white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Tatizo lenu kila jambo mnadhani ni siasa tu!! Ki uhalisia hayo magari kuyatunza ni gharama sana, sasa uwe na gari(chombo cha fundi) kila leo ni gereji, mnatumia mafungu mengine kugharamikia gari, si bora mbaki na baiskeri tu!! Gharama za services za gari kwa mwaka unapata gari jipya, hizo ni akili au matope?!!! Hayo magari mengi ni scrap!! Wewe kuna fuso hapo kuzirejesha tu kwenye hali yake ni karibu na thamani ya jipya!!!!Kuna maeneo hayana magari kabisa ya huduma kwa wananchi, sasa bora nini? Wapate magali yaliyotumika na kuyatumia au wawe bila magari watumie baiskeli?
Umeniwahi ,unaweza sema huyu ndugu sijui hana kazi za kufanya kama rais au inakuaje,nilishangaa sana jana hapo ndio unaweza jiuliza wenye hayo majukumu huwa wanafanya nini sasaPale kiongozi anapokuwa yeye ndio kila kitu.
Unataka kusema nchii hii hii ambayo tunaambiwa tunanunua ndege kwa cash, tunajenga sgr kwa fedha zetu, umeme wa Nyerere kwa hela zetu halafu kuna idara/taasisi za serikali hazina magari!!!!!!!.Kuna maeneo hayana magari kabisa ya huduma kwa wananchi, sasa bora nini? Wapate magali yaliyotumika na kuyatumia au wawe bila magari watumie baiskeli?
Kwani jiwe kasema ipelekwe Befoward? Kichwa siyo kufugia nywele pekeeUnasema chuma chakavu wakati linagombaniwa kule beforward
Aliyeyapanda na kuyasaga yeye alikataa nusu faida, huyu yeye kakataa nusu faida na kuamua kuanza kuchuma hasara.Bora Magufuli, Duterte aliyakanyagakanyaga na tingatinga sijui kifaru kile kiliyapandia na kuyasagasaga...
Everyday is Saturday............................ 😎
Raisi Magufuli amefanya kosa kubwa sana kuagiza kwamba magari yaliyotaifishwa kuhusiana na kesi za uhujumu uchumi yagaiwe kwa taasisi za Serikali kwa sababu mbili kubwa zifuatazo;
Nini kifanyike basi?
- Haya magari mengi ni ya zamani sana, zaidi ya miaka 10, na mengi yalinunuliwa kama used vehicles. Wamiliki binafsi huwa wana namna yao ya kuya-maintain kwa gharama za chini, na kuyaingiza serikali kutasababisha gharama kubwa za matengenezo na maintanance ambayo mwisho wa siku itakuwa ni hasara kwa taifa. Watu wa uhasibu wakipiga hesabu za "depreciation" za haya magari wanaweza kukuta ni scrap tu. Gharama ya ku-maintain gari "scrap" ni kubwa sana afadhali kununua gari jipya
- Kuna sera ya serikali ya manunuzi kwamba taasisi za serikali hazipaswi "kununua" (acquisition) magari au vitu ambavo ni second hand. Kwa hiyo japo magari haya yanatolewa bure kwa hizi taasisi za serikali, kimsingi hili linakiuka sera ya taasisi za serikali kutoingiza kwenye leja zao za umiliki wa mali vitu magari ambayo ni "used".
Ningemshauri Rais Magufuli kwamba haya magari yapigwe mnada na fedha zitakazopatikana ziingizwe kwenye shughuli zinazohusiana na kupambana na uhujumu uchumi nchini, ili wakamate magari mengi hata zaidi!
Wahenga walisema kusuka na kunyoa, zote ni style za nywele.Aliyeyapanda na kuyasaga yeye alikataa nusu faida, huyu yeye kakataa nusu faida na kuamua kuanza kuchuma hasara.
[emoji23][emoji23]wakiyauza wale maharamia watakuja kuyagomboa yote sema TEMESA nao wanazingua sana ukipeleka gari badala liludi limepona ndio wanaua kabisa wakati ukipeleka kwa fundi juma mwembeni linatoka fresh kabisa
Gari zenyewe zimechoka kinoma.
Achana na mshamba huyo.Bwana wee, hebu mara nyingine tutumie busara ya elimu katika kuamua mambo. Wewe umeambiwa hapo juu kuna mtu ameona RAV4 a mwaka 1996. Sasa unafikiri katika masuala ya asset za serikali ukiambiwa wahasibu wafanye evaluation ya hiyo gari watakuambia thamani yake ni kiasi gani?
Kama hujui mambo ya gharama za mainatance za magari katika serikali basi acha tunaoelewa haya mambo tuongee. Jiulize swali, ikiwa taasisi za serikali zinaruhusiwa kisheria kupiga mnada gari za zamani baada ya kufikia depreciation ya kiasi fulani, kwa nini basi taasisi hizo hizo leo zipewe RAV4 ya mwaka 1996?
Mimi nikiwa mkurugenzi katika taasisi ya serikali itakayopewa RAV4 ya 1996, kesho yake tu baada ya kukabidhiwa nitatoa idhini ipigwe mnada wa hadhara, kulingana na kanuni za assets za taasisi za serikali
Yaani imebidi nicheke tu Mkuu, maana unaweza kukuta na mie ni Msukuma wa Chato😀Gari zenyewe zimechoka kinoma.
Hata wakipiga mnada watanunua wasukuma wa chato.
Okay, labda kama ni gari mpya ni vema kulipeleka taasisi ya serikaliIla yapo yalotaifishwaga kimya kimya awamu ya mkapa na yapo kwenye mataasisi ya serikali na yanapiga kazi tu
MKuu, mbona unaji-contradict?Uko sahihi kabisa iwapo tu ungeweza kutamka maneno hayo hayo bila kuyamung'unya hata chembe, kama ungekuwa upo pamoja naye hapo ulipo. Ila kama umetamka hivyo kwa sababu upo kwenye mtandao na yeye hayupo, basi mara nyingine inabidi labda uyapunguze makali kidogo. Si kwa Rais tu bali pia kwa watu wengine akiwemo hata bosi wako ofisini kwako hapo ulipo
Halafu utanyan'anywa tena kwa kosa la kuhujumu uchumi!Hyo ni Noah, nitaichukua kinyemela nikabebee nyasi kwa ajili ya ng'ombe wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app