Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwege wewe, nani kakwambia hajawekeza? CCM sijui huwa mnawaza kutumia makalio?Sugu hongera. Umewekeza....siyo yule mchaga aliekimbia ugumu wa maisha maana hakuwekeza. Wabunge mjifunze. Asante JPM kwa kuokoa uwekezaji wa Sugu. Sugu kaajiri wengi sana.
Rais huyu huyu aliyeamuru kuvunjwa kwa hoteli ya bilicana iliyokuwa kivutio kikubwa kwa watalii kwa kutaka kumkomoa MboweAkizungumza hotelini hapo Mkuu huyo wa Mkoa wa Mbeya amedai kwamba amepata maelekezo kutoka kwa Rais wa Tanzania kwamba Hoteli hiyo isivunjwe kwa vile inavyo vibali vyote vilivyotakiwa kabla ya ujenzi wake na kwamba vyanzo vya maji vilivyopo karibu na hoteli hiyo havijaathirika , hivyo hakuna sababu yoyote ya kuhujumu hoteli hiyo .
Hotel ya Kisasa ya Desderia inamilikiwa na Joseph Mbilinyi aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini
Niliwahi kuweka uzi humu kuhusu jambo hili lakini ulifutwa kibabe bila hata kuupa nafasi ya kuomba maji ya kunywa , bali nilichojifunza ni kwamba UKWELI HAUFICHIKI , leo kiko wapi ?
Umeongea ukweli mtupu........Tunaishi kwa hisani ya jiwe na siyo sheria na taratibu za nchi
CLEVER BOY, SIO WALE WENGINE WALIOWEKEZA KWENYE MASHINE ZA KUSAGA . UMETUMIA UBUNGE WAKO VIZURI HUTAKUFA NJA
Tatizo lilikuwa ni ubunge tu, wameshafanikiwa kumpora ubunge hawana shida naye tena.Rais Mzalendo na anayejali wawekezaji leo kupitia Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila ametoa tamko au salamu kuwa SUGU au Mbunge mstaafu wa Mbeya Joseph Mbilinyi ni muwekezaji hivyo atalindwa na hotel yake haitabomolewa na mtu yeyote.
Kulikuwa na uzushi mitandaoni kuwa hotel imejengwa kwenye uoto wa asili yaani pembezoni mwa mto hivyo kulikuwa na mpango wa kuibomoa.
Kwa ufupi Rais amesisitiza hilo eneo limepimwa na linafahamika,Watu wa mazingira yaani NEMC wanalifahamu vizuri.
Mkuu wa mkoa ameonyesha jinsi Sugu anavyolinda mazingira ya mto huo huku maji yakitiririka na kumiminika.
Aidha Bwana SUGU amemshukuru Rais Magufuli kwa kumuhakikishia hilo na kujenga imani kwa wawekezaji wengine.
Maendeleo hayana chama
View attachment 1659613
Apewe hongera ya nini?Mpe hongera Magufuli sasa, mbona unajifanya hilo nalo hulioni eti kwa sababu tu wewe ni kamanda uchwara?
Hizi institutions zimejaa matapeli. Wao ndio waliotoa permit. Halafu bila aibu wanaenda kubomoa.Wakati wanajenga hao NEMC walikuwa sayari gani
Hapana, sio kweli.Mwenye hotel ni lazima ni msukuma/ mfadhili mkuu wa chama cha Jiwe!
SwadaktaTatizo lilikuwa ni ubunge tu, wameshafanikiwa kumpora ubunge hawana shida naye tena.
Kinachojamba ushuzi ni tumbo, matako ni spika tu.
Aliyetowa amri ya kuvunja ndiye aliyetowa amri ya kusitisha uvinjaji.
Unao uhakika au sababu wewe ni CCM ndiyo uhakika wako! Elimu yako na kipato chako kheri ungejinyamazia tu, mlo wako ni wakuungaungaShangazi yangu hajawahi kupata hiyo fursa ya kuwa mbunge kwa miaka 15 mfululizo au kuwa mtetezi wa kampuni ya acasia. Tunachoshangaa ni mtu aliyewahi kupata fursa kama hizo lakini hana cho chote alichowekeza hapa nchini na baada ya kukosa kuendelea na fursa hizo anaamua kuishi maisha ya ukimbzi nje ya nchi.
Sio kila madaraka yana mwisho,,wengine madaraka yetu hayana mwisho mpaka kufa..mfano mimi ni mkulima,nitakua mkulima daimaLipo wazi hilo visasi vyake huwa haviishi.
Hao hao nemc ndio waliotoa vibali vya ujenzi na ndio hao hao watakao jengo livunjwe. Wanaweza wakawa wanamkoa Sugu sawa atakaa kimya serikali nyingine ikingia anashtaki na anashinda analipwa fidia ya jengo plus faida ya KILA siku kwa miaka yote hio. Tuoneeni huruma Kodi zetu kwani ndizo zitakazotumika kuwalipa fidia wengi awamu ijayo sababu ya mkurupuko wa mtu mmoja tu asiye na uchungu na kodi zetu. Maana serikali ipo awamu ndizo upita. Hata wa kimara watashinda kesi usione wamekaa kimya tu wanasubiria mwingine akiingia tu kesi zinafufuka Hawa watawala wanapita lakini haki za watu hazitopita asipolipa anaye atalipa mwingine.
Mpe hongera Magufuli sasa, mbona unajifanya hilo nalo hulioni eti kwa sababu tu wewe ni kamanda uchwara?