Rais Magufuli amteua Asha-Rose Migiro kuwa Balozi nchini Uingereza

Rais Magufuli amteua Asha-Rose Migiro kuwa Balozi nchini Uingereza

Sisi hatuna desturi wala Tabia Hiyo.. Ndio maana kuna vijana wengi hapa jukwaani wanazuga wapo CDM lakini kutwa tunapigana vikumbo pale LUMUMBA
Halafu usijifanye msahaulifu, mwaka Wa Jana kwenye kura za maoni nasikia ulimkunja MTU ili umsaidie ashinde ya kweli hayo?
 
Kwani sasa hivi ni nani alafu yupi katiyao ametangulia kupewa madaraka?
Hapa hatuangalii nani katangulia. Usichokoze ugomvi huku ukijua unaishi kwenye nyumba ya vioo. Mama KAMILI ameteuliwa na ni mbunge wa viti maalum CDM. Anatofauti gani na Dk Migiro? hakika bavicha hakuna vijana wa kuachiwa chama kama wewe ndio mmoja wao
 
Aah aah. Simjui kwa karibu, lakini lazima nikiri nampenda sana dada yake Mwamtumu Malale. Maybe I'm biased.
Kama ni kwa hilo hongera sana,ila jiangalie maana kunawezekana kuna wanene wanajihudumia
 
Halafu usijifanye msahaulifu, mwaka Wa Jana kwenye kura za maoni nasikia ulimkunja MTU ili umsaidie ashinde ya kweli hayo?
Teeeeeeh teeeeeeeeeh, alitaka kudanganya wakati hajui kuwa watu tunazinyaka habari zao?
 
Hapa hatuangalii nani katangulia. Usichokoze ugomvi huku ukijua unaishi kwenye nyumba ya vioo. Mama KAMILI ameteuliwa na ni mbunge wa viti maalum CDM. Anatofauti gani na Dk Migiro? hakika bavicha hakuna vijana wa kuachiwa chama kama wewe ndio mmoja wao
Nikikwambia shirikisha ubongo usichukie maana huelewi kwani sasa hivi ni mbunge?
 
CDM ndio wanaongoZA kwa majungu. Kuteuliwa kwa DK MIGIRO nyie kinawauma nini?
Halafu unakosea me sio chadema, kuhusu Migiro haijaniuma kitu, ila niliuliza tu, kuwa hakuna wengine wenye sifa? Maana yeye km kuitumikia Tz ameitumikia INA tosha sasa apumzike, ni zamu ya wengine
 
Back
Top Bottom