Rais Magufuli anakataliwa mpaka na wazee hapa Bagamoyo

Nani ampe kura mnyanyasaji, mkabila.. Kura zote ni kwa Lissu. Tumechoka sana Watanzania kuwa chini ya Jiwe.
Huu ndiyo wimbo wa watanzania kwa Sasa. Watasimama na Lisu na inshallah, watatoboa tu.
 
Weeee!! Amehujumiwa, kwa kunyimwa kibali cha kuruka na chopa. Ratiba ilionesha kuwa atafika Bagamoyo saa nne lkn kutokana na hujuma akafika saa 12 kasoro robo. Lkn bado watu wakiendelea kusubiri.
Kisingizio hicho si angeenda na gari...Bagamoyo hawataki usanii
 
Kwa wiki nzima nilikiwa Bagamoyo. Na nimesikiliza mijadala mingi sana ktk viunga vya mji huu wa kihistoria kuhusiana na kampeni zinazoendelea.

Nami ktk nyakati na maeneo tofauti nilikuwa najaribu kuchomekea kutaka kujua watu wana matamanio ya kumchagua nani ktk uchaguzi wa 28/10/2020, na kwasabb gani?

Wabagamoyo hawamtaki kabisa Magufuli kwasabb hz zifuatazo:-
  • Amefuta ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Hili suala litamnyima kura nyingi sana, kwasbb limewaudhi mno. Ktk kila watu 5 nikioongea nao, 3 wanaligusia hili.
  • John alipewa ombi la kujenga kiwanda cha kuchakata mananasi akawajibu nyodo wabagamoyo. Alisema:-"mlikuwa na rais anayetoka hapa, tena ni mkulima wa mananasi hamkumuomba awajengee kiwanda. Mlisubiri mm niwe rais ndiyo nije niwajengee??"
  • Madhira waliyo yapata wavuvi wakati wa operehseni ya uvuvi haramu ya waziri Luhaga Mpina. Hapa wavuvi wengi walipigwa na kunyang'anywa nyavu zao Kisha zikachomwa Moto.
  • Kufifia kwa biashara ya mqhoteli. Watoto wengi wa wakazi wa Bagamoyo waliokuwa wameairiwa kwenye mahoteli hv Sasa hawana kazi.

Wabagamoyo wameapa kumpa kura zote Lisu.
usiwaamini sana wakwere,rejea ya JK kwa Lowassa
 
John alipewa ombi la kujenga kiwanda cha kuchakata mananasi akawajibu nyodo wabagamoyo. Alisema:-"mlikuwa na rais anayetoka hapa, tena ni mkulima wa mananasi hamkumuomba awajengee kiwanda. Mlisubiri mm niwe rais ndiyo nije niwajengee??"
 
Ni kweli na sisi tunafurahi kumpata Anti , yeye atatuletea hivyo vitu bila wasi wasi wowote
 
John alipewa ombi la kujenga kiwanda cha kuchakata mananasi akawajibu nyodo wabagamoyo. Alisema:-"mlikuwa na rais anayetoka hapa, tena ni mkulima wa mananasi hamkumuomba awajengee kiwanda. Mlisubiri mm niwe rais ndiyo nije niwajengee??"
Hii ni nyodo iliyofika chuo kikuu
 
Huko ndiko matambiko mbali mbali ya nchi yalifanyika ya akina Forohan Ganze mwenge wa uhuru nk. Sasa wakimkataa watu wa huko ni kwisha Habari yake.

kweli Jiwe anakazi nzito.
Nani anayemkubali?????
 
Huu mkuu ni ukweli na wala sileti porojo. Nilitaka kuwarekodi wazungumzaji lkn wakatia shaka nikaacha. Watu wanajiapiza kabisa.
 
Magufuli hauziki aisee. Nipo kondoa...kuna jamaa nimemuuliza kuhusu kumchagua magufuli kafikia kutukana kirangi tu hahhahah
Duuh! Nimepata stori kama hiyo pia hapa Bagamoyo. Kuna mzee kamfukuza mpangqji wake kwasbb anasikiliza wimbo wa ccm "hatunywi sumu hatujinyongi"
 
Watu wanakumbuka mengi sana aisee kipindi hiki. Huku kondoa walitegemea sana mbaazi kama zao la biashara ....

Skuizi ni ziiiiiiiii
 
Back
Top Bottom