Rais Magufuli aonesha uwezo mkubwa kwenye janga la Corona duniani

Nayaita ni mataifa yenye akili kwa sababu hata kuvaa suruali umeiga kwao, wewe ulikuwa unavaa ngozi.

Hiyo Smartphone ambayo unaitumia kunitukana haijatengenezwa Tanganyika, wenye akili wametengeneza.

Wazungu watajifunza kuruka ungo kwetu hilo sina ubishi nalo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kuwapima wamefaidika na nini...maana ndio vinara wa wahanga wacovid-19 kidunia kwa sasa! Massive testing kuna ipa unnecessary promo corona na kuongea hofu inayoua wengi zaidi kuliko corona yenyewe!
Eti anauliza baada ya kupima wamefaidika nini, sasa humu JF unafanya nini kama kichwa chenyewe ndio hiki.

Swali, baada ya kupima wenye ukimwi inasaidia nini, ukijibu tunaendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upopo mbaya sana. Hivi na Corona hii watalii wenyewe wanaumwa kila nchi iko taabani halafu unaisema nchi yako eti wamesema nchi Hatari kutembelea hopeless kabisa.
Corona ipo kila nchi chukua taadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kupima sio issue sana Namsapoti Trump katika hili
Unaweza ukapima Leo negative kesho ukawa positive, na unaweza kupima positive wakati uko negative, Huumwi wala huna chochote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So, you think Tanzania needs approval from UK to decide what's best for the country?
We call it Slave mentality, or Neo-colonialism.

Magufuli leads because he is a Great Leader with original thoughts, Uhuru Kenyatta is a follower waiting for instruction from Washington DC, London and from WHO HQ.
 
Mkuu kupima sio issue sana Namsapoti Trump katika hili
Unaweza ukapima Leo negative kesho ukawa positive, na unaweza kupima positive wakati uko negative, Huumwi wala huna chochote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani wataalam hawalifahamu hilo. Ndio maana kabla hawaja mruhusu mgonjwa. Kuna additional 14 days za kucheki . Wenzetu wana sense of responsbility.
Wakiona tofauti yoyote hurudi hospital bila kulazimishwa. + wanafanya contact tracing ya hali ya juu sana kuliko kawaida.
And trump hajapinga au kukataza upimaji. Unaendelea pale pale.
Upimajo una faida zake. Tena nyingi tu.
 
Mkuu pamoja na kuwa wako lockdown na wanapima.kila Sikh unajua kwanini maambukizi hayaishi kila siku?
Tena maambukizi kwa watu wanaotumia Private cars!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
With all due respect i hate slave mentality. But i dont beleive uhuru kenyatta is leading kenya while taking orders from foreign countries or organization.
That are false allegations.
For the record WHO has no mandate to give order to any country, they are regulatory organization.

I dont do support them ..but it is not good to fire false allegations without concrete evidence.
 
Mkuu pamoja na kuwa wako lockdown na wanapima.kila Sikh unajua kwanini maambukizi hayaishi kila siku?
Tena maambukizi kwa watu wanaotumia Private cars!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kupima hakuzuii maambukizi . Lengo la kupima ni tracing.
From tracing watalam wanajua nn cha kufanya.. wapi waongeze nguvu.. mbinu ipi inafaa.. kundi lipi liko vulnerable.. hapa wataalam ya virology wanapata info jinsi virus anavyo behave kwa watu tofauti.. mutation strains. Then wanarudi maambara na kuvimba kutafuta dawa.
Lockdown haikuwekwa kuzuia ugonjwa.. ni kupunguza kasi y maambukizi.
Ukaiachilia mbali na US. Ziko nchi zilizofanikiwa .
 
Please accept my humble apology.
I may have gone too far to accuse H.E. President Uhuru Kenyatta for being a follower who takes instructions from abroad.

But I 'm not happy on how he handled COVID-19 pandemic, he looked like he was compelled to follow everything he is told by foreign institutions instead of customizing those procedures to suite Kenya's needs, Or discard entirely some of the procedures as they seem to cause trouble in his country's economy.
 
I have completely understand your point of view bro.
And yes you may be have a point about him acting irrational and not customizing some of guidelines to fit kenyan condition.
Let me say most of african leaders reacted the same way,not only kenyans but also majority of african countries jumped to same path.
While few countries succeed, most of goverment in africa jumped to conclusion. It wasnt wise.

Thats why i asked before. If there is anybody with most effective way to combat covid-19 , a way thay is better than lockdown or other previous used methods.
He/She should share or take it goverment authorities so that they can implent it. Sadly no body appeared.
 
Upopo mbaya sana. Hivi na Corona hii watalii wenyewe wanaumwa kila nchi iko taabani halafu unaisema nchi yako eti wamesema nchi Hatari kutembelea hopeless kabisa.
Corona ipo kila nchi chukua taadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usipojikosoa hufanikiwi,wanaofanikiwa wanajitadhmini wanaangalia walikofanikiwa wanaendeleza walipo shidwa wanaparekebisha .Unaacha kumpa ukweli rafiki yako kwa sababu ni rafiki Nchi yangu pale ambao haiendi sawa lazima nisema ukweli ili tuwe huru.Tanzania kwa sasa ni sehemu si salama kwa afya
 
Hujafiwa wewe zwazwa..kuna familia zimepoteza wapendwa wao wengi..acha kusifia ujinga
 
You have not understood a word from my comments, i guess you are responding to someone else's comment.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe akitangaza kwamba Ile Mikutano ambayo iliairishwa kwa Sababu ya Korona, sasa Kwakuwa Korona Imepungua, Mikutano inaanza upya UTAONA KORONA NAYO ITAANZA UPYA KWA MUJIBU WA CCM
 
Ni kwa sababu hiyo (nchi nyingine wanafanya) sisi tuwekeze zaidi kwenye kutest wenye dalili tu kwa resource tulizonazo! Kupata maambukizi haimaanishi ni kupata ugonjwa! Hiyