Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli ni upi ??Tupe wewe ukweli!Sio kweli
Kawaulize Ghana,Gambia, Malawi..Mkuu sexless, utake usitake, upende usipende, Magu ndo raisi wako for 2021-2025, cjui utahama nchi, or what will be your plans baada ya magu kuapishwa?
Mwache huyo mshamba akale alikoweka mboga. This time CCM byebye.Kwa wiki nzima nilikiwa Bagamoyo. Na nimesikiliza mijadala mingi sana ktk viunga vya mji huu wa kihistoria kuhusiana na kampeni zinazoendelea.
Nami ktk nyakati na maeneo tofauti nilikuwa najaribu kuchomekea kutaka kujua watu wana matamanio ya kumchagua nani ktk uchaguzi wa 28/10/2020, na kwasabb gani?
Wabagamoyo hawamtaki kabisa Magufuli kwasabb hz zifuatazo:-
- Amefuta ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Hili suala litamnyima kura nyingi sana, kwasbb limewaudhi mno. Ktk kila watu 5 nikioongea nao, 3 wanaligusia hili.
- John alipewa ombi la kujenga kiwanda cha kuchakata mananasi akawajibu nyodo wabagamoyo. Alisema:-"mlikuwa na rais anayetoka hapa, tena ni mkulima wa mananasi hamkumuomba awajengee kiwanda. Mlisubiri mm niwe rais ndiyo nije niwajengee??"
- Madhira waliyo yapata wavuvi wakati wa operehseni ya uvuvi haramu ya waziri Luhaga Mpina. Hapa wavuvi wengi walipigwa na kunyang'anywa nyavu zao Kisha zikachomwa Moto.
- Kufifia kwa biashara ya mqhoteli. Watoto wengi wa wakazi wa Bagamoyo waliokuwa wameairiwa kwenye mahoteli hv Sasa hawana kazi.
Wabagamoyo wameapa kumpa kura zote Lisu.
Ulisainiwa na hao hao maccm na baraza la mawazri huyo mnafiki wenu magu alikuwemo na aliunga mkono.Ni mwenda wazimu tu ndiye angesaini mradi wa bandari ya Bagamoyo. Mtwara mpaka leo wanalia gesi. Watanzania tumeshaanza kuiga Kenya kuhusudu ukabila, au udini, au ukanda, au ushikaji, au Uyanga na Usimba au ushoga au ubabe. Sijamsikia hata mtu mmoja akilalamika fedha zilizotumika hovyo kuwaleta Sullivan hapa Tanzania. Sjasikia kulalamika fedha zilizopotea bure kwenye bunge la katiba hata wale wabunge wa mipasho kuletwa bungeni nao wakalipwa shs. laki tatu kila siku kwa mwaka mzima. Sijasikia mtu kuulizia vile vichwa vya treni vilivyokutwa bandarini havina mwenyewe baada ya wapiga dili kuchelewa kupitisha dili hiyo na mmoja kufariki. Haya tupeane pole ndio Tanzania yetu
10 September 2020
Mlingotini Wazee wa Bagamoyo walibeba zana zao na kisha walijikongoja kwenda ktk mkutano wa kipenzi chao mkombozi Tundu Antipas Lissu wamfanyie tambiko maalum walilomfanyia Mwalimu Nyerere mwaka 1958 ili apate kutukomboa waTanganyika toka kwa mkoloni, leo September 2020 wajukuu tuliambiwa historia hiyo wakati tukiwasaidia kubeba "mikoba" yao mingine mizito mpaka uwanjani
Weka kapicha basi tuone nyomi ya watuUlifika uwanja wa shule ya msingi Majengo leo? Uliona jinsi watu walivyokuwa wakihaha kumuona rais mtarajiwa Lisu?
Hawa makamanda uchwara sijui nani anawafundisha propaganda za kipuuzi namna hii.Weka kapicha basi tuone nyomi ya watu
Unajitekenya halafu unacheka mwenyewe, au ndo unataka kututowa kwenye habari ya leo kilichompata kibaraka?
Uzushi na uongo sio jambo jema hata kidogoHabari wanaJF, kuna suala ambalo sio la kawaida limejitokeza siku ya leo pasipo kutegemea.
Na kama ilivyo kawaida kwa kamanda mimi huwa sifumbi wala sifichi matatizo, nayamwaga ili kuwepo kujirekebisha kwa wahusika.
Siku ya leo ilikuwa siku ya kampeni ya mgombea wetu wa chadema katika mji wa Bagamoyo.
Kama kawaida matangazo ya hapa na pale yalipita karibu sehemu nyingi kuwakumbusha watu juu ya kuhudhuria shughuli hiyo na ratiba ilionyesha mgombea wetu wa chadema angeanza kampeni pale muda wa saa 4 hadi saa 5.
Cha kushangaza ni kuwa hadi kufikia muda wa saa 3 asubuhi hakukuwa na mtu yoyote eneo la tukio, tukavuta subra kufika hadi saa 4 napo bado, kufika saa 5 napo bado.
Wakatokea baadhi tu ya viongozi wa CHADEMA wilaya ya Bagamoyo, nadhani lengo ni kuangalia muitikio kama kuna watu ili mgombea wetu aje amwage sera zake.
Lakini pengine kutokana na nature ya eneo la Bagamoyo watu wake pengine bado hawana muamko na upinzani, basi hadi sasa hivi saa saba hii inaenda saa nane mchana HAKUNA WATU KABISA.
Hali iliyopelekea mgombea wetu kutoonekana hapa viwanjani na pengine anaweza kuhairisha hili zoezi siku ya leo kutokana na kupuuzwa huko.
Niwaombe wananchi wa bagamoyo wasirudie tena walichokifanya leo kwa mgombea wetu na chadema kwa ujumla.
Kwisha kabisa.....!Mwache huyo mshamba akale alikoweka mboga. This time CCM byebye.
Alafu wanaipeleka project ya uwanja chato ambao hauna faida kwa mwananchi yoyote🤔🤔😏😏Kiwete amedhalilishwa Sana. Yaani project kubwa kama Ile ya bandari ambayo ingeinua kipato Cha watu wa Pwani inafutwa kwa maneno rahisi vile?
Jana mzee Makamba kaja na jibu jepesii kwa swali gumu. Eti hata Kijijini Chato kuna watanzania.Alafu wanaipeleka project ya uwanja chato ambao hauna faida kwa mwananchi yoyote🤔🤔😏😏
Hahahaaa....... Nani kamuuliza hilo swali sasa🤣🤣Jana mzee Makamba kaja na jibu jepesii kwa swali gumu. Eti hata Kijijini Chato kuna watanzania.