Rais Magufuli amchenjia Makonda?

Na wewe unasadiki kama wewe ni Mkristo nakushauri soma sana Biblia Takatifu na kama Muislam ishike sana Quruan Tukufu kabla siku zako hazijaja kuwa mbaya namaanisha ukijaliwa kuwa mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikuona umuhimu wa Magufuli kulizungumzia hilo hadharani,wakati anajua hawezi kumfanya chochote,kuwahadaa watu ni kujishushia uaminifu
 
Kesho nasikia kipanya anataka chora kikatun kuhusu hii familia ya kolomije nasikia kaonywa vikali mambosasa
ugomvi wa baba na mwanawe kipenzi ni bora kukaa pembeni sisi wa kufukia tunaweza tukatimuliwa nyumbani buree
 
Kesho nasikia kipanya anataka chora kikatun kuhusu hii familia ya kolomije nasikia kaonywa vikali mambosasa
Lazima atachora tu...tena baba kambeba kwa na..huku dogo anapaka rangi kichwani...toto tukutu lile we acha tu...
 
Sikuona umuhimu wa Magufuli kulizungumzia hilo hadharani,wakati anajua hawezi kumfanya chochote,kuwahadaa watu ni kujishushia uaminifu
Kwa mwendo wa sasa inaonekana ni rahisi kwa Makonda kumchenjia Magufuli kuliko Magufuli kumchenjia Makonda.
 
Kwa mwendo wa sasa inaonekana ni rahisi kwa Makonda kumchenjia Magufuli kuliko Magufuli kumchenjia Makonda.
Inawezekana Makonda akawa mjanja zaidi ya Magufuli?kwa muda alioachwa afanye atakacho siwezi shangaa nikisikia kajichimbia mizizi imara ndani ya vyombo vya dora
 
Watu bwana, hiyo issue ni Makonda wakati akiwa Konda miaka 2000 ndo alipewa nauli na TASAF wakati wa Mkapa. Sasa watu wanashupaza shingo utafikiri imetokea makonda akiwa mkuu wa mkoa.
 
Nadhani enzi za Mkapa wakati huo Makonda alikuwa maskini kabisa na kama alipata hela za TASAF basi alistahili, sbb alikuwa na hali ngumu
 
Ni hivi hizo pesa za TASAF ni enzi ya Mkapa,Makonda alikuwa hohehahe hivyo akasaidiwa.Hizo pesa ilikuwa ni halali kwake kabisa ukilinganisha na mission za TASAF.Akipenda atarudisha tu maana kwa sasa ana uwezo.
Na ilikua nauli ya kwenda dodoma ,pengine haizidi hata milioni
 
Hiyo ilikuwa pongezi. A Pat on the wrist.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hanna lolote hapo. Magufuli ni Nduli Iddi Amin na Makonda nii Isaac Maliyamungu.
SASA MBONA MAGUFURI ANA MUOGOPA SANA BASHITE? MBONA BASHITE ANA MPANGIA MAGUFURI SHERIA? JIULIZE KWANINI BASHITE HUWA TUKANA MAWAZIRI WA MAGUFURI NA MAGUFURI ANAUFUATA?
 
JPM anamuogopa huyo dogo na hamna mtu mwenye jibu.
 
JPM anamuogopa huyo dogo na hamna mtu mwenye jibu.
Huu ndio ukweli wa mambo.

Kuna kitu kafanya naye kinampa status fulani iliyo katika level ambayo wanafizikia wanaita "singularity".

Singularity ni pale kanuni zote zinavunjika.

Magu anaweza kuwa mkali sana, anatumvua watu ndani ya dakika moka tu.

Lakini kwa Makonda kanuni zake zote za kutumbua zinavunjika.

Rejea issue ya Coulds FM. Mtu mwingine yeyote angetumbuliwa.

Rejea issue ya makintena kuingizwa bila kulipa kodi, pale Magu alihutubia kama mwanamke anayemsihi mume anayemoenda ambaye hataki kupewa talaka, yani ilikuwa kama anasema "jamani Makonda mbona uko hivyoo, mi nakuoenda halafubwewe unafanya uhuni, lipa kodi basi usiniletee balaa".

Makonda hata hakuomba msamaha.

Sasa hivi kwenye hili la TASAF Magu ni kama anasema kwa kubana pua "Jamani Makonda basi kama umeiba rudisha, nimeshakusamehe nakupenda sana sitaki uniacheee".

What's up with that?

Is Magufuli Makonda's bitch?

He surely looks like one.

Makonda ana siri gani ya Magufuli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…