Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Watu wanakufa kila siku (kwahio Mungu hayupo au yupo ) ?
Ukisikia njaa unakula chakula..., ukisikia kiu kama hauna maji unakwenda kisimani haijalishi kuwepo au kutokuwepo kwa Mungu au imani yako inakwambia nini....
Kwahio kwenye magonjwa ya mlipuko ni kufuata kanuni za ugonjwa husika zinasemaje hayo mengine ya Imani ni kila mtu kivyake kwa wakati wake (huku anafuata taratibu).., Kuamini bila kufuata taratibu ni kuchezea shilingi chooni