Rais Magufuli ana huruma, wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu

Rais Magufuli ana huruma, wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu

Watu wanavyeti vya nadharia tu, lakini kivitedo ni ziro kabisa. Je kati ya hao wewe uko upande gani?
uongo daktari au engineer au mwalimu mwenye cheti hayuko wa nadharia ni elimu za vitendo

Daktari asiye na cheti au mwalimu asiye na cheti hakuna mzazi yuko tayari kukabidhi Mwanae kwake
 
Yalifanywa hovyo mfano mwalimu mwenye cheti feki alikuwa akifundusha nini kama sio ubabaishaji? Ndio maana watoto walikuwa wakimaliza shule ya msingi hawajui kusoma wala kuandika
Sasa hv wameacha kuwa wanamaliza bila kujua kusoma wala kuandika?
 
Umenena! Unakuta jitu lilikung'uta 0 form six lakini ana kazi nzuri kuliko aliyefaulu. Namshukuru JPM ameondoka nao kwa speed ya light
Halafu ukiwakuta kazini hai vyeti feki unakuta walikuwa wakiwachukia vijana waliosoma na kuwanyanyasa kutowaekekeza kazi visit ili waendelee kuonekana wao ndio wanajua vijana hawajui kazi!!!
 
Kufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi

Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu

Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu

Pia walitakiwa warudishe pesa zote walizowahi kulipwa muda wote waliokuwa makazini warudishe serikalini

Ningekuwa Rais wangenikoma washukuru Rais ni Magufuli ila siku nikibahatika kuwa Rais hiyo kesi nitaifufua
Tusaidie ufafanuzi,ni katika maeneo yapi mahsusi.
 
Kufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi

Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu

Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu

Pia walitakiwa warudishe pesa zote walizowahi kulipwa muda wote waliokuwa makazini warudishe serikalini

Ningekuwa Rais wangenikoma washukuru Rais ni Magufuli ila siku nikibahatika kuwa Rais hiyo kesi nitaifufua
Akili huna.
 
Hao watu aliwaonea tu, haya mambo ya vyeti wakichimba sana wengi watanasa hata yeye na hiyo PhD sidhani kama atapona. Ni uonevu tu alifanya akifiri angeweza kuokoa pesa lakini kachemsha vibaya.
 
Inaonekana una roho mbaya sana ndugu.Kile kilichofanyika ni ukatili na ubabaishaji.Aproch ya lile zoezi ilikosa kabisa busara na hekima.Iko siku machozi ya wale waliofanyiwa vile yatajibu.
 
Kufanya kazi kwa kutumia vyeti feki na kulipwa mshahara ni uhujumu uchumi

Rais Magufuli ana huruma wenye vyeti feki walitakiwa walipe pesa zote walizolipwa miaka yote au wawe jela kawaachisha kazi tu

Angekuwa mkali sasa hivi magereza yangekuwa yamejaa hadi kushindwa kumudu

Pia walitakiwa warudishe pesa zote walizowahi kulipwa muda wote waliokuwa makazini warudishe serikalini

Ningekuwa Rais wangenikoma washukuru Rais ni Magufuli ila siku nikibahatika kuwa Rais hiyo kesi nitaifufua
Kwani hawakuwa wakifanya kazi?
 
Siku nikishika uraisi wenye vyeti feki hata kama mumefariki nitafukua maiti nitaichomoa kwenye jeneza nipige mnada jeneza ni 're cover pesa za serikali mlizolipwa mkiwa kazini na vyeti feki ambayo hamkuirudisha kabla ya kufa
Bw. YEHODAYA siamini macho yangu nakumbuka mpaka February 2021 wewe na yule boya mwungine BIA YETU mlikua mnatusumbua sana humu ndani na MAGUFULI wenu jambazi mkubwa yule

Mkajaribujaribu kututumka kipindi cha kuaga maiti kupitia picha zinaooyesha mahudhuro ya kwenda kumuaga Magu, tukio ambalo hata mimi ambae si mpendi nilienda kuhakikisha kama kweli huyo DICTATOR UCHWARA aliyejiita malaika kafa

Tukio la kuaga lilipokwisha mkaja na habari ya LEGACY sasa kila uchwao LEGACY inayeyuka umeona urudi kwenye VYETI FEKI sasa mara siju KATIBU MKUU atoke Zenji yaani hueleweki umepotea njia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Cool down bro !
 
Back
Top Bottom