Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Teeeeeeeeh teeeeeeeeeh, mkuu huyo MOTOCHINI ana kazi yake ya kuangusha mawese kwenye mashamba ya wakulima mbalimbali pale mwandiga, malipo yake ni sh 100 kwa chana mojaNaona viraka vinamyemelea Lizabon na Motochini