Rais Magufuli amfukuza kazi Mtumishi wa Serikali aliyechana Juzuu Amma huko Kilosa

Rais Magufuli amfukuza kazi Mtumishi wa Serikali aliyechana Juzuu Amma huko Kilosa

Ulifanya kosa kuchana kutemea mate na kukanyaga kitabu Kitakatifu. Pamoja na malumbano yote lakini haukuwa sahihi ulihatarisha amani katika jamii na kuchochea magomvi.

'Everyone deserves a second chance'

Sasa fanya hivi:

Chukua simu jirokodi ukiwa pekeyako ukiwa unaomba radhi Waislamu, Wakristo na jamii kwa ujumla.

Yaani ongea kwa hisia kubwa sana ikibidi utoe machozi[emoji23][emoji23], kiri kosa lako kubali jishushe sema ulikosea, waombe radhi Watanzania, teka hisia zao.

Lia yani ileile, onesha umekosea sana, tafuta sympathy ya jamii.

Then ipost hiyo clip kwenye mitandao ya kijamii, mimi nina uhakika itamfikia Mh. Rais na ninavyojua jamaa alivyo ana moyo mlaini, yaani atakusamehe chaap utarudi kazini.

Yaani hutaamini kwenye mkutano unaofata Mh Rais atasema:

"Nimeona clip kijana mtumishi wa umma aliechana kitabu kitakatifu akiomba radhi kwa Watanzania wa dini zote, mimi nasubiri mniambie kama mmemsamehe ili na mimi nimsamehe, eti mmemsamehe...." watu Ndioooooooo!

Mh Rais: "Haya na mimi naamuru arudishwe kazini mara moja maana kama nyinyi Watanzania mmemsamehe mimi ni nani niendelee kumuadhibu naamini kila mtu anastahili nafasi ya pili"

[emoji23][emoji23][emoji23] hapo unakuwa umechomoka mzee baba.

Try it mkuu itakusaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda alihatarisha amani kwa kuvamia CLOUDS FM Mkuu hakuona tatizo kwa mtumishi wa umma kutenda kitendo kile, we have to be serious.
 
Sheria inaweza kupindishwa kwa mslahi mapana ya nchi kisheria unaweza kusema JPM hayupo sahihi lakini kwa maslahi mapana na amani pamoja na.uchaguzi kikampeni yupo sahihihi sana kwa kuweka historia ya nchi sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waislam wanapenda sana kukuza mambo. Hapo wanataka hata kumuua. Ingechanwa bible wala tusingesikia makelele yote haya. Wakristo wangemwachia Mungu.
Hebu chana hio bible tuone unavyoachiwa huru utambe. Kuchana hadharani hata kitabu cha mtu binafsi mfano Ngugi wa thion'go au Kandoro, yatakayokukuta hutaamini.Tusiijaribu serikali.
 
Back
Top Bottom