Rais Magufuli amteua Asha-Rose Migiro kuwa Balozi nchini Uingereza

Rais Magufuli amteua Asha-Rose Migiro kuwa Balozi nchini Uingereza

Dah kutoka minister wa foreign affairs,akaenda UN sasa ni balozi.sasa atakua ana ripoti kwa waziri wa foreign affairs. THIS IS A DEMOTION.
 
Huyu mama ana Cv nzuri kiukwelo japo mna beza kuwa anabebwa sana ktk nafasi za kuteuliwa ,Ebu ajitose ulingoni kama mwezie tibaijuka tuone ability yake vyema
 
Dah kutoka minister wa foreign affairs,akaenda UN sasa ni balozi.sasa atakua ana ripoti kwa waziri wa foreign affairs. THIS IS A DEMOTION.
Hapo ule usemi wa bora mkono kwenda kinywani
 
Hivi kule un alistaafu au alitimuliwa?
Usiwe punguani wewe...

Donald John Trump (born June 14, 1946)

Anakimbilia miaka 70 lakini anagombea urais Marekani.
 
Huyu mama ana Cv nzuri kiukwelo japo mna beza kuwa anabebwa sana ktk nafasi za kuteuliwa ,Ebu ajitose ulingoni kama mwezie tibaijuka tuone ability yake vyema
Toa maoni yako kuhusu uchapakazi wa Tibaijuka .
 
Usiwe punguani wewe...

Donald John Trump (born June 14, 1946)

Anakimbilia miaka 70 lakini anagombea urais Marekani.
Wewe ndio utumie akili badala ya kukurupuka, nimeuliza ni sababu gani zilimtoa kule un?maana hakukawia!
 
Msafiri Marwa, mpokee dada yako natumai mtafanya kazi vizuri.
 
Wewe ndio utumie akili badala ya kukurupuka, nimeuliza ni sababu gani zilimtoa kule un?maana hakukawia!
Uzi unaongelea Asha Rose kuteuliwa balozi Uingereza wewe unaleta habari za UN na kustaafu kama siyo upunguani ni nini.
 
Rais Magufuli amemteua Asha Rose Migiro kuwa Balozi Nchini Uingereza.
Nauliza hivi,huyo migiro kule un alipokuwa anafanya kazi kama naibu katibu mkuu je ali staafu au muda wake ulikatizwa?na kama ulikatizwa ni kwa sababu zipi?
 
jipu la ubalozi wa uingereza limekwisha daah nilikuwepo pale last year ni nouma uswahili wa kupitiliza
 
Back
Top Bottom