Rais mwenyewe anawashauri washauri na kasema hapangiwi.
Nichukue mfano mmoja tu kuelezea jinsi kuwalaumu washauri kunavyoweza kuwa kile waingereza wanachokiita "blaming the victim". Kumlaumu muhanga.
Kuna mshauri mmoja anaitwa Lawrence Mafuru. Alikuwa Msajili Hazina. Moja ya kazi yake ni kumshauri rais mambo ya fedha. Jamaa ni banker mzuri wanamfahamu mpaka London Charter of Bankers.
Magufuli alikuwa anataka hela zote za serikali ziwekwe BOT.Mafuru akamwambia si vibaya, ila zoezi inabidi lifanywe kwa awamu, kwa sababu kuondoa hela zote kwa mpigo kutaharibu mzunguko wa fedha. Huo ulikuwa ushauri mzuri tu kitaalamu.
Tafsiri ya Magufuli ilikuwa kwamba Mafuru anajifanya mjuaji. Mafuru akatolewa kwa style ya "atapangiwa kazi nyingine". Style mbaya sana. Unalipwa mshahara, lakini kazi hufanyi unakuja ofisini kusoma magazeti kila siku.
Sasa hapo washauri wengine wakiona mwenzao kapigwa daflao hivyo kwa kushauri kitaalamu, na wao wanazipenda kazi zao, unafikiri watashauri kitaalamu au watakubali anachotaka Mzee Baba tu?
Khaa itakuwa nomaTunamalizia Ile mitano ya kisheria alafu ndo TUNAANZA upya.
Wala hapangiwiYule hashauriki
Au nasema uongo ndugu zangu!"Kwanza mimi mtu akinishauri ndiyo anaharibu kabisa"
Kwani hayo maono ya magufuli ni sayansi ngumu sana zisizoeleweka kwa urahisi? Rocket sciences?Ninachokiona hapa ni kuwa there is a missing link between Magufuli na Watendaji wake.
Kwamba kuna baadhi ya watendaji wanashindwa kuelewa jamaa anataka nini
Sasa mkuu weka wewe record straight.Sio kweli kabisa, ni upotoshaji wa wazi na wa hali ya juu kabisa na sijui kwa faida ya nani.
Nyie ni watu wa mishahara.Shida kubwa ipo kwa waliokua wanatumia nafasi zao, waliokua wanatoa na kupokea kitu kidogo ili kukwepa sheria na taratibu..... ndio maana sasahivi malalamiko ni mengi kama vile rais Magufuli amekuja na sheria na taratibu mpya
Zanzimana anasumbuliwa Sana na cannabis sativa inampeleka vibaya sana . Mpaka anaamua kufanya daylight robbery .Sasa kibaya zaidi baada ya kulazimisha mashirika ya umma na taasisi ziende BOT..
Anatolea udenda pesa za NMB na CRDB..
Ndo unaona kinachotokea..
Yaani anajipiga risasi mwenyewe ya mguu halafu anashangaa why hawezi kukimbia..
Mind you wakati taasisi za umma na mashirika ya serikali zinazuiliwa kufanya biashara hata na Nmb na CRDB huku serikali ni mwanahisa huko pia na faida zinawatoa udenda...
Hadi wauza kahawa hawa mtaani wakae stand by [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtu anaona Sawa kuanza kuweka Kodi Kwa wafuga kuku
Hajui kinachofata ni kuku kupanda bei
Huyu unayemsifu kuwa "kiongozi bora" katika mstari mmoja, halafu mstari unaofuata unampaka rangi isiyopendeza kabisa!Hiyo sio tafsiri yangu;
Ninachokiona hapa ni kuwa there is a missing link between Magufuli na Watendaji wake.
Kwamba kuna baadhi ya watendaji wanashindwa kuelewa jamaa anataka nini katika kushindwa huko kumuelewa wanafanya mambo ambayo wakati mwingine yanamuweka mahali ambapo sio pazuri.
Hivyo kutatua hili, anapaswa kuwepo mtu au watu ambao wanamfahamu vyema mh. Na wanauwezo mzuri wa kusukuma mambo nikimaanisha kuyatafsiri katika namna itayoeleweka kwa urahisi na watu hao ndio watakao kuwa wanasukuma kila jambo analolitaka, hii itasaidia sana.
Watu wa mishahara nao wanakatwa kodiNyie ni watu wa mishahara.
Anzisha biashara leo uone mtaji wako utakavyokatwa na kodi.
Wengine watakaa nazo majumbani wakiona hata Bank hakuna usalama. Wengine wataacha kuanzisha biashara mpya..wakihofia Hali hii ya kutotabirika.
Ah mama d naona wewe mambo yako mterezoWatu wa mishahara nao wanakatwa kodi
Mshahara unavyoongezeka na kodi inaongezeka
Maendeleo hayana vyama
Na kwa taarifa yako anaongeza!!! Msiyempenda kajaBado 4 na miezi 10
Bado hujakatwa kodi wewe .Watu wa mishahara nao wanakatwa kodi
Mshahara unavyoongezeka na kodi inaongezeka
Maendeleo hayana vyama
ThubutuuuAh mama d naona wewe mambo yako mterezo
Ova