Mkuu usipende kuandika vitu ambavyo huna uhakika navyo maadam unaandika tu. Na usipende kuwazarau watu usio wajua maadam wamexhangia hoja. Hilo naomba ujifunze. Usilete usomi wako wa UDSM au UDOM ukafikiri wewe unaelewa mengi wakati kumbe hujui kitu.
Kama wewe umekariri herufi za kigiriki, namba za kiarabu na kirumi na misamiati ya lugha ya waingereza UDSM au UDOM basi elewa kuwa wenzako tumefanya hivyo kama wewe machimboni. Soma hoja uielewe alafu uchangie. Acha zarau za Tundu Lissu!!
Kama kuna mtu mwingine una mjua Tanzania ambaye ameelezea kutoweka kwa race ya wazungu hadharani zaidi ya Askofu Ngwajima basi naomba niambie, nitakuwa sija mtendea haki. Lakini kama huna basi vile vile jaribu kunielewa nini nimemaanisha.
Kwa vile hiyo mada ya Askofu Ngwajima katika hoja yako uliyo changia umeipa kipao mbele sana na kutumia nguvu zaidi basi naomba tumsikilize tena alichokisema:
Kama umenielewa vizuri mimi nimechallenge kitendo cha kuwaona wazungu ndiyo kila kitu. Kuna watanzania wengi, na nafikiri kulingana na mchango wako kwenye hoja yako, wewe ukiwa mmoja wao wanaamini kuwa wazungu wanaweza solve all the problems we do have. Kwa kuwathibitishia kuwa wazungu sio Mungu na hawawezi solve matatizo yote ambayo binadam tuna kabiliana nayo, ndiyo maana nikaleta hiyo mada ya Askofu Ngwajima.
Kama utakuwa unabusara ya kuelewa mambo vizuri utatambua kuwa sija m-relate yeye na mungu na wala sija m-regard yeye kama Prophet, isipokuwa maelezo aliyo yatoa kwenye clip yake hiyo kuhusu dynamic inayotokea kwa wazungu Ulaya na Amerika hiyo ni fact!
Kama wewe unaishi au kujihusisha na mambo yanayo tokea Ulaya au Amerika utanielewa nina maanisha nini. Mimi kwa taarifa yako Tanzania ni kwangu na Ulaya pia na kwa vile nimeishi mda mrefu sana huko na kuwa na mke wa kizungu nina affinity kubwa na mambo yanayotokea Ulaya. Kwa hayo nimempa Askofu Ngwajima right kwa kauli yake na haja kosea kitu.
Lengo langu la ku-relate hii mada ya Askofu Ngwajima katika sifa ambazo watanzania mnazitoa kwa wazungu ni kutaka kuonyesha kuwa sio kila kitu ambacho mzungu anakifanya kina faida katika maisha ya binadam mambo mengi ambayo amesha gundua so far yamekuwa destructive kwa maisha ya binadam. Kwa vile yeye ameintroduce democracy, hiyo democracy ndiyo inayo wafanya wazungu washindwe kuamua mambo muhimu na mazito ya maendeleo yao na vile vile kizazi chao kufa. That is the fact!!
Wao kwa vile kwao kila kila kitu ni demokrasia na demokrasia ndiyo inayo wafanya wao wasizaane na wachache kujilimbikizia pesa, badala ya hizo pesa kuzipeleka kwa watu wasio nazo ili kuzitumia katika maswala ya utafiti ya mazingira ili kukabiliana na matatizo yanayo ikabili dunia kwa sasa.
The Global warming kwa mfano na polution ya hewa kutokana na combustion ya fuel kwenye turbines za denge na power plants na vile vile engines za magari, meli na mashine tofauti na kwa nchi zenye baridi generators zao which are resulting into the climate change na immigrants kutoka Afrika kutafuta riziki zao Ulaya na hatimaye wengi wao kupoteza maisha yao kwenye Mediterranean Sea na wa Latin-Amerika wanao vamia USA na Canada ni challenges ambazo dunia inakabiliana nazo na ambazo wazugu hawana solutions yet. Wao wenyewe ndiyo wame mess up!
Cha kusikitisha ni kuwa wao badala yake wanazitumia hela zao kucheza kamali kwenye stock exchange. Matendo haya ndiyo ungeya consider "Pathetic" na sio reference yangu!
Kama umeifuatilia history vizuri utaona kuwa si kweli kuwa elimu imeletwa na wazungu. Elimu ilikuwepo Afrika kabla ya wazungu hawaja anza kuwa na ustaarabu huo. "Akhenaten was an ancient Egyptian king of the 18th Dynasty and son of Amenhotep III. and Queen Teje. He raised the god Aton in the form of the solar disc to God over all the gods of Egypt and consecrated to him his new capital Achet-Aton." Huu ni uthibitisho kuwa elimu na dini zilianza Afrika Egypt. Kwa hiyo usitake kunieleza mimi mambo ambayo nayajua tayari. Hofu yangu kubwa katika mjadala wangu ni maswala yanayo tokea sasa Ulaya na Amerika ambayo wewe inaonekana huyajui. That is the fact!!
Unajua unaniudhi sana kwa hoja kama hii? Unawajua wazungu wewe? Unajua harufu za mavi yao?
Sikiliza kijana kama kuna makosa yalitokea kwenye serikali za nyuma basi ni kuhusu swala hili la kuwategemea wazungu kwa maisha yetu. Sahau illusions za kufikiri mzungu atakupa wewe misaada bure kwa misingi ipi? Akupe wewe kama nani?
Sisi watanzania tuna mgogoro mkubwa na Europeans. Europeans na wazungu wengine walizoea kuja kwetu kufanya mikataba na sisi ambayo ilitukandamiza sisi. Wazungu hao hao wamekuja kutaka kufanya mkataba wa EPA na sisi, kama umeusikia, Wanasheria wetu wakiongozwa na Prof. Paramagamba Kabudi wameishauri serikali ikaatae kutia saini mikataba huo kwa sababu kuna vipengee ambavyo haviko sawa. Kwa sababu hiyo ndiyo maana wamezira. Waache wazire! Mambo ya kunyanyaswakila wakati yamepitwa na wakati, sisi tunataka vijana wetu kama wewe muwe mnatembea kufua mbele mkijiamini kwa kuwa na uwezo wa kuwa creative na innovative na watu wenye Vision. Na sio uwoga uwoga kila wakati, hautusaidii kitu. Tutawatumikia wazungu mpaka lini? Naomba angalia hiyo Clip utajua nini maana ya kuwa kiongozi.
Mkataba wa EPA ni mkataba wa kitapeli - JamiiForums
Sent using
Jamii Forums mobile app