Rais Magufuli ampongeza mchimbaji mdogo ndugu Laizer aliyeiuzia Serikali Tanzanite yenye thamani ya sh 7.8 bilioni

Magufuli kaharibu sehemu mbili.

1. Kajenga taswira kwamba Watanzania wakipata hela wanawaza kuongeza mke.

2. Katoa utani wa ukabila kwenye jambo ambalo ulabila hauhusiki, anachochea wapinzani wake waseme ana mawazo ya kikabila, si ya kujenga umoja wa taifa.

Hizi ni facts.

Habari hizi zipo kwenye rekodi ya maneno ya Magufuli.

Mambo mengine sijui inawezekana kamshauri nini kwa faragha ni speculations zako tu.

Unapoongelea jinsi gani serikali ya Magufuli itawalinda matajiri wasiende kwenye umasikini, Magufuli angeweza kuongelea sera za serikali yake zitasaidiaje wachimbaji.

Kaacha kuongelea mambo ya maana kama hayo, kaenda kuongea habari za kuongeza mke Msukuma.

Mpaka hapo kama unatumia akili utaona mapungufu ya vision yake.
 
Umezoea harufu chafu ya choo.

Nikikwambia hapo ulipo pananuka harufu chafu ya choo, huwezi kunielewa.

Kwa sababu hiyo harufu chafu ya choo ni kitu ulichozoea. Umeizoea sana kiasi kwamba hata hujui jwamba hii ni harufu chafu ya chooni, wewe ushaiona harufu ya kawaida tu.

Tunaweza kugombana ukaona nakuvunjia heshima. Kwa sababu nakwambia hapo ulipo pana harufu chafu ya chooni.

Ndipo upeo wako ulipoishia.

Ndipo standards zako zilipoishia.

We are from two very different worlds!
 
Sasa ndio mmeona umuhimu wa kuweka hii Thread kwenye Siasa? JF saa nyingine mnakera sana, mmekuwa pinga pinga tu kama Chadema.
 
Okay wewe mwenye vision kamshauri maana yaonekana unaweza kuwa mshauri wake.. mi ngoja ninywe uji nitulie ila nachojua rais katania I can't take it serious...
 
Hongera zake
 
Wewe ndio mke wa huyo mchimbaji maana umepanic sana!

Sasa Magufuli alikuwa antania tu, tz nzima inajua alikuwa anatania kwahiyo usijali huyo mmeo hata oa mke mwingine
Umeshindwa hoja, umeleta viroja.

Ukitaka viroja, twende huko kwenye viroja.

Rais mzima, mwanamme, kuanza kumkuwadia mtu kwa sababu kapiga hela ya mawe ni jambo la aibu.

Magufuli anaweza kuolewa kwa tamaa yake ya fedha.

Na wewe unayemtetea ukaunganishwa kuwa suria wa bwana wenu.

Acheni uhanithi.
 
New Danga in town
Danga la shanta dalali kuwadi rais mwenyewe.

Itabidi kila mdangaji ajifunze Kisukuma.

Kudadadeki.

Magufuli lazima awashikie akili sana Wabongo wengi.

Anawapeleka kibongobongo na stories wanazopenda za kuongeza mke.

Angepiga policy speech serikali yake inavyoongeza matajiri katika wachimbaji wazawa, watu wengi wangemuona anawapotezea muda.

Na kwa msingi huu, tutalia sana miaka mitano ijayo.

A million flies eat shit, they can't be wrong.

People get the leadership they deserve.
 
Okay wewe mwenye vision kamshauri maana yaonekana unaweza kuwa mshauri wake.. mi ngoja ninywe uji nitulie ila nachojua rais katania I can't take it serious...
Rais huwezi kuwa kila sehemu unapopata fursa wewe unaweka utani.

Hii ilikuwa ni moja ya platform nzuri kwake kuonyesha ni namna gani sera za madini ktk awamu hii ya tano zinaleta manufaa hivyo kuwahimiza wananchi wazione fursa hivyo.

Na wewe kwa akili zako huwezi kuona hii nafasi.
 
Kifupi rais hayuko presidential.

Anaichukulia kazi yake kimzahamzaha.

Wakati ni bonge la platform, angeweza kuongea mambo mengi sana ya muhimu.

Yeye anaenda kuongea mambo ya kuongeza mke.

Rais anatakiwa ku "stay on message".

Kumpa mpinzani wako neno la kusema tu ni makosa.

Sasa kuna watu walikuwa wanasema Magufuli ni mkabila.

Kwa kutaja habari za ukabila tu, hata kwa utani, anawapa msemo.

Kuna watu walikuwa wanasema Watanzania ni wavivu, wakipata hela hawajui kuwekeza, wanajua kuongeza mke tu.

Kwa kauli hizi za Magufuli, watu waliosema hivyo, wanaongezewa nguvu, kwa maneno ya rais.

Watasema "si mnasikia hata rais wao mwenyewe anasema hivyo?".

Magufuli is a country bumpkin.
 
Magufuli nampenda lakini ana ushamba wa kisukuma kabisa, maono yake kila mtu anaepata maendeleo ni lazma aoe mke wa pili? Ina mana yeye ana wake zaidi ya Janeth?
Anaeo. Janeth ni official ...wengine ni wadau tu
 
Dada usiwe na wivu sana

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Okay wewe mwenye vision kamshauri maana yaonekana unaweza kuwa mshauri wake.. mi ngoja ninywe uji nitulie ila nachojua rais katania I can't take it serious...
Tatizo unaona hii ni kazi yangu.

Mpaka hapo hama hujaelewa, ama ni mvivu.

Inawezekana ni mvivu na hujaelewa.

Tatizo lingine, kwa sababu ya uvivu na ujinga wako, huwezi kuona hili jambo kama ni jambo serious.

Halafu nchi inavyozidi kugawanyika kikabila, mtqanza kushangaa na kuulizana, hivi nini kimetukumba? Mbona hatukuwa hivi?

Halafu watu wanaposhindwa kuendeleza uwekezaji kwa kuendekeza kuongeza wake, mtashangaa, mtaukuza, kuna mchawi gani katuloga?

Kumbe ni uvivu wa kufikiri tu kuunganisha kauli za viongozi na muelekeo wa nchi.
 
Usijali dada yetu, Magufuli alikuwa anatania tu, mume wako yule hawezi kuoa mke wa pili maana anakupenda sana!

Hela za yale mawe atatumia na wewe mke wake tu.

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Okay wewe mwenye vision kamshauri maana yaonekana unaweza kuwa mshauri wake.. mi ngoja ninywe uji nitulie ila nachojua rais katania I can't take it serious...
Achana nae huyo mwanamke anaona wivu sana itakuwaje jamaa yake akichukua mke wa pili! Hajui kama rais alikuwa amechomekea utani tu ule!
Yani katika yote aliyoongea rais ameona lile ndio la kukomalia! Mwanamke ana wivu sana huyo.

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Straight to ignore list you diseased ass faggot.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kiranga, Sasa ndio itanipunguzia kitu gani?

Wewe unataka wote hapa tuwe na mtazamo wako wa kipumbavu? Unda group lako la whatsapp uwajaze hao wapumbavu wenzio mtakaokuwa mnajadili huo upumabvu huko.

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Alimuhonga hawara wake Kabula nyumba ya serikali, wakati Kabula hata hakuwa mfanyakazi stahiki wa serikali.

Siku hizo bado waziri.

Hakuanza leo shobo hizi za kilimbukeni.
Duuuh watu mnazipata wapi hizi habar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…