pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
15m hivi unatumiaje mpaka iishe kwenye mwezi moja tu?
Sawa na 5 laki kwa siku
Sawa na 5 laki kwa siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mshahara wangu nakopa 9m makato miaka 7 kudadeki na hapo natembelea choki ya ⅓ ...kuna watu mkopo wangu wa miaka 7 wao wanachukua kwa mweziTRA wanamshahara mikubwa balaa.
Waliongezewa mwaka jana.
Meneja tu wa mkoa karibu 12M
Principal officers ni karibu 7M.
Seniors ni 5M
Juniors wanaanza na zaidi ya 2M
Mwenye diploma ana mshahara wa zaidi ya 1M.
Wizarani ama kwenye wizara seniors tena mwenye masters degree hamfikii mwenye diploma wa TRA.
Maisha haya hayako sawa kabisa.