Rais Magufuli anakataliwa mpaka na wazee hapa Bagamoyo

Hii nyodo ni next level aisee ....mlikuwa na rais anayetoka hapa, tena ni mkulima wa mananasi hamkumuomba awajengee kiwanda. Mlisubiri mm niwe rais ndiyo nije niwajengee??"
 
Kiwete amedhalilishwa Sana. Yaani project kubwa kama Ile ya bandari ambayo ingeinua kipato Cha watu wa Pwani inafutwa kwa maneno rahisi vile??
Biashara ya mahotel na utalii viko ICU
 
Hii nyodo ni next level aisee ....mlikuwa na rais anayetoka hapa, tena ni mkulima wa mananasi hamkumuomba awajengee kiwanda. Mlisubiri mm niwe rais ndiyo nije niwajengee??"
Jamaa ana nyodo siyo za nchi hii.
 
Unajitekenya halafu unacheka mwenyewe, au ndo unataka kututowa kwenye habari ya leo kilichompata kibaraka?
 
Leo mgombea wenu wa CDM katopola kakosa wasikilizaji kaishia kuhutubia viongozi alioambatana nao
 
Unajitekenya halafu unacheka mwenyewe, au ndo unataka kututowa kwenye habari ya leo kilichompata kibaraka?
Kipi kimempata? Hiyo hujuma? Ukijikita huko utakuwa unazidi kumdidimiza John. Mwishowe atapata kura 0 nchi nzima.
 
Aliyekataliwa Bagamoyo ni snitch Lisu usipoteze carolies zako kutunga uongo wa kuficha aibu mliyoipata
 
Nani ampe kura mnyanyasaji, mkabila.. Kura zote ni kwa Lissu. Tumechoka sana Watanzania kuwa chini ya Jiwe.
 
Kipi kimempata? Hiyo hujuma? Ukijikita huko utakuwa unazidi kumdidimiza John. Mwishowe atapata kura 0 nchi nzima.
Mkuu sexless, utake usitake, upende usipende, Magu ndo raisi wako for 2021-2025, cjui utahama nchi, or what will be your plans baada ya magu kuapishwa?
 
Aliyekataliwa Bagamoyo ni snitch Lisu usipoteze carolies zako kutunga uongo wa kuficha aibu mliyoipata
Weeee!! Amehujumiwa, kwa kunyimwa kibali cha kuruka na chopa. Ratiba ilionesha kuwa atafika Bagamoyo saa nne lkn kutokana na hujuma akafika saa 12 kasoro robo. Lkn bado watu wakiendelea kusubiri.
 
Mkuu sexless, utake usitake, upende usipende, Magu ndo raisi wako for 2021-2025, cjui utahama nchi, or what will be your plans baada ya magu kuapishwa?
Nitaendelea kuwepo nchini. Hiki ni kipindi cha kamapeni so ruksa kuchagua uoqnde unaoushabikia. Uchaguzi ukiisha tutarudi kuwa wachambuzi wa siasa.
 
Tundu Lissu ametoka patupu hajakuta wafuasi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, Nimecheeeeeekaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…