Automata
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 3,414
- 4,794
Aisee kweli dunia haiko fairTRA wanamshahara mikubwa balaa.
Waliongezewa mwaka jana.
Meneja tu wa mkoa karibu 12M
Principal officers ni karibu 7M.
Seniors ni 5M
Juniors wanaanza na zaidi ya 2M
Mwenye diploma ana mshahara wa zaidi ya 1M.
Wizarani ama kwenye wizara seniors tena mwenye masters degree hamfikii mwenye diploma wa TRA.
Maisha haya hayako sawa kabisa.
Central Goverment & Local Goverment 'kwenye mahalmashauri'
Junior staff huanza na TGS D1 ambayo ni kama 710,000 tu
Senior staff anapokea TGS E1 ambayo ni around 900,000 (na ile afikie hii anatakiwa awe ametumikia 5, mwaka wa 6 ndo hupandishwa)