Rais Magufuli anakataliwa mpaka na wazee hapa Bagamoyo

Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumpa kura Muhutu hata 2015 hakushinda..ila mwaka huu Lissu amuachii Mungu..
 
Mkuu sexless, utake usitake, upende usipende, Magu ndo raisi wako for 2021-2025, cjui utahama nchi, or what will be your plans baada ya magu kuapishwa?
Kawaulize Ghana,Gambia, Malawi..
 
10 September 2020
Mlingotini Wazee wa Bagamoyo walibeba zana zao na kisha walijikongoja kwenda ktk mkutano wa kipenzi chao mkombozi Tundu Antipas Lissu wamfanyie tambiko maalum walilomfanyia Mwalimu Nyerere mwaka 1958 ili apate kutukomboa waTanganyika toka kwa mkoloni, leo September 2020 wajukuu tuliambiwa historia hiyo wakati tukiwasaidia kubeba "mikoba" yao mingine mizito mpaka uwanjani
 
Sasa yote hayo Ndio wajitokeze watu wachache hivyo?

Unamdanganya mgombea Urais wako wewe.

JPM Yuko Juu.
 
Ni mwenda wazimu tu ndiye angesaini mradi wa bandari ya Bagamoyo. Mtwara mpaka leo wanalia gesi. Watanzania tumeshaanza kuiga Kenya kuhusudu ukabila, au udini, au ukanda, au ushikaji, au Uyanga na Usimba au ushoga au ubabe. Sijamsikia hata mtu mmoja akilalamika fedha zilizotumika hovyo kuwaleta Sullivan hapa Tanzania. Sjasikia kulalamika fedha zilizopotea bure kwenye bunge la katiba hata wale wabunge wa mipasho kuletwa bungeni nao wakalipwa shs. laki tatu kila siku kwa mwaka mzima. Sijasikia mtu kuulizia vile vichwa vya treni vilivyokutwa bandarini havina mwenyewe baada ya wapiga dili kuchelewa kupitisha dili hiyo na mmoja kufariki. Haya tupeane pole ndio Tanzania yetu
 
Mwache huyo mshamba akale alikoweka mboga. This time CCM byebye.
 
Ulisainiwa na hao hao maccm na baraza la mawazri huyo mnafiki wenu magu alikuwemo na aliunga mkono.
 
Tatizo la Magufuli, hata akifanya kitu kizuri, atakufanya vibaya.

Yani Magufuli ni kama daktari anayeambiwa huyu mtu ana ugonjwa, ugonjwa unasababishwa na virusi, tutafute dawa tuue virusi ndani ya mwili wa mgonjwa.

Yeye daktari anasema kuna njia rahisi tu ya kuua virusi, mpe mgonjwa dawa kali sana imuue mgonjwa, virusi wote watakufa!
 
Duh, yaani hilo ndio nyomi la Bagamoyo ha ha ha. Lisu anachekesha sasa. Hasira hadi anataka kupasuka.
 
Uzushi na uongo sio jambo jema hata kidogo
 
Kiwete amedhalilishwa Sana. Yaani project kubwa kama Ile ya bandari ambayo ingeinua kipato Cha watu wa Pwani inafutwa kwa maneno rahisi vile?
Alafu wanaipeleka project ya uwanja chato ambao hauna faida kwa mwananchi yoyote🤔🤔😏😏
 
Alafu wanaipeleka project ya uwanja chato ambao hauna faida kwa mwananchi yoyote🤔🤔😏😏
Jana mzee Makamba kaja na jibu jepesii kwa swali gumu. Eti hata Kijijini Chato kuna watanzania.
 
Hata wanaokwenda kuongeza vichwa ni kwa malori na mabasi, bila hivyo ni magari tu ndo yangebaki kumsikiliza! Yaani kama akishinda itabidi Diamond apewe uwaziri maana bila fiesta yake hata wanafunzi tu labda wangepelekwa kwa viboko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…