Rais Magufuli anahoji; Je, ninyi hamuamini kuwa yupo Mungu?

Watu wanakufa kila siku (kwahio Mungu hayupo au yupo ) ?

Ukisikia njaa unakula chakula..., ukisikia kiu kama hauna maji unakwenda kisimani haijalishi kuwepo au kutokuwepo kwa Mungu au imani yako inakwambia nini....

Kwahio kwenye magonjwa ya mlipuko ni kufuata kanuni za ugonjwa husika zinasemaje hayo mengine ya Imani ni kila mtu kivyake kwa wakati wake (huku anafuata taratibu).., Kuamini bila kufuata taratibu ni kuchezea shilingi chooni
 
Nimeona leo kwenye mitindao muheshimiwa Sana ,mtukigu Rais anatuamasiha waumini wa dini za kikristo,kiislamu na kisabato tusali na kufunga na kwamba tumtegemee MUNGU tu

Je ,ana hofu na Nini?

Tuko uchumi wa Kati kwani shida iko wapi?

Mbona kila siku tunaenda kwenye nyumba zaidi iweje leo kwenye kuaga mwili wa kijazi asisitize Sana hivyo ana hofu gani?

Tuendelee kupiga nyonga[emoji1]
View attachment 1706217
 
Kwenye magonjwa ndipo Mungu anaonekana mzuri na anajibu ila kwenye uchaguzi ambapo wananchi wanamchagua wanayemtaka huyo Mungu hayupo, what a sad like this mh?.

Alafu wewe kama kiongozi unatumia kauli hii “Kufa tutakufa tu, unaweza ukafa kwa Malaria, Kansa na Magonjwa mengine, kufa kupo."
👉🏾Then unalitaja jina la Mungu, nadhami atakuwa ni mungu na si Mungu ambaye kila mtanzania anamuabudu.

Maandiko yanasema Romans 6 'mshahara wa dhambi ni mauti...'
 
Kwahiyo tusichukue hatua za kujikinga kwasababu Mungu yupo? atakua Mungu wa chato huyo.

Ulimsikiliza alichoongea? Labda kwa kumnukuu, amesema "tuchukue na tahadhari zote kulingana na wataalam wanavyotuelekeza. Lakini zaidi, tuendelee kumuomba Mungu".
 
Kumtaja Mungu is not necessarily kumjua
 
Hujui chochote wewe
 
Hofu ni kuhusu Korona
a.k.a 'changamoto ya upumuaji'
 
Mimi nishachukua hatua vipi kuhusu wenzetu wa kijijini wanaopata taarifa kupitia redio wao je?

Mkuu kwa matangazo ambayo tumeyapata kwenye viombo vya habari kwa kipindi chote, hamna ambaye hana taarifa.
 
Mimi hapo sijaelewa,inaonekana hatuambiwi ukweli.Hata Mungu anayefahamu ukweli anatushangaa,badala ya kuomba atuepushe na COVID sisi tunaomba aepushe matatizo ya kupumua na hivyo hatuwezi kupata msaada wake.
Tatizo haliondoki bila kukiri kwamba lipo ndipo tunashirikiana kutafuta ufumbuzi wa pamoja na tukubaliane kulitokomeza kwa weledi bila kuleta athari.
Hapa kwetu akiugua nani au kufikwa na mauti nani ndipo tukiri kwamba COVID is real?
 
Bado hajakoma bamoja na dalili zote za kufikia yeye mwenyewe
 

Mungu ukimtumia kisiasa utapata aibu wewe
 
Dhidi ya corona, hivyo vaa barakoa amekwambia indirectly. Msimfuatishe kutovaa barakoa yeyw, SI AJABU HE IS ALREADY VACCINATED AND THEREFORE PROTECTED FROM FATAL DISEASE/INFECTION
 
JPM angetumia falsafa hiyo hiyo ya kumwogopa Mungu wakati wa uchaguzi mkuu 2020. Biblia inasema Mungu hadhihakiwi; JPM aache kumdhihaki Mungu. Kwenye uchaguzi Mungu aliwekwa wapi anamtaja tu kwenye corona? . Mwambieni JPM Mungu siyo mdoli wa kumchezea, kumkejeli; angekuwa na IMANi asingekimbilia Chato kujificha. angekuwa na IMANI angeruhusu Mungu awaongoze watu kuchagua viongozi wanaowapenda. Hatutaki unafiki sisi na bahati nzuri mzee Jakaya kesha shtukia usanii wake
 
Dhidi ya corona, hivyo vaa barakoa amekwambia indirectly. Msimfuatishe kutovaa barakoa yeyw, SI AJABU HE IS ALREADY VACCINATED AND THEREFORE PROTECTED FROM FATAL DISEASE/INFECTION
Mmh kwamba yeye kashakuwa injected?
 
BAVICHA HILI KWAO CHUNGU.HAPO WALIPO WANATAMANI MODS WAUFUTE HUU UZIII. KATIKA RAIS AMBAE ATAKUMBUKWA KWA KUWA NA MAONO AMBAYO ILI UYAELEWE UNATAKIWA UWE NA THE WISDOM ABOVE NORMAL ni huyu jpm.I salute you!!!!
 
Umesahau uporaji wa demokrasia uliofanyika uchaguzi mkuu 2020
 
Hapa unapotosha mkuu.si dhani kama kuna kum jaribu Mungu hapa.Tunaambiwa tuendelee kuchukua tahadhari ila tusiache kumuomba Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…