unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,870
RAIS HASHAULIKI, na ukimshauri ndiyo anafanya tofauti. Halafu ukimshauri ndiyo mwisho wa kazi yako. Mbona kwenye uchumi na fedha yuko na mtaalamu anayetambuliwa na WB na IMF, huyu Dr Philip Mpango.
Jamaa ameharibu uchumi kwa kuwanyanyasa Sekta Binafsi hususan matajiri wakubwa akina Yusuf Manji, Mo Dewji, Dangote, Ally Mufuruki nk.pamoja na hao wengine ndiyo nchi ingekuwa inakusanya kodi kwa 80% ila sasa wengine wamefunga biashara, wengine wamepunguza uzalishaji na wengine wamekufa.
Matokeo yake sasa Serikali inanza kuhangaika na kodi za sekta isiyo rasmi kama machinga, wafuga kuku na mama ntilie. STUPID
Nafikiri inayosema ni chuki na sio akili ya mfanyabiasha. Ni wakati wa Magufuli tuu unaweza kuanzisha kiwanda bila EIA report , utaitafuta wakati unaendelea na ujenzi.Magufuli ni mzuri kwenye BIASHARA na UCHUMI?
Unamdanganya nani ndugu yangu?
Unajua,huu utoto muwe mnaacha bwana,hakuna pumbavu humu!
Sahihisho la herufi sawa. Ila unataka ushadidi gani? Sasa nikupe ushahidi wewe Mahakama? Kama kichwa chako hakielewi nikichokiandika, basi ubongo wako una matunguri.Jifunze kwanza Kiswahili. Hashauliki ndo Nini. Una ushahidi au maneno ya kijiweni. JPM amefanya vizuri sana kuliko majungu yenu. Poleni
Hana jeuri hio na wala uthubutu wajaribu waone, labda awe pandikizi kutoka Taifa au Mataifa jirani ila pia hata kwa vita au mapinduzi kutoka ni lazima. Sumu haionjwi.Tukitengeneza uhalisia wa kutotaka viongozi kutoka kanda ya ziwa, tusishangae suala la kuongeza muda likapamba moto.
Uongozi ni pamoja na Ku predict/forecast hill swala LA mabadiliko ya mfumo wa kiuchumi wa dunia haukuanza Siku moja au mwaka moja nilikuwa na viashiria vyote vya mfumo kwenda kubadlika.Halafu huwezi kumlaumu saana Nyerere kwenye masuala ya uchumi Kwasababu kipindi hicho hakukuwa na any proven working economic system.
Dunia ilikuwa kwenye trial and errors. Kuna watu waliamini Ubepari, wengine Ujamaa, wengine communism.
Hakuna aliyekuwa na uthibitisho kwamba system fulani ni better na ita work out.
Magufuli ni mzuri kwenye BIASHARA na UCHUMI?
Unamdanganya nani ndugu yangu?
Unajua,huu utoto muwe mnaacha bwana,hakuna pumbavu humu!
Watumia neno TRANSFORMATION lakini inaonyehsa hata dhana yenyewe hii huifahamu vizuri!Uelewa wa watu wengi wa Transformation ni mdogo ikiwemo mleta mada na wanao muunga mkono
1. Hakuna kodi isiyoeleweka zaidi ya kauli au dhana ya mleta mada, kwani ameshindwa kueleza ni kodi ipi isiyo eleweka ili aweze kueleweshwa.
2. Account kuwa frozen sio jambo geni na ndio maana Maneno hayo yapo hayakuanza wakati wa Nyerere au wakati wa Awamu hii ya Tano.
Na kama kuna Nchi ina freeze account ni USA ambayo imezui fedha nyingi sana Iran na za Venezuela, just to a mentioned a few e.g.
Na kuna sheria za kimataifa ktk usafirishaji wa pesa toka nchi moja kwenda nyingine, na hata ubadilishaji wa pesa wakati mwingine hufanyika ili kudhibiti mambo kama haya ya ukwepaji kodi na uhifadhi wa fedha zilizopatikana kwa njia zisizo faa kama matendo, madawa ya kuleta n.k.
