Rais Magufuli ampongeza Marehemu Askofu Chengula kwa kukemea ushoga na mapenzi ya jinsia moja

Rais Magufuli ampongeza Marehemu Askofu Chengula kwa kukemea ushoga na mapenzi ya jinsia moja

Baadaye Mahiga na msemaji was seriakli watakuja ufafanuzi kwamba huo so msimamo was seriakli na pia mtukufu kiongozi mkuu was MALAIKAameelewka vibaya.
 
Hakuzunguzia kuhusu uchaguzi marehemu chengula alisemaje
 
MBONA HAJAMPONGEZA KWA ILE KAULI ALIYOITOA WAKATI WA PASAKA KUHUSU TUNAOTAKIWA KUWACHAGUA?
 
JPM kaza kaza Baba... wanataka Wadanganyika wapoteze Maadili ndio waone tunastahili kupata mkopo au misaaada.
BRICS ndio inatumia Hoja kama hizi kujitanua taratibu.
AMKEMEE NA KAIMU RAIS MAKONDA NAYE AACHE
 
Tusisahau kanisa lina kashifa ya ushoga kwa hiyo kukemea ushoga ni muhimu mpaka kanisani
 
Kila binadamu aliyezaliwa na mwanamke ataonja mauti. Poleni sana Wana Mbeya na hasa Wakristo wa Dhehebu la Kikatoliki.
 
Ujinga mtupu. Huyu mzee anapaswa kujua kuwa, kazi yake ni kupambana na umasikini pamoja na kufwata utawala wa sheria. PERIOD. HAWEZI wala HANA MAMLAKA ya kuzuia ushoga.

Na anajua kuzichota akili za watu kwa kuzungumza mambo yanayochochea hisia za watu ili ajichukulie pointi tatu muhimu kirahisi. AKILI KUMKICHWA.
 
Back
Top Bottom