Rais Magufuli aonesha uwezo mkubwa kwenye janga la Corona duniani


Nguvu ya nini wakati mpaka uzidiwe, na usipozidiwa hiyo nguvu itakuwa na kazi gani?
Hili gonjwa ingekuwa kipindi cha utawala uliopita ingekuwa diri kwa watendaji na kuacha nchi kwenye madeni makubwa
Kuwahi kutokea.

Huko marekani watu wanawekewa ventilator lakini wanakufa, kuna sayansi kidogo tu wameshindwa kuielewa, kupiga nyungu, na kunywa mchanganyiko wa malimao na vitunguu, kwa sababu ya ubishoo wao.
 
Umeongea vizuri sana kuwa kirusi kina'mutate'! Sasa niambie unafaidika na nini kufanya massive testing kwa nchi nzima, wakati huohuo unajua 'mutation' inaendelea na pia unapomaliza kumpima mtu akiwa -ve leo unampleka mwezini ili asijeambukizwa? Maana wengine wakati zoezi lenyewe la kupimana linaendelea nao wanaambukizwa! Nasapoti kupima wenye dalili na wasafiri cross country! Lakini watu wote, hapana mkuu ni kupanicshana tu!
 
Watatuiga very soon, we subiri kidogo tu, Trump amefungua nyumba za ibada...yafuatayo yanafurahisha sana!
 
Huna sababu ya kunidhihaki! WHO ya kipindi hicho siyo hii inayofuata maelekezo ya tajiri Bilgate! Nikueleze tu, hata bila chanjo bado tutatoboa! Hata bila WHO bado tutatoboa tu! Mungu yupo nasi! Ww ambaye imani yako ipo kwa WHO ndio unaweza 'saccumb' na hayo unayoyaogopa! Sisi tutatoboa! Huyo kiumbe aitwae WHO naye pia ni kirus!
 
Are you kidding .Bila chanjo ,tutatoboa ?Boss naomba umuulize Dr umuhimu wa chanjo kwa infante
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa na familia ungeelewa. Una mke na watoto, ukagundua una corona, utaenda uwaambukize au utajitenga? Swala la kupima ni ili usiusambaze utlist mda uende ende mpaka vaccine ipatikane. Ubaya wa corona ni kwamba hujui utareact vipi kwa mtoto wako, baba yako, mke wako, babu yako endapo utamuambukiza.
 
Ndugu yangu unamaanisha corona itakusubiri upime ndipo ianze waambukiza unaoishi nao? Kupima wenye dalili sio kila mtu inamashiko!
 
Ndugu yangu unamaanisha corona itakusubiri upime ndipo ianze waambukiza unaoishi nao? Kupima wenye dalili sio kila mtu inamashiko!
Kama kuna uwezekano wa kupima ni vizuri sana kupima watu wako hata kama hakuna dawa. Ila kama hakuna uwezekano ni vizuri kufuata miongozo tunayopewa.
 
Furahini kwakua huu ugonjwa haukua na impact kubwa kwetu.
La sivyo, tungepukutika kama kuku wenye mdondo

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado watu wanadhani wako enzi za siasa ni sanaa. Magu kadhihirisha kwamba siasa ni sayansi, kwamba katika siasa kuna hesabu, Physics, Biology na Chemistry.

Kumbukeni huyu ana phd ya Chemistry
 
Hii ya kupima imewawezesha kujua maambukizi mengi yanatokea mipakani baada ya wiki mbili wakidhibiti mipakani maambukizi hayatakuwepo mengi.Sisi hatuelewi hata maambukizi yako sehemu gani ni vurugu vurugu tu.
 
Usipopokea chanjo sawa dunia iko so complicated utajikuta ndio unakuja kutumia dawa zao baadaye.Kwani unafikiria chanjo za TB ,surua kwai zipo kwao sasa si huku kwetu kwa ujinga wetu wa kutojikinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…