Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

Umesahau kitu kingine Mkuu na Mimi kabla sijasahau ngoja nikuambie kwani ' bichwa ' langu hili nalijua mwenyewe. Ni kwamba pia lazima huyo anayemchagua katika hiyo nafasi awe ama anatoka katika moja ya Makabila yake au Mkoa wake au Mikoa ya jirani na ikibidi hata kwa kigezo tu cha ' Uswahiba '.

Tukumbushe Spy chief Wa Magufuli mzaliwa wa Geita anatoka mkoa gani?

spy chief wa Mkapa mzaliwa wa mtwara alitoka mkoa gani?

Spy Chief wa Mwinyi alitoka mkoa gani?

Spy chiefs wa Nyerere walitoka mikoa gani??
 
Siwajui Mkuu labda Wewe kwakuwa unaonekana kuwa na ' kiherehere ' cha kuwajua basi si vibaya ukitutajia hapa ili siye ' Mangumbaru ' tuweze kuwajua.
 
Spy chief nini tena wewe. Huko tushahamaga tangu 96

Achana na huyo ' Mpuuzi ' na mwache aendelee tu ' kujichoresha ' humu ili wenye akili kuliko yeye tuzidi tu kumcheka kwa ' dharau '. Hii ndiyo JF bhana!!!!!!
 
Najiuliza nini maana ya TISS kama sielewi nchi inakuwa kama ya ajabu hivi NIDA kuna shushu alie bobea wa kuhack taarifa on sport au kegezo kipi kimetumika maana kuna vitengo vya umuhimu uzoefu katika kazi unaitajika hujawahi sikia CIA M16 au mossad nchi wahusika wanafanya changes Mara Mara kwa usalama zaid
ni sahihi kubadilisha mtu, huwezi kuwa na mtu unayetilia shaka kuwa anaweza kuwa loyal kwa bosi wake wa zamani. BTW wanaitwa MI6, M16 ni bunduki.
 
KIpilimba anaharibu kabisa hii nchi anaingiza siasa kwenye Intelijensia huyu anaoaswa wananchi tumuondoe manake hawa watauwa watu kuliko hata Idd Amini na Obote kwa mara ya pili alivyoouwa
 
Achana na huyo ' Mpuuzi ' na mwache aendelee tu ' kujichoresha ' humu ili wenye akili kuliko yeye tuzidi tu kumcheka kwa ' dharau '. Hii ndiyo JF bhana!!!!!!
nyinyi madogo huu usiku woote Bado hamjalala tu. Kwanza homweki umeshafanya? Nyambaf nenda kalale. Qendeh ww!
 
Tukumbushe Spy chief Wa Magufuli mzaliwa wa Geita anatoka mkoa gani?

spy chief wa Mkapa mzaliwa wa mtwara alitoka mkoa gani?

Spy Chief wa Mwinyi alitoka mkoa gani?

Spy chiefs wa Nyerere walitoka mikoa gani??
Mkurugenzi wa kwanza wa Usalama Taifa ni Marehemu Mzee Gama kutoka Songea, sikumbuki mtiririko wake ila walifuata pia kina Hans Kitine, Imrani Kombe mchaga, kuna huyu Mnyakyusa amestaafu wakati wa JK nimemsahau jina (Apson Mwang'onda)then akaja Mzanzibar Othman Rashid ndio akaingia bwana huyu.
 
Umesahau kitu kingine Mkuu na Mimi kabla sijasahau ngoja nikuambie kwani ' bichwa ' langu hili nalijua mwenyewe. Ni kwamba pia lazima huyo anayemchagua katika hiyo nafasi awe ama anatoka katika moja ya Makabila yake au Mkoa wake au Mikoa ya jirani na ikibidi hata kwa kigezo tu cha ' Uswahiba '.

Tukumbushe Spy chief Wa Magufuli mzaliwa wa Geita anatoka mkoa gani?

spy chief wa Mkapa mzaliwa wa mtwara alitoka mkoa gani?

Spy Chief wa Mwinyi alitoka mkoa gani?

Spy chiefs wa Nyerere walitoka mikoa gani??

Mkurugenzi wa kwanza wa Usalama Taifa ni Marehemu Mzee Gama kutoka Songea, sikumbuki mtiririko wake ila walifuata pia kina Hans Kitine, Imrani Kombe mchaga, kuna huyu Mnyakyusa amestaafu wakati wa JK nimemsahau jina then akaja Mzanzibar Othman Rashid ndio akaingia bwana huyu.
 
Mkurugenzi wa kwanza wa Usalama Taifa ni Marehemu Mzee Gama kutoka Songea, sikumbuki mtiririko wake ila walifuata pia kina Hans Kitine, Imrani Kombe mchaga, kuna huyu Mnyakyusa amestaafu wakati wa JK nimemsahau jina (Apson Mwang'onda)then akaja Mzanzibar Othman Rashid ndio akaingia bwana huyu.
Othman Rashid sio Mzenji ni mgosi kutoka Tanga

Sent from my NokiaX2DS using JamiiForums mobile app
 
NIDA c ndo kulikuwa na sintofaham kibao
Anyway wacha tuendelee kuangalia teua teua na tumbua tumbua
Labda ndo vipaumbele vya mkulu wetu
 
Back
Top Bottom