Rais Magufuli amteua Asha-Rose Migiro kuwa Balozi nchini Uingereza

Rais Magufuli amteua Asha-Rose Migiro kuwa Balozi nchini Uingereza

Mbona hiyo nafasi ya naibu katibu mkuu wa un,hakukaa sana?je ni kitu gani kilimtoa mapema?au aliamua mwenyewe kuachia ngazi?

Kilichomtoa mapema ni utendaji usioridhisha! Kwani hata muda wake haukua umeisha. Aliteuliwa kwa mbwembwe ila alirudi kimya kimya bila taarifa yoyote.
 
hivi huyu huwa anatoa nini c.c.m,mpaka kuzawadiwa vyeo vya kuteuliwa?
Katika hazina walizonazo CCM huyu mama ni mmoja wao, sema wenye akili fupi kama wewe huwezi kulijua hilo
 
Katika hazina walizonazo CCM huyu mama ni mmoja wao, sema wenye akili fupi kama wewe huwezi kulijua hilo
asante,wewe mwenye akili ndefu kama za yule mzee mwanakijiji,mbong'oaji maarufu humu jf,ebu niambie uhazina wake uko je?
 
Katika hazina walizonazo CCM huyu mama ni mmoja wao, sema wenye akili fupi kama wewe huwezi kulijua hilo
Teeeeeeh teeeeeeeeeh eti hazina! Mtu hajui jinsi ya kupigiwa kura na wananchi hata kwenye ujumbe wa nyumba kumi?
 
It is only in africa where a person can walk 100 steps ahead and go back 150 steps and praises him/herself that he/she is improving

Lord Malloch Brown alikuwa anashikilia nafasi ya Unaibu Katibu mkuu wa UN hadi mwaka 2006, na alipoondoka kwenye hiyo nafasi alienda kuwa waziri kwenye serikali ya Gordon Brown, Uiengereza.
 
Teeeeeeh teeeeeeeeeh eti hazina! Mtu hajui jinsi ya kupigiwa kura na wananchi hata kwenye ujumbe wa nyumba kumi?
Hivi Mama ROSE KAMILI ni lini alipigiwa kura na wananchi? Ukiwa kichaa usijionyeshe mbele za watu
 
Sijui kwann wanalazimisha ili hali wajua wazi kuwa wamechokwa, mbaya
Mkuu ni kawaida sana kwa fisi kufuuzwa kutoka kwenye mzoga,lazima wanyama wengine kama mbwa mwitu wamtimie fisi kwa nguvu maana fisi ni mroho mkubwa
1462371209170.jpg
 
It is only in africa where a person can walk 100 steps ahead and go back 150 steps and praises him/herself that he/she is improving
Vladmir Putin alitokakwenye Urais akarudi Uwaziri Mkuu, na baadae akarudi kwenye Urais tena mpaka leo ! ..na hajachubuka ngozi !
 
Hivi Mama ROSE KAMILI ni lini alipigiwa kura na wananchi? Ukiwa kichaa usijionyeshe mbele za watu
Kwani viti maalum unafikiri unaletewa nyumbani kama zawadi ya mabumunda?
 
Mama yetu huyu anapenda sana nafasi za kuteuliwa mweee jamani, yaani yeye kusema ajaribu angalao hata kugombea ubunge wa jimbo wapi, anasubiri dezo tu jamani
Yuko vizuri huyu mama. Atatuwakilisha vyema.
 
Back
Top Bottom