3. Hakuna kodi ya kuku wawili wanaofugwa nyumbani for matumizi ya nyumbani, lakini kuna kodi zimewekwa kwa kufanya biashara mfano unauza kuku sokoni kuna kodi zake au uhuru wa soko n.k.
Na madhumuni yake ni watu wengi kadri inavyo wezekana wachangie maendeleo na utoaji wa huduma kwa watu wote waliopo Tanzania . Na sio kodi itoke kwa baadhi tu ya wananchi au tuseme wafanyakazi na wafanya biashara
4. Hakuna mara kile mara hiki , bali ni kuimarisha mifumo yetu ambayo ilikuwa dini kwa kutokuwa na wafanyakazi wa kutosha wenye weledi na matumizi mazuri ya technology yenye kuwezesha kupata taarifa sahihi za mtu/watu / vitu/ biashara n.k .
Vitu hivyo visipo fanyika ni huyu huyu mleta mada atalalamika kukosekana kwa waalimu, vyoo, thamani za shule vitu, ma desk n.k
Hivyo uwe na mchango endelevu ili Maisha ya watoto iwe bora zaidi. Fikiria future
Mradi wowote wa vizuri wa kiuchumi unaofanywa nchini lazima utakuwa na faida kwa mwananchi.Mkuu hizo ni mbwembwe na maua juu ya mavi
Siwezi fungua kiwanda kwenye nchi ambayo mahakama zinapokea simu kutoka ikulu zifunge mtu,hakuna mfumo wa mahakama,siwezi pata haki yangu nikiingia kwenye dispute na serikali au mtu mwingine!
Siwezi fungua kiwanda kwenye nchi ambayo tax regime ni unpredictable,ni upumbavu ulioje!
Siwezi fungua kiwanda kwenye nchi ambayo haina rule of law.Mwanasiasa akisema nafunga kiwanda chako anafunga asubuhi na wote mnafungwa na hakuna dhamana wala hakuna kesi ya kujitetea
Siwezi fungua kiwanda nchi ambayo mfumo wa banking ni hijacked na serikali....Hela zangu za biashara zinaweza chukuliwa muda wowote mawe akiamua at pleasure of his own whims bila kujitetea popote.....
Siwezi fungua kiwanda kwenye nchi isiyo na mfumo wa kidemokrasia unaofanya kazi kweli....Mimi kama muwekezaji sikubaliwi kupeleka malalamiko yangu kwa mbunge wa eneo langu akanisemee bungeni maana mkuu mwenye nchi ndio kampa huo ubunge na Spika hataruhusu aongee chochote maana na yeye kawekwa na mkuu huyo huyo wa nchi....
Hakuna lalamiko lolote litasemwa bungeni kama mimi muwekezaji nailalamikia serikali kwa lolote!
Huo upumbavu unaosema wa kuandikisha leseni sijui EIA reports sijui na upumbavu gani mwingine ni maua juu ya mavi makubwa yanayonuka!
Mapumbavu nyooote!
Wanatumia Sheria za hovyo za utakatishaji fedha uhujumu uchumi kuwaonea watu hususani wafanyabiashara wakubwa na pia wa kawaida na kero kubwa ni baadhi ya maofisa wa TRA vinara wa Rushwa hutengeneza mazingira ya Rushwa kwa kuwabambikia kodi kubwa kufunga Account za wafanyabiashara ni uonevu ulioje, utawala huu umejaa mapungufu mengi mnoHata shetani hakosi wafuasi , yaani oneni huyu jamaa anasapoti udhumati , uvunjaji wa sheria , katiba , ukiukwaji wa haki za binadamu , unapora hela za watu kisingizio ukwepaji kodi , utakatishaji ,uhujumu uchumi , The king is possessed by the evil spirit .
Kibaya ni kuwabambikia kodi kubwa na kufunga Account za wafanyabiashara vitendo ambavyo vinaikosesha Benk imani toka kwa wananchi, watu wengi sasa hawataki kuweka pesa Benk kwa Hofu ya TRA kuzinyemelea kuwabambikia kodi kubwa wamiliki wa pesa kwenye mabenkVipi yana kanuni pia watu fulani wasilipe Kodi japo wanaingiza kipato tena kikubwa?
Magufuli akitaka apate ukweli aitishe mkutano wa wafanyabiashara wote waliofungiwa biashara zao, kubambikiwa kodi kubwa kienyeji, kufungiwa Account za kwa njia haramu za kishetani, hapo atapata taarifa nzuri jinsi watendaji wake wanavyowaonea wafanyabiashara kwa nia ya kutengeneza mazingira ya Rushwa, wafanyabiashara wengi wamekufa kwa pressure baada ya kupelekewa bill kubwa za kodi kinyume na deni halisiMagufuli atumike vizuri ni Rais Mzuri sana.
Apatikane mtu wa kumsaidia vizuri huyu mtu awe ni link Kati yake na watendaji wake mambo yatakwenda vyema.
That's all.
Kuna usumbufu uonevu mkubwa hufanywa na baadhi ya maofisa vinara wa Rushwa huko TRA na hao ndiyo chanzo cha wafanyabiashara wengi kuhamisha pesa zao kwenda mataifa mengine baada ya kukosa imani na mabenk ya Tanzania ambazo zinatoa ruksa TRA kufunga Account hovyo hovyo kwa uonevu unyanyasaji kwa wafanyabiashara.Acha upumbavu wewe.....
Kiwanda changu cha kupasua kokoto Kunduchi kinasaidia nini wakazi wa Mabogini Moshi?
Zaidi ya kodi nazotoa TRA,hakuna kingine!
Wewe unadhani unaongea tu eti "kinasaidia wananchi" ndio sababu,hata ajira nazotoa ni "kusaidia" wananchi..
Hakuna biashara isiyowasaidia wananchi,labda kichwanda cha kutengeza heroine tu.....
Hoja yako ya wananchi ni dead on the arrival
Fundamental issue hapa ni kwamba HAKUNA UTAWALA WA SHERIA-RULE OF LAW....mahakama zinafata "maelekezo" hazipo independent
Mimi muwekezaji ikitokea Waziri yeyote wa utawala wa Magufuli ananichukia,basi nchi lazima nihamishwe na biashara yangu itafilisiwa na sina mahakama ya kwenda kudai haki yangu
Hatuwezi wekeza kwa "huruma" ya utawala,tunataka kuwekeza kwa mujibu wa "sheria" na hakuna mtu anaweza nifilisi atakavyo yeye na ninaweza enda mahakamani nikadai haki yangu na nikaipata kwa mujibu wa sheria
Huu unafiki Dangote ulimshinda akaondoka kaacha magofu ya viwanda Mtwara huko.....Hakuna maana
Sijaelewa unaongea mavi gani haya
Sikuelewi kabisa
Toa hoja ueleweke.....
Topic mezani ni kwamba ,UTAWALA huu wa huyu mungu mtu,hakuna anaetaka kuja kuwekeza hapa,infact wanaondoka....
Na sababu ni hizo tulizotoa hapo....Full stop.
Tatizo anawatumia Tisii badala ya wataalam wa sekta husika.Maswala ya uchumi duniani kote Yana kanuni zake ..ukitaka kuharibu uchumi basi Anza kupeleka mambo kipolisi polisi. Mara kodi hazieleweki
Mara account zimekuwa freeze za wafanyabiashara.
Mara Kodi mpya hadi za wanaofuga kuku wawili majumbani.
Mara hiki mara kile.
Mazingira yakishaanza tu kuwa 'unpredictable' .. kinachofata watu hukimbia na pesa zao..
Wengine watakaa nazo majumbani wakiona hata Bank hakuna usalama. Wengine wataacha kuanzisha biashara mpya..wakihofia Hali hii ya kutotabirika.
Wengine wata wekezs nchi za nje na nchi jirani.. mwisho WA siku uchumi utaporomoka tu.
Cha kushangaza Tanzania tuliwahi fanya haya makosa Sana wakati wa Nyerere. Why yanajirudia?
Washauri wanafanya kusudi Rais achukiwe apewe lawama?
Wengi hutumia jina la magufuli kuharalisha uonevu unyanyasaji kwa wafanyabiashara wakubwa na wadogo piaHiyo sio tafsiri yangu;
Ninachokiona hapa ni kuwa there is a missing link between Magufuli na Watendaji wake.
Kwamba kuna baadhi ya watendaji wanashindwa kuelewa jamaa anataka nini katika kushindwa huko kumuelewa wanafanya mambo ambayo wakati mwingine yanamuweka mahali ambapo sio pazuri.
Hivyo kutatua hili, anapaswa kuwepo mtu au watu ambao wanamfahamu vyema mh. Na wanauwezo mzuri wa kusukuma mambo nikimaanisha kuyatafsiri katika namna itayoeleweka kwa urahisi na watu hao ndio watakao kuwa wanasukuma kila jambo analolitaka, hii itasaidia sana.
Sasa bank si mahala salama pa kuweka pesa za mfanyabiashara kwani TRA wanaziwinda wafunge Account baada ya kuwa wamewabambikia kodi kubwa hewa wafanyabiasharaUkisoma historia ya kuanzishwa mabenki , watu walishawishiwa kupeleka pesa Zao huko kwa kuogopa majambazi kwa kifupi ni kwamba watu walipeleka pesa zao huko kwa kuaminishwa kuwa zIkiwa huko zina salama!! Sasa iwapo kule waliakoaminishwa kuwa kuna usalama hakuna huo usalama [ accounts Kuwa frozen; unnecessary bank charges] kwanini waendelee kuweka pesa zao huko?
Kumbuka kama fedha haitazunguka katika nchi kwasababu watu wanaweka fedha zao kwenye vibubu basi uchumi utadumaa; je Magufuli huo uchumi wake wa kati atauimalisha na nini? NYUNGU?
Wasaidizi wa magufuli hutembeza uonevu uovu mwingi kwa kivuli chake pasipo yeye kujua chochote kwa wanaonewa hutishiwa kesi za utakatishaji fedha na uhujumu uchumi hivyo kuwapelekea kukaa kinya kuumia kimya kimyaNaunga mkono hoja.
P
Wewe ni mnufaika wa uonevu blackmail kuwabambikia kesi, kuwabambikia kodi kufunga Account za wafanyabiashara kienyeji kutengeneza mazingira ya Rushwa na uonevu wote kwa wafanyabiashara ndiyo maana unakazania kusema ni Majungu, hizo Tabia zenu mbovu za kuwatishia wafanyabiashara kesi za utakatishaji fedha na uhujumu uchumi ili kuwapora pesa zao mjue mwisho wenu mtavuna laana kubwa na mtapelekea mabenk kukosa wateja kwani wafanyabiashara wakubwa sasa wamehamishia pesa zao Uganda Zambia kenya kusiko na upumbavu wa kufingiwa Account kienyeji kishamba kwa njia haramu za kishetani.Majungu hayo, nani ametangaza kodi ya kuku? Msione vinaelea vimeundwa, waliozoea wakati wa rukhsa na mzee wa Msoga zama zao zimepitwa. Nchi inatakiwa isonge mbele hapa Kazi tu! Rais ni taasisi.
Sasa wakitaka pesa wanachungulia bank ni nani ana pesa nyingi huko wanaenda kuifunga Account anabambikiwa kodi kubwa ili wapate kisingizio cha kuipora pesa yakeTatizo anawatumia Tisii badala ya wataalam wa sekta husika.
Sawa wewe Ndio mwenyewe uelewa wa hilo neno na faida ya au matendo yanayo enda na hilo neno , keep it UpWatumia neno TRANSFORMATION lakini inaonyehsa hata dhana yenyewe hii huifahamu vizuri!