Rais Magufuli anakataliwa mpaka na wazee hapa Bagamoyo

Wampe ila rais ni Magufuli,na baada ya hapo tutaangalia kura zilivyopigwa ,tukiona hawakuchagua Magufuli suruba itaanzia hapo
 
Wabagamoyo wameapa kumpa kura zote Lisu.
hoja za kitoto sana
Magufuli ametoa ekari 10,000 kulima miwa ma kinajengwa kiwanda cha Bagamoyo Sugar ambacho kitaleta ajira za wanabagamoyo,Mbowe alikua mstari wa mbele bungeni kupinga kilimo cha miwa bagamoyo eti kitaharibu mazingira
uchaguzi huu ni wa kuchagua vitu na kauli tupu!
 
Mbona kwenye mkutano leo hawakujitokeza?
 
Wampe ila rais ni Magufuli,na baada ya hapo tutaangalia kura zilivyopigwa ,tukiona hawakuchagua Magufuli suruba itaanzia hapo
Kwa nyodo hizi ndiyo atanyimwa zaidi. Bora awe mpole tu.
 
Magufuli ametoa ekari 10,000 kulima miwa ma kinajengwa kiwanda cha Bagamoyo Sugar ambacho kitaleta ajira
Ktk kitu ambacho wabagamoyo hawawezi kufanya ni kufanya kqzi za shamba. Hawazitaki, hawazipendi na hawaziwezi.

Huyo muwekezaji atapata taabu sana kupata wakata miwa. Itamlazimu awe anaenda usukumani huko kwa linajiojn kuwatafuta.
 
Kwa umati mdogo wa leo wa lissu ni wazi nae halubaliki kabisa pwani...
 
Kwa umati mdogo wa leo wa lissu ni wazi nae halubaliki kabisa pwani...
Unaidanganya nafsi yako. Huna access ya tv utazame hata taarifa ya habari? Lisu hakifanya kampeni leo.
 
Bagamoyo haiwezi kumnyima ushindi Magufuli, kwa sababu ni 0.05% ya wapiga kura wote wa Tanzania. Hivyo hiyo sio issue kubwa sana. Tunampongeza Lissu kwa kupata ngome mpya maana kote alikopita ameprove failure.
 
Kiwete amedhalilishwa Sana. Yaani project kubwa kama Ile ya bandari ambayo ingeinua kipato Cha watu wa Pwani inafutwa kwa maneno rahisi vile??
Usichukulie kila kilichofanyika basi ni mkate, kawaulize Wakenya kuhusu hilo. Nampongeza sana Magufuli kwa kupiga chini huo mradi, hata hao wanabagamoyo wasingefaidi na huo mradi.
 
maana kote alikopita ameprove failure.
Hata nafsi yako itakuwa inakusuta. John kafika mahali anachanganyikiwa hata akiwa kwenye jukwaa. Bila shaka utakuwa umemsikia akisema:-
...wabunge wenzangu njooni hapa.
...jamani mm nina kosa gani nispewe miaka 10?
 
Nampongeza sana Magufuli kwa kupiga chini huo mradi,
Lkn unampongeza Sana
.....kujenga uwanja wa kimataifa Chato ambako ni ndege moja tu inayombeba mamake inatua kwa mwaka.
.....kununua madege yasiyokuwa na tija kwa taifa bila kufuata taratibu za manunuzi.
.....kuteka, kuuwa, na kujeruhi na Kisha kuunda na kulea kikundi Cha watu wasiojulikana.
....kusingizia watu kesi na kuwapora fedha zao.

Kiukweli huyu John hasafishiki hata kwa jiki.
 

Hata kama hii ingekuwa kweli, Bagamoyo ina wananchi wangapi.
 


Ohh kumbe ni muuza madawa analalamika na kulalamikia yasiyokuwepo.
 
Pole alokutuma mwambie ajipange maana message unaituma sa moja alafu unadai n sa nane una shida gani wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…