeti ya Tanzania na Benki ya dunia inachakia takribani asilimia 10%(kubwa kuliko mdau yeyote) na hivyo kuifanya kuwa Tanzania’s biggest partner in development.
Benki ya dunia ilianza kuichoka serikali walipofanya marekebisho kwenye sheria ya twakimu ya mwaka 2018 ambayo inazuia taasisi yeyote kuto-desseminate statistics bila kupata verification kutoka NBS. Kazi kubwa za Benki ya Dunia ikiwemo repoti na miradi zinategema takwimu halisi, hii sheria mpya iliweka vikwazo vilivyoifanya WB kutofanya kazi zao freely and professionally
Tulisikia mwaka jana mwezi wa 11 jinsi benki ya dunia livyositisha mkopo wa $300million wa elimu (takribani billion 700tsh) kwa sababu ya sera ya serikali ya kutoruhusu hawa watoto kurudi shuleni. Magufuli anathamini na anajua mchango wa benki ya dunia katika maendeleo ya nchi na ndio maana alikubali kukutana na WB Regional Vice President wanegotiate kuhusu huu mkopo. Katika maongezi yao (japo hayajawekwa wazi) walikubaliana kuandaa program ambayo italipiwa na serikali itakayowawezesha watoto wa kike wenye mimba kupata elimu, kama mnakumbuka wakati ule nchi ilibujikwa katika sakata la ushoga lililoanzishwa na makonda, waliliongelea na Magufuli alimuhaidi kuwa amna mtu atakae kamatwa kwa ushoga na atamkataza Mkuu wa Mkoa kuongelea kuhusu swala hilo tena, tatu, alikubali kuendelea kuwa na maongezi juu ya ile sheria ya takwimu.
Cha kushangaza, siku chache tu baada ya kukubaliana nao, Magufuli wakati wa uzinduzi wa Library ya UDSM, akawakashifu kwa kuwapongeza waChina kwa kuwaambia kuwa, “misaada yenu hayana masharti, sio kama mashirika mengine”. Huyo makamu wa Rais alisikitiswa na kauli hii maana ilionyesha kuwa serikali haikuwa na commitment katika makubaliano hayo.
Ni kwa sababu hiyo mpaka leo hii mkopo haujatolewa na sidhani kama utaolewa. Sio hiyo tu, Benki ya Dunia imei-demote ofisi yake ya Tanzania. Benki ya Dunia inakuaga na Country Director- wa sasa ni ndugu Bella Bird lakini kuanzia June 2019, amabapo mda wake utaisha nchi itaanza kuwa na country manager.
Kuwa na country manager inamaanisha kuwa na portfolio ya nchi itapunguzwa. Miradi yote inayohusiana na P4R – Program for results, kwenye elimu, maji, umeme, yote inafutwa, maana huwezi kupata results without credible statistics.
Pamoja na balozi Mahiga na Prof Kabudi kwenda Brussels kuipigia magoti umoja wa ulaya bado wameendelea kusitisha msaada wao nchini.
Yamkini inabidi tutafute mbinu za kujitegemea lakini tupende tusipende bado tunawahitaji hawa wadau wa maendeleo. Hata Europe yenyewe iliendelea kwa kusaidiwa na Marekani through the Marshall Plan policy iliplay a big part in the reconstruction of Europe baada ya vita ya pili ya dunia.
Serikali ifanye nini
Kwanza wathibiti matamko ya Rais; Kuwaita mabeberu hadharani, kutangaza kwamba nchi ipo katika vita ya uchumi na kusema kwamba misaada yao inamasharti. Ushawahi kuona wapi jirani yako anakuja kukusaidia alafu unaanza kumtukana, unadhani ataendelea kukusaidia?? Sio lazima akubaliane nao ila awaheshimu, kiufuppi ajifunze lugha za kidiplomasia zaidi
Pili, na hii itakua ngumu kwake, aruhusu watoto wenye mimba waendelee na masomo yao, hii itabuild confidence kubwa sana kwa hawa wahisani. But we all know this is never going to happen maana Rais alishasema na ninanamnukuu, “katika utawala wangu watoto wenye mimba hawatarudi shuleni, siwezi somesha wazazi”. Kwa mtu mwenye ego kubwa kama Rais wetu, hawezi reverse such a statement, it will possibly be the biggest political miracle in our country’s history.
Tatu, Asisgn into law mswada wa vyama vya siasa. Hii itakua ushindi kwakwe in both the internal and external politics.. kwanini; 1. Itanesha kwamba kama Rais anaheshimu demokrasia ya vyama vingi, pili itabuild trust kwa wananchi kuwa rais kumbe anauwezo wa kutosign sheria mbaya hata iliyopitishwa na wabunge wa vyama vyake (hatausishwa na hii sheria kabisa), tatu, He will for once be on the positive side of the coverage of the international media. Tutaona makala mabali mbali za nje zitakavyomsifu jinsi kwa huo uwamuzi… But this is also never going to happen maana ukweli unajulika kuwa yeye ndio muasisi mkuu wa hiyo sheria.
Najua wengi mtasema kuwa “hatuitaji misaada yao” “serikali ina pesa” ila ukweli msioujua ni kuwa the government is sooooooooooo broke, na ndio maana unaona kuna msisitizo mkubwa hivi karibuni wa kulipa kodi na kufanya ulipaji kodi kuwa rahisi kwa watanzania.
Kama mnadhani tunaweza kuendelea bila ushirikiano na wadau wa maendeleo angalieni hali ya Zimbabwe wanaoenda nunua mkate na begi limejaa noti… Serikali ibadilishe mwelekeo, kabla mwelekeo haujatubadilisha… kuweni na siku njema
Mkuu usipende kuandika vitu ambavyo huna uhakika navyo maadam unaandika tu. Na usipende kuwazarau watu usio wajua maadam wamexhangia hoja. Hilo naomba ujifunze. Usilete usomi wako wa UDSM au UDOM ukafikiri wewe unaelewa mengi wakati kumbe hujui kitu.