Rais Magufuli amteua Asha-Rose Migiro kuwa Balozi nchini Uingereza

Kwanini tusiangalie uteuzi huu kuwa ni hazina kumbwa ya nchi yetu, tumepata mwakilishi mahiri wa kutuwakilisha kwa malkia?
 
Usishangae siku ukisikia nkapa amekuwa waziri asiye na wizara maalum;
 
Naona Magu ana kazi kubwa ya kusafisha pale foreign.... KUmejaa gossip, junguzzz, fitna, kufuatiliana nk

Something needs to be done as soon as possible
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…