Rais Magufuli anatengeneza upinzani "Pure" utamsumbua sana

Na Membe huko kwenu mumemfanyaje.
 
Hujanikwaza sina sababu ya kukwazika, nilishakwambia juu kule sina ndugu wala jamaa CDM, ni mitazamo tu.

Kwangu Mbowe is still the best candidate to manage the party, wote walioaminika mwanzo walinunulika wakaondoka, hakuna wakumnunua Mbowe ameshathibitisha hilo.
 
Mkuu hebu funguka kidogo hapa
 

Ni kweli hakuna wa kumnunua Mbowe ili ahame cdm, lakini ujio wa Lowassa ndani ya cdm na kupitishwa mbele kabisa, ni mwendawazimu tu atasema Mbowe hanunuliki.
 
Ni kweli hakuna wa kumnunua Mbowe ili ahame cdm, lakini ujio wa Lowassa ndani ya cdm na kupitishwa mbele kabisa, ni mwendawazimu tu atasema Mbowe hanunuliki.
Ndio maana nilikwambia umebeba propaganda za CCM halafu zinakuogopesha!.

Kama humtaki Mbowe uwe na mtu wako, ukiambiwa umtaje kimya! au unataka mbuzi agombee uenyekiti CDM?!

You need to come out of the box you are.
 
Ndio maana nilikwambia umebeba propaganda za CCM halafu zinakuogopesha!.

Kama humtaki Mbowe uwe na mtu wako, ukiambiwa umtaje kimya! au unataka mbuzi agombee uenyekiti CDM?!

You need to come out of the box you are.

Kama ingekuwa propaganda za ccm zinanibeba zingenibeba zamani sana. Sina mgombea yoyote ndani ya cdm, ila taasisi yoyote imara haiwezi kukosa mtu mbadala kwa kila nafasi. Kama mimi ningeweza kubebwa na propaganda mfu za ccm, ww ungekuwa ulishahamia ccm miaka mingi nyuma.
 
Rilax & have a gud nyt.
 
Km kweli chadema mnaitakia mema nchi hii someni kitabu hiki ukiacha mapungufu yke Dr Slaa lipo la kujifunza kubwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tujifunze kwa lipumba pia, usemalo ni kweli
 
Bila matumizi ya nguvu ccm haijashinda uchaguzi tangu mwaka 1990.
 
Akuiba alichukua
Kaiba hakuchukua.jizi kabisa hili jamaa.Primary kuna dogo alikuwa anamakengeza darasa zima anaiba penseli na bikali.
ukimuangalia usoni unaona anaangalia pembeni kumbe anakutazama wewe.
Ukijipindua penseli aipo.
 
Binafsi sioni kama lilikuwa kosa kwa cdm kumchukua lowassa, ulikuwa uamuzi sahihi kabisa na tuliona hali ilivyokuwa katika uchaguzi, kwa uchaguzi wa haki na bila dola chama tawala wanachomoka mapema tu hata kama cdm watamuweka polepole.
 
Kuhusu mabadiliko ya viongozi wa ngazi ya juu kabisa wa vyama vya siasa Tanzania, ni chama kipi hubadilisha viongozi wake ndani ya miaka isiyozidi 10 nje ya CCM?
 
kweli kabisa mkuu, mbowe ni bora asingegombea angemwacha Mwambe apite bila kupingwa, harafu katibu mkuu angebaki kuwa mashinji. chadema ingekuwa mbali sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…