YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
- Thread starter
- #81
uongo daktari au engineer au mwalimu mwenye cheti hayuko wa nadharia ni elimu za vitendoWatu wanavyeti vya nadharia tu, lakini kivitedo ni ziro kabisa. Je kati ya hao wewe uko upande gani?
Daktari asiye na cheti au mwalimu asiye na cheti hakuna mzazi yuko tayari kukabidhi Mwanae kwake