uongo daktari au engineer au mwalimu mwenye cheti hayuko wa nadharia ni elimu za vitendoWatu wanavyeti vya nadharia tu, lakini kivitedo ni ziro kabisa. Je kati ya hao wewe uko upande gani?
Sasa hv wameacha kuwa wanamaliza bila kujua kusoma wala kuandika?Yalifanywa hovyo mfano mwalimu mwenye cheti feki alikuwa akifundusha nini kama sio ubabaishaji? Ndio maana watoto walikuwa wakimaliza shule ya msingi hawajui kusoma wala kuandika
Halafu ukiwakuta kazini hai vyeti feki unakuta walikuwa wakiwachukia vijana waliosoma na kuwanyanyasa kutowaekekeza kazi visit ili waendelee kuonekana wao ndio wanajua vijana hawajui kazi!!!Umenena! Unakuta jitu lilikung'uta 0 form six lakini ana kazi nzuri kuliko aliyefaulu. Namshukuru JPM ameondoka nao kwa speed ya light
Tusaidie ufafanuzi,ni katika maeneo yapi mahsusi.Kufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi
Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu
Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu
Pia walitakiwa warudishe pesa zote walizowahi kulipwa muda wote waliokuwa makazini warudishe serikalini
Ningekuwa Rais wangenikoma washukuru Rais ni Magufuli ila siku nikibahatika kuwa Rais hiyo kesi nitaifufua
SawaNdio Ufaulu uko juu
Akili huna.Kufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi
Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu
Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu
Pia walitakiwa warudishe pesa zote walizowahi kulipwa muda wote waliokuwa makazini warudishe serikalini
Ningekuwa Rais wangenikoma washukuru Rais ni Magufuli ila siku nikibahatika kuwa Rais hiyo kesi nitaifufua
Thubutu, kuongelea hili ni sawa na umwambie Magufuli atete swala la ujenzi wa Uwanja wa Kimataifa wa Chato. Ndege inapotua mara 2 kwa mwaka (Pasaka na Xmas)Sawa hebu CCM ongeeni haya kwenye majukwaa yenu ya kampeni.
Kwani hawakuwa wakifanya kazi?Kufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi
Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu
Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu
Pia walitakiwa warudishe pesa zote walizowahi kulipwa muda wote waliokuwa makazini warudishe serikalini
Ningekuwa Rais wangenikoma washukuru Rais ni Magufuli ila siku nikibahatika kuwa Rais hiyo kesi nitaifufua
Bw. YEHODAYA siamini macho yangu nakumbuka mpaka February 2021 wewe na yule boya mwungine BIA YETU mlikua mnatusumbua sana humu ndani na MAGUFULI wenu jambazi mkubwa yuleSiku nikishika uraisi wenye vyeti feki hata kama mumefariki nitafukua maiti nitaichomoa kwenye jeneza nipige mnada jeneza ni 're cover pesa za serikali mlizolipwa mkiwa kazini na vyeti feki ambayo hamkuirudisha kabla ya kufa
Yeye mwenyewe alikua na PHD fekiYupi mwenye digrii halali? Ambayo sio feki?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbavu zanguuDr. Lameck Madelu, Dr.Kigwanomics!! Kazi kweli kweli!!!