Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,895
- 20,392
Kivipi Mkuu?JPM anatuogopesha Wananchi, kwa nini lakini?
Sasa kwa hali hii wafanyakaz wa NIDA watakuwa na hali gani kisaikolojia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi Mkuu?JPM anatuogopesha Wananchi, kwa nini lakini?
Sasa kwa hali hii wafanyakaz wa NIDA watakuwa na hali gani kisaikolojia?
Nina maana kutoka field duty alipokuwa anafanyia dual roles kurudi kwenye group lake kama vile la whatsapp ambapoKuteuliwa kutoka nje maana yake nn mkuu?
Ina maana Magufuli did not go with recommendation from Rashid Othman??
If so why?
Halafu what about nafasi ya Apson in post JK era????
Some minds are in total confusion huwezi kuwasaidia...trust meyani issue ya upungufu wa madawati ndio kwako ni issue ya kukufanya useme bado tupo pale pale baada ya miaka 50 ya uhuru? mafanikio yaliyopatikana huyaoni? kumbe wewe bado sanaaaaaaa.............
Kwa hiyo umejiongeza...teh teh tehMambo mengine unajiongeza kiongozi au vep?!
Ndomanake ase!K
Kwa hiyo umejiongeza...teh teh teh
Kabisa. Yani ukifuatilia kazi zetu tulio wengi nadhani unaweza kukutana na background za ajabu ajabu sana.na Mbowe alikuwa Dj...ahahahaaa
Nina wasiwasi na hoja yako mkuu maana hilo bunge lenyewe la TZ kama tulijuavyoHata asingeteuliwa Dr. Kipilimba, mwingine angeteuliwa. Hata angeteuliwa mwingine, pongezi zingetolewa. Na kashifa nyingine zingetolewa. Dr. Kipilimba ni mtu mzima. Katika safari yake ya maisha miaka yote hiyo hawezi kukosa makandokando. Ni kanuni za maisha tuu.
Otherwise, ningefurahi kama waTanzania tungejitahidi kupata mfumo ambao nafasi nyeti kama hizi zinaidhinishwa na bunge. (confirmation). Hiyo ndo njia pekee ya kupata viongozi waadilifu. Na siyo kumlaumu JPM. Tanzania ni kubwa kuliko sisi sote. Miaka 50 ijayo inawezekana 70% tukawa hatupo dunia hii. Tujifunze kujenga misingi imara ya taifa letu kwa faida ya leo na vizazi vijavyo.
Tumpongeze Dr. Kipilimba na tumtakie heri katika kulitumikia taifa letu.
Nina maana kutoka field duty alipokuwa anafanyia dual roles kurudi kwenye group lake kama vile la whatsapp ambapo
Wote wanaongea lugha moja.
Ni mtazamo tu
Hivi sifa ya afisa usalama ni kuzuia tukio au kufanikisha uchunguzi wa tukio? (Baada)Si wale waliosababisha mauzauza wameshatumbuliwa?
Hivi sifa ya afisa usalama ni kuzuia tukio au kufanikisha uchunguzi wa tukio? (Baada)
Hebu ninyamaze mie.
[aCOLO=red]I believe kikubwa ni prevention.[/COLOR] Kama tukishindwa hilo then ni kuhakikisha uchunguzi unafanyika kwa weledi na maslahi mapana ya taifa.
Mkuu...Kivipi Mkuu?
Absolutely right...
Na kwa case hii jamaa alifeli,sio kwa ufisadi uliofanyika NIDA.
Anyway, huenda ana vigezo vingine vya ziada.
Filikunjombe hakuwa polisi bali ripota wa ITVWaambie hao. Mkapa alikuwa paparazi, na mzee Mwinyi alikuwa mwalimu, Marehemu Filikunjombe alikuwa polisi. Kazi ya zamani hai-determine utakuwa nani huko mbeleni. NUKTA.
Hivi sifa ya afisa usalama ni kuzuia tukio au kufanikisha uchunguzi wa tukio? (Baada)
Hebu ninyamaze mie.
Sio kweli. Chunguza upyaFilikunjombe hakuwa polisi bali ripota wa ITV
Yes,nimekumbuka,aliwahi kuwa polisi baada ya kutoka Makerere bt kwa muda flani alikuwa ripota wa ITV akitumia jina la Deo HauleSio kweli. Chunguza upya
Dr Kipilimba alipelekwa NIDA wakati ufisadi umeshafanyika na alipelekwa baada ya aliyekuwa boss wa NIDA kusimamishwa kazi (alipelekwa kusaidia uchunguzi ) ndio maana aliyekuwa boss wa NIDA Mr. Maimu ana kesi kisutuAbsolutely right...
Na kwa case hii jamaa alifeli,sio kwa ufisadi uliofanyika NIDA.
Anyway, huenda ana vigezo vingine vya ziada.
Tuko pamoja, nami nimeingia chimbo, nimeona ni kweli likuwa anaripoti ITV kwa jina la Deo Haule.Yes,nimekumbuka,aliwahi kuwa polisi baada ya kutoka Makerere bt kwa muda flani alikuwa ripota wa ITV akitumia jina la Deo Haule