Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

Subiri serikali ya chadema 2090 ndiyo utaona dira yake maana itakuhusu wewe mwanachama wake
Nchi sio ya mama yako ni mtanzania na lazima nikemee kwenye ubovu hatutaki mafisadi kuongoza TISS
 
Hiyo si kweli lakini huyu tuhuma zake za kweli alicheza na matokeo na ni mshirika wa kampuni ya lugumi mtu huyu iweje atuongozee idara nyeti kama hiyo huyu ni written off just at the beginning
Things to consider....

1. Alifukuzwa kazi BOT (based on hiyo barua iliyotaka hapo juu)

2. Alichakachua matokeo ya uchaguzi ( in my opinion CCM did not need him to win in any way shape or form. Katiba ya 1977 inawatosha)


3. Gaps kwenye maisha yake nchemba ya nchi


4. Uhusiano wake na Saidi Lugumi (this is a point of interest)


4. Role yake NIDA ( How did he deal.na akina Jack Gotham, Ramadhani Mwikalo et al)
 
Who is kipilimba

* Dr. Modestus Kipilimba ni nani?..... (Tuanzie hapo)...

Dr. Kipilimba alikuwa mtumishi wa BOT Miaka kadhaa iliyopita. Baada ya kuhusishwa na wizi wa mabilioni ya fedha katika taasisi hiyo alifukuzwa kazi kwa barua namba MFP/BOT/PF/24/03. Baada ya kufukuzwa kazi alikimbilia nje ya nchi (Uingereza) ambapo alienda kusoma zaidi.

Baada ya Prof. Ndulu kuwa gavana wa Bank, Ndugu Kapalimba haijulikani jinsi alivyorudi kazini. Ila ni wazi alipitia mlango wa nyuma, baada ya uongozi wa juu wa banki hiyo kupewa agizo la Dr. Kapalimba kurudishwa kazini. Dr. Kapalimba akaajiriwa tena kwa mara ya pili na kupewa cheo cha "Bank Advisor". Kwa muda mfupi akapandishwa cheo na kuwa mkurugenzi wa idara ya Risk Mgt.

Mwezi uliopita Dr. Kapalimba kwa taarifa zilizopo BOT zinaonyesha Kapalimba kachukua likizo. Ila cha kushangaza huyo bwana yupo anafanya kazi NEC na kapewa idara nyeti ndani ya kurugenzi ya IT. Na pia ni yeye aliyepewa jukumu la kupokea na kusambaza makaratasi ya kupigia kura.

Dr. Kapalimba ni mtaalamu wa IT, aliyepeta elimu hiyo nje ya nchi na ni moja wa watu wanaosifika kwa utaalam huo. Idara nyingi za serikali imekuwa ikimtumia kwa operation mbalimbali...

NB:.. Baada la hili kujulikana sasa tunaomba tume ya uchaguzi ikubali ombi la kaimu katibu mkuu wa CHADEMA, John Mnyika. La kutaka mfumo wa kujumuisha idadi za kura ukaguliwe mara moja na vyama vyoto wakiwemo CCM...

Kukagua mfumo husika ndio suluhu kwa sasa. Ila bila NEC kuruhusu hilo, bao la mkono litakuwa hapo....

Source: MKAKATI WA KUIBA KURA WANASWA | SIASA LEO TZ
 
Kwahiyo mbatia hakukosea kutangaza pale jangwani Kuna watu wa kazi maalum katika kurekebisha kura za mamvi

Karudishiwa fadhila baada ya mission ya October 25 ??
Yaani ile kazi mnainona kama muda wa kunywa juisi siyo?
 
Mkuu, hivi unaelewa ulichokiandika? Huyu Kipilimba ameenda kule mwaka huu wakati tayari akina Mwaimu wameshatumbuliwa
Na kabla ya kupelekwa NIDA alikuwa Mkurugezi wa kitego cha Risk Management Benki Kuu ya Tanzania

Dr. Modestus Kipilimba on Implementing a Robust GRC Solution at the Bank of Tanzania
Published on 16 Dec 2014
In an exclusive interview with Michael Rasmussen, Chief GRC Pundit at GRC 20/20 Research on the sidelines of the MetricStream GRC Summit Europe 2014, Dr. Modestus Kipilimba, Director of Risk Management at Bank of Tanzania identifies the key GRC challenges faced by the banking sector. Dr. Modestus also shares his thoughts around the enabling role of technology in building successful governance, risk management, and compliance programs.



Source: MetricStream
 
Mkuu, inaelekea huna taarifa kamili.

Kwanza huelewi kwamba BOT pengine ni lazima iwe na watu kutoka idara mbalimbali za serikalini khasa serikali kuu.

Pili, unaonyesha bado huna habari ya kutosha kuhusu Dr Kipilimba na sababu za kuzungukazunguka kati ya BOT, NEC, NIDA na sasa TISS.

Kuna jamaa mmoja wa IT pale NEC anaitwa Madaha nae ni mtalaam ila kuna baadhi ya matatizo ya ujazo wa Data, yalijitokeza katika mfumo mzima wa uwasilishwaji wa matokeo "bottlenecks" labda ndio Dr Kipilimba akaombwa aende pale.

Dr Kipilimba hata humu JF ni active member na anawasoma wale "people of interest" kwa ukaribu, na sidhani kama atachukulia hii "seriously".

Hata hivyo kama hufahamu kuna kitu kinaitwa "baadhi yao" hiki ni muhimu sana kukielewa, sanasana tutaishia kuambiwa hadithi za hapa na pale tu.
Kaka kama umesoma kweli comment yangu usingesema sina taarifa kamili.

Pitia thread yangu ya kustaafu RO. Hiyo taarifa unayo ni quote nimekopi na kuweka link chini. Soma nukta pia.
 
Swali zuri...inaelekea huyo ndugu anawafahamu watu wote wa TISS...duh, Watanzania bwana, this is too much now!!! yaani Watanzania wanajifanya wanajua kila kitu, duh....
Lakini kama mimi sijui kitu kuna mtu atakuwa anajua. Alimradi wanaofanya haya maamuzi ni binadamu. Usipojua taarifa fulani, usidhani wote hawatajua. Tumo wengi humu, hatufanani.
 
Back
Top Bottom