Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

Kuteuliwa kutoka nje maana yake nn mkuu?
Nina maana kutoka field duty alipokuwa anafanyia dual roles kurudi kwenye group lake kama vile la whatsapp ambapo
Wote wanaongea lugha moja.

Ni mtazamo tu
 
Ina maana Magufuli did not go with recommendation from Rashid Othman??


If so why?

Halafu what about nafasi ya Apson in post JK era????

Hata kwenye mpira sio kila mchezaji anarithiwa baada ya kocha kubadilishwa....maana formation pia zinabadilika. Benteke hajagombana na Klopp ila ndio hivyo tena
 
Hata asingeteuliwa Dr. Kipilimba, mwingine angeteuliwa. Hata angeteuliwa mwingine, pongezi zingetolewa. Na kashifa nyingine zingetolewa. Dr. Kipilimba ni mtu mzima. Katika safari yake ya maisha miaka yote hiyo hawezi kukosa makandokando. Ni kanuni za maisha tuu.

Otherwise, ningefurahi kama waTanzania tungejitahidi kupata mfumo ambao nafasi nyeti kama hizi zinaidhinishwa na bunge. (confirmation). Hiyo ndo njia pekee ya kupata viongozi waadilifu. Na siyo kumlaumu JPM. Tanzania ni kubwa kuliko sisi sote. Miaka 50 ijayo inawezekana 70% tukawa hatupo dunia hii. Tujifunze kujenga misingi imara ya taifa letu kwa faida ya leo na vizazi vijavyo.

Tumpongeze Dr. Kipilimba na tumtakie heri katika kulitumikia taifa letu.
Nina wasiwasi na hoja yako mkuu maana hilo bunge lenyewe la TZ kama tulijuavyo
 
Hivi sifa ya afisa usalama ni kuzuia tukio au kufanikisha uchunguzi wa tukio? (Baada)
Hebu ninyamaze mie.

I believe kikubwa ni prevention. Kama tukishindwa hilo then ni kuhakikisha uchunguzi unafanyika kwa weledi na maslahi mapana ya taifa.
 
[aCOLO=red]I believe kikubwa ni prevention.[/COLOR] Kama tukishindwa hilo then ni kuhakikisha uchunguzi unafanyika kwa weledi na maslahi mapana ya taifa.

Absolutely right...
Na kwa case hii jamaa alifeli,sio kwa ufisadi uliofanyika NIDA.
Anyway, huenda ana vigezo vingine vya ziada.
 
Absolutely right...
Na kwa case hii jamaa alifeli,sio kwa ufisadi uliofanyika NIDA.
Anyway, huenda ana vigezo vingine vya ziada.

Hawa watu siyo wajinga. They know what they are doing. It is just the case kwamba mimi na wewe tunaona glass ikiwa half full. Wengine kama yeye wanaiona kama half empty. Kuhusu Huyu bwana mengi yamesemwa. Mengi yameandikwa. yet truth might be somewhere in the middle. Maana siku hizi kila kitu Tanzania kinaendeshwa na mihemko ya ushabiki wa kisiasa. Ni wachache (kama bado wapo) ambao wako willing kuutafuta ukweli bila kuchanganya mambo. I do believe siyo kila kitu anachokifanya Magufuli au CCM yake ni kibaya. Na si kweli kwamba kila wanachokifanya wapinzani ni chuki na uvunjifu wa amani. We all need to learn and understand that we are different. Tuvumiliane.

Lakini vile vile tukubali kwamba Magufuli has his political capital (alichaguliwa kihalali na wananchi-never mind hilo neno kihalali). A bitter reality. Kwa uzoefu wangu sioni upinzani Tanzania ulio strong uki-challenge serikali ya Magufuli. Not this generation at least. Lowassa had his prime years in the establishment. He owes whatever he has to the current exploitative and repressive system. He knows it. You and I know it. Leo anakwambia system ni mbovu! (possibly it might be Saul's conversion on his way to Damascus!).

Ukifikira sana unaweza kuumiza kichwa au kukata tamaa.
 
Waambie hao. Mkapa alikuwa paparazi, na mzee Mwinyi alikuwa mwalimu, Marehemu Filikunjombe alikuwa polisi. Kazi ya zamani hai-determine utakuwa nani huko mbeleni. NUKTA.
Filikunjombe hakuwa polisi bali ripota wa ITV
 
Absolutely right...
Na kwa case hii jamaa alifeli,sio kwa ufisadi uliofanyika NIDA.
Anyway, huenda ana vigezo vingine vya ziada.
Dr Kipilimba alipelekwa NIDA wakati ufisadi umeshafanyika na alipelekwa baada ya aliyekuwa boss wa NIDA kusimamishwa kazi (alipelekwa kusaidia uchunguzi ) ndio maana aliyekuwa boss wa NIDA Mr. Maimu ana kesi kisutu
 
Yes,nimekumbuka,aliwahi kuwa polisi baada ya kutoka Makerere bt kwa muda flani alikuwa ripota wa ITV akitumia jina la Deo Haule
Tuko pamoja, nami nimeingia chimbo, nimeona ni kweli likuwa anaripoti ITV kwa jina la Deo Haule.
 
Back
Top Bottom