Kama wagonga meza wanakula salary zaidi ya mil. 10, posho, mkopo wa gari, mafuta ya gari, pesa ya jimbo na kinua mgongo 200mil+ baada ya miaka mitano anaona nongwa wataalamu kulipwa hiyo mil. 10. Ni bora sasa kufukuza watumishi wote wa umma ili watu wafanye kazi kwa kujitolea serikali iokoe pesa.