Msafirishaji
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 1,693
- 2,641
Kwahiyo mbatia hakukosea kutangaza pale jangwani Kuna watu wa kazi maalum katika kurekebisha kura za mamviOk ok! huyu jamaa ni miongoni mwa walioteuliwa pale NEC at the Eleventh hour, last year..Possibly to manipulate (fix) things right!
Hongera mteuliwa,
Huyo wa ubalozini nani?Kutoka NIDA sawa!
Lakini huyu wa ubalozini...! Hapana
Mkuu, hivi unaelewa ulichokiandika? Huyu Kipilimba ameenda kule mwaka huu wakati tayari akina Mwaimu wameshatumbuliwaKwanini hakuwa proactive? yani watu wamepiga ndio wanatumbuliwa?
Tatizo la Watanzania tunapenda sana kuongea hata masuala yasiyotuhusuKamteua au katangaza uteuzi wake? Nadhani wao mashushu wanafahamiana wenyewe ki weledi na uzoefu katika shughuli zao na uongozi.
GM aliekuwa anakaimu ndio alikuwa best shoot hapo... Ila kaachwa. Ingekuwa ni 'MTU' tu anaenda kuteua boss pale basi GM angeteuliwa.
NAIBU MKURUGENZIHuyo wa ubalozini nani?
Kafanyaje?NAIBU MKURUGENZI
Kwani tatizo ni nini?NAIBU MKURUGENZI
Watu wengi wanaofanya kazi ubalozini ni Usalama wa Taifa (Hassy Kitine,Augustine Mahiga,Benard Membe na Othman ) hao wote ni Usalama wa Taifa na walikuwa mabaloziKutoka NIDA sawa!
Lakini huyu wa ubalozini...! Hapana
Hahahahahaaaaa! Watu leo wamechanganyikiwaSijui....
HAYAKUHUSU BROTHER... Take your time
Pouwa BeloWatu wengi wanaofanya kazi ubalozini ni Usalama wa Taifa (Hassy Kitine,Augustine Mahiga,Benard Membe na Othman ) hao wote ni Usalama wa Taifa na walikuwa mabalozi
Watampiga vita indirect,outsider
Kivipi? au ndo yale yale "nadhani"Alimsaidia kuwa hapo alipo leo
Wanajuana na wewe umemtaja wa kwako tuseme na wewe Mtu wa kazi maalumKamteua au katangaza uteuzi wake? Nadhani wao mashushu wanafahamiana wenyewe ki weledi na uzoefu katika shughuli zao na uongozi.
GM aliekuwa anakaimu ndio alikuwa best shoot hapo... Ila kaachwa. Ingekuwa ni 'MTU' tu anaenda kuteua boss pale basi GM angeteuliwa.
Huo ndiyo wasi wasi wangu pia...wwnzetu mtu anayekuwa mkuu wa mosad,cia,kgb etc lazima wawe ngoma nagwa siyo yelemamaAna stadi za kazi hiyo au ndiyo muendelezo wa kujaribu na kurekebisha?
Una uhakika? Weka maelezo ya kutosha na si kuja na kijimstari kimojaHuyu DR si ndio yule alikuwa na Kitwanga kwenye kampuni yao ya ufisadi ya Infosy..?
Lugumi saga