Rais kufanya utani kwenye jambo linaloweka mazingira ya ukabila na kuvunja umoja wa taifa unaona sawa?Haiwezekani katika yote mazuri yaliyofanyika leo umetoka na hiyo kauli ya utani jamani punguzeni hasira na wivu haziwasaidii wala kubadilisha chochote....hayo mambo ya kusubiri kauli za mkuu na kuzijengea hoja as kichochezi hazitawafikisha popote...kilichoongelewa hapo ndio kitu kinachofanywa na wanaume dunia nzima wakipata pesa hakuna cha ajabu hapo
Kiranga yeye kachachamaa kabisa hataki kuelewa show [emoji23][emoji23]Yana akili za kike hayo majamaa
Tatatizo si kwamba mimi nina take it serious.Mkuu don't take it serious mh. Rais alikua anachomekea tu
Jamaa ni mkabilaRais kufanya utani kwenye jambo linaloweka mazingira ya ukabila na kuvunja umoja wa taifa unaona sawa?
Na kwenye ku patronize Watanzania kwamba ni watu ambao wakipata hela tu wanawaza kuongeza mke umeona sawa?
Tatizo ninaloliona hapa ni kwamba tuna standards tofauti.
Wewe umezoea kukaa karibu na choo kinachonuka.
Umeizoea hiyo harufu ya choo kinachonuka, unaona ni kawaida.
Mimi nimekaa sehemu yenye hewa safi, nakuambia, hapo ulipo kuna harufu mbaya ya choo.
Harufu hiyo ukivuta hewa ya hapo, maana yake unavuta uchafu, utapata maradhi.
Wewe unaona ninakuza jambo dogo.
Huwezi kunielewa, kwa sababu hiyo harufu chafu ni kitu ulichokizoea.
Rais hata anapofanya utani, anatakiwa kufanya utani unaojenga, sio unaobomoa.Mkuu we utakuwa na tatizo! Tena kubwa!.. magufuli kalisema hilo kama utani tu then imekuwa ndo mada!!!!!
Ingekuwa kamlazimisha hapo ndio tungesema kakosea lkn kwa hili kweli kazi ipo kuja kumuelewa huyu mtu dah!..
Punguzeni sana kuwa serious kwa kila kitu vitu vyengine ni utani tu wa kikabila.
Angesubiri soko likae vizuri basi angepiga 20bill.Kazurumiwa huyo[emoji125]
Atakuwa ndio mke wa mchimbaji sasa anawaza itakuwaje jamaa akichukua mke mwingineKiranga yeye kachachamaa kabisa hataki kuelewa show [emoji23][emoji23]
Brother umepanic kinyama tulia meza mate
Utani kwa mtu mwelewa ni kupotezea
Ndio hivyo tena ameshasema na katania endelea kubishana mitandaoni wakati mmasai kapiga mabilioni yake na ataongeza vichenchede hata rihanna atamuongeza
Hapana, mimi sijaanzisha habari za mke.Atakuwa ndio mke wa mchimbaji sasa anawaza itakuwaje jamaa akichukua mke mwingine
Ukweli unauma....sijaona ukabila wala uvunjifu wa umoja wa kitaifa mnaoushikia bango kwenye kila jambo mpaka inatia shaka kama mnajua maana yake au mkimsikia tu mwenyekiti (mzee wa faru john) anaongea na nyie mnaiga tu.Rais kufanya utani kwenye jambo linaloweka mazingira ya ukabila na kuvunja umoja wa taifa unaona sawa?
Na kwenye ku patronize Watanzania kwamba ni watu ambao wakipata hela tu wanawaza kuongeza mke umeona sawa?
Tatizo ninaloliona hapa ni kwamba tuna standards tofauti.
Wewe umezoea kukaa karibu na choo kinachonuka.
Umeizoea hiyo harufu ya choo kinachonuka, unaona ni kawaida.
Mimi nimekaa sehemu yenye hewa safi, nakuambia, hapo ulipo kuna harufu mbaya ya choo.
Harufu hiyo ukivuta hewa ya hapo, maana yake unavuta uchafu, utapata maradhi.
Wewe unaona ninakuza jambo dogo.
Huwezi kunielewa, kwa sababu hiyo harufu chafu ni kitu ulichokizoea.
Wewe ndio mke wa huyo mchimbaji maana umepanic sana!Hapana, mimi sijaanzisha habari za mke.
Magufuli ndiye anataka kuolewa na mchimbaji, ndiyo maana si tu kaanzisha habari za mke, bali anataka mke awe Msukuma.
Mimi dume rijali hata bibi yako (mzaa mama au baba) ukinipa kama analipa namzalisha.
labda mila yake na destuli ya kabila lake mafanikio ni pamoja na kuongeza mkeMagufuli nampenda lakini ana ushamba wa kisukuma kabisa, maono yake kila mtu anaepata maendeleo ni lazma aoe mke wa pili? Ina mana yeye ana wake zaidi ya Janeth?
Hapana yeye ni mwanamkeNimegundua kinachomsumbua kiranja ni wivu kwa Bilionea Laiser anamuonea wivu warembo watakavyommiminikia na atakavofaidi bila kuimbisha
Kwani kusemwa kuhusu ukabila hayo mambo yameanza Leo..?Rais hata anapofanya utani, anatakiwa kufanya utani unaojenga, sio unaobomoa.
Sasa utani wa kuchochea ukabila unajenga nini?
Tayari kuna watu wanasema Magufuli Mkabila, sasa huoni kwamba Magufuli kutajataja Wasukuma anazipa nguvu hizi hoja kwamba yeye ni mkabila na anapendelea watu wa kanda hiyo?
Pili, amesema anajua kwamba jamaa ataongeza mke, yani rais ka patronize Watanzania kwamba wakipata pesa kitu cha awali kabisa wanachofikiria ni kuongeza mke.
Wewe unaona rais ku patronize hivyo, badala ya kuhimiza watu kuweka akiba, kusomesha, kusaidia miradi ya jamii, kulipa kodi etc, ni sawa?
Rais alikuwa na maneno mengi sana ambayo angeweza kusema kuwaasa Watanzania. Kaona jambo la kuongeza mke ndiyo la muhimu kabisa?
Na wewe unamtetea katika hilo?
Kuna mahali kajisifu kwamba yy ni mwanaume rijali anaeweza kumtia mtu mimbaHapana yeye ni mwanamke
hahahaha fact aiseAtakuwa ndio mke wa mchimbaji sasa anawaza itakuwaje jamaa akichukua mke mwingine
Wasukuma wamesoma sana ila wao ni wengi tuhuyu mzee mara zote ameonaga kuongeza mke ndio jambo muhimu maishani wala sio kusoma wala kusomesha. Kumbe ndio mana wasukuma ni wengi afu 80% hawajasoma