Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
Maana yake ni hii, Mchungaji=mfugaji.Mmh Mzee Joseph Magufuli alikua mchungaji!
Vv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana yake ni hii, Mchungaji=mfugaji.Mmh Mzee Joseph Magufuli alikua mchungaji!
Rais madikteta anauehusika ni shetaniEti kamwe, Mungu mwenyewe ndiye anayemjua, wewe ni worthless individual unayebweka tu. Unadhani kuwa kiongozi wa nchi Mungu hahusiki. Nyumbu bhana
Tuna muomba MUNGU lakini pia lazima tuchukue tahadhari maana hata MUNGU alisema jisaidie nitakusaidia
[/QU
If you show stupidity in Tanzania you are identified as a PATRIOT, but if you are enlightened, you are a security risk!!Maneno mazuri ya kutia moyo, tuendelee kumtumainia Mungu kwa hili hakika tutashinda.
Hivyo vitabu vya Mungu vitakuwa viliandikwa na maza akoKwa hiyo unapambana Ili Mungu akusaidie, ule Msemo wa Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu, kwako wewe ni kinyume chake Siyo? Wewe huwa unaanza halafu Mungu anafuata?? Si ndiyo?
Unanini Kilicho halali yako hapo ulipo? Akili Siyo? Au ni nini, Mwili ambao badae ni maiti
Utaweza kumsaidia Mungu wewe?
Kwa hiyo ukiugua unakazana kupumua Kwa nguvu Ili na Mungu akusaidie kuendelea kuishi Siyo?
Mandiko haya uliyonukuu ni ya kishetani na hayapo kwenye vitabu vya Mungu
Mzee kama wewe kukosa akili ni hatari sn, mpuuzi mkubwa kwahiyo tuache kuchukua tahadhari? shame on youKwa hiyo unapambana Ili Mungu akusaidie, ule Msemo wa Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu, kwako wewe ni kinyume chake Siyo? Wewe huwa unaanza halafu Mungu anafuata?? Si ndiyo?
Unanini Kilicho halali yako hapo ulipo? Akili Siyo? Au ni nini, Mwili ambao badae ni maiti
Utaweza kumsaidia Mungu wewe?
Kwa hiyo ukiugua unakazana kupumua Kwa nguvu Ili na Mungu akusaidie kuendelea kuishi Siyo?
Mandiko haya uliyonukuu ni ya kishetani na hayapo kwenye vitabu vya Mungu
Inaelekea kuna jambo hukielewi. Jitihada za kujikinga dhidi ya janga la maambukizi ya Corona haziwezi kuongoza na mbinu za mtu mmoja mmoja tu. Zinatakiwa kuwa collective. Hospitali, wataalam, vituo vya afya, vyombo vya usafiri, kuhami maisha kwa wananchi wasiojiweza, na kadhalika, hakuwezi kufanikishwa na mtu mmoja mmoja tu, bali kupitia collective policy; Serikali. Kwa sasa Serikali iko kimya au unatoa maelekezo ya 'kuipotezea' tu.Wenye akili km zako hawapaswi kuwa JF kwa hakika. Inasikitisha kuona wapo watu humu wenye akili finyu za kusubiri rais aseme ndio ajue tatizo lipo au la na achukue hatua. Idiot!
Corona si tatizo la kumwita Mungu, ni tatizo la kupambana nalo kwa maarifa aliyotupa Mungu. Kimsingi Magu anashindwa kumeza maneno yake ya kujigamba, hawezi. Lakini cha ajabu hata sisi hatutaki kujikinga tunasubiri et rais aseme "chukueni tahadhari". Ujinga.
Ebola haikutoka kwa maombi, polio, surua, ndui n.k havikuisha kwa maombi. Jiue kwa ujinga wako km hao wapuuzi wanaoendelea kukusanyika misibani bila kuvaa hata barakoa.
Nimegundua kitu, nimequote jitu jinga lisiloelewa chochote halafu eti linasema linaweza kumsaidia Mungu?Mzee kama wewe kukosa akili ni hatari sn, mpuuzi mkubwa kwahiyo tuache kuchukua tahadhari? shame on you
"Mchukue mtoto na mamaye ukamfiche Misri hadi balaa lipite". "Watu wangu wanateketea kwa kukosa maarifa". Korona ipo. Chukua tahadhari. Kufanya hivyo ni kujificha na kuwa na maarifa.Wenye akili km zako hawapaswi kuwa JF kwa hakika. Inasikitisha kuona wapo watu humu wenye akili finyu za kusubiri rais aseme ndio ajue tatizo lipo au la na achukue hatua. Idiot!
Corona si tatizo la kumwita Mungu, ni tatizo la kupambana nalo kwa maarifa aliyotupa Mungu. Kimsingi Magu anashindwa kumeza maneno yake ya kujigamba, hawezi. Lakini cha ajabu hata sisi hatutaki kujikinga tunasubiri et rais aseme "chukueni tahadhari". Ujinga.
Ebola haikutoka kwa maombi, polio, surua, ndui n.k havikuisha kwa maombi. Jiue kwa ujinga wako km hao wapuuzi wanaoendelea kukusanyika misibani bila kuvaa hata barakoa.
Mkuu hizi sizije kuwa kuwa dua za kuku...Mwambie jiwe ni kweli Mungu yupo na ndiye aliyemuokoa LISU na marisasi 32 ya shetani ambaye leo amegeuka Muomba MUNGU! Haa Tena mwambie jiwe MUNGU wa kweli hajaribiwi na mwaka huu hauishi lazima ampende uchwara zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]