habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,749
Sijaona swali hapo, hizo siasa za maji taka ndo zipi hizo, CCM bhanaJibu swali langu acha kurukaruka. Unaleta siasa za Maji taka hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaona swali hapo, hizo siasa za maji taka ndo zipi hizo, CCM bhanaJibu swali langu acha kurukaruka. Unaleta siasa za Maji taka hapa.
A.k.a Chama Cha MajiziMkuu ukiona mtu analazimisha kutawala ujue ni mvivu wa kuwajibika,hao ndio ma ccm
Hawa jamaa hawana hoja kabisa. Hata Putin alitoka uraisi na kumuachia Medvedev, yeye akawa waziri mkuu.Acha umbeya bana
1. Rais wa Iran - Ahmed Abehemedijan(sina uhakika wa jina la pili), sasa ni mwal.kwenye chuo kikuu huko Iran.
2. Dr Gharibu Bilal - from waziri kiongozi kuwa mkufunzi UDOM.
3. Fuatilia aliyekuwa balozi wa USA hapa Tz, ndg. Charles Stith( sina usahihi na jina la pili), sasa ni mkufunzi wa chuo huko USA.
Naamini mifano ni mingi mno.
WakubebwaIlishavujishwa humu lakini kukubali nafasi hii kwa Prof ni kujishushia heshima
Ndo Imetoka hiyoHivi balozi anayerudishwa nyumbani maana yake ni nini??
Kuna majukumu mengine anapewa au ndio kustaafu moja kwa moja??
Vyeo vya kuteuliwa ni vigumu sana!!Ndo Imetoka hiyo
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Asha-Rose Migiro kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza.
Dkt. Asha-Rose Migiro anakwenda kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Peter Kalaghe ambaye amerudishwa nyumbani.
Dkt. Asha-Rose Migiro ataapishwa kesho Alhamisi tarehe 05 Mei, 2016 katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma.
Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dodoma
04 Mei, 2016
Hawa ilifaa wakae pale udsm wafundishe ili kunoa watu wengi wazur zaidi sura zile zile as if watu wenye sifa hamna. Inaboa sana hii kituMagu nae
Huyu tayari ana miaka 60. Apumzike.