Kwa wiki nzima nilikiwa Bagamoyo. Na nimesikiliza mijadala mingi sana ktk viunga vya mji huu wa kihistoria kuhusiana na kampeni zinazoendelea.
Nami ktk nyakati na maeneo tofauti nilikuwa najaribu kuchomekea kutaka kujua watu wana matamanio ya kumchagua nani ktk uchaguzi wa 28/10/2020, na kwasabb gani?
Wabagamoyo hawamtaki kabisa Magufuli kwasabb hz zifuatazo:-

- Amefuta ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Hili suala litamnyima kura nyingi sana, kwasbb limewaudhi mno. Ktk kila watu 5 nikioongea nao, 3 wanaligusia hili.
- John alipewa ombi la kujenga kiwanda cha kuchakata mananasi akawajibu nyodo wabagamoyo. Alisema:-"mlikuwa na rais anayetoka hapa, tena ni mkulima wa mananasi hamkumuomba awajengee kiwanda. Mlisubiri mm niwe rais ndiyo nije niwajengee??"
- Madhira waliyo yapata wavuvi wakati wa operehseni ya uvuvi haramu ya waziri Luhaga Mpina. Hapa wavuvi wengi walipigwa na kunyang'anywa nyavu zao Kisha zikachomwa Moto.
- Kufifia kwa biashara ya mqhoteli. Watoto wengi wa wakazi wa Bagamoyo waliokuwa wameairiwa kwenye mahoteli hv Sasa hawana kazi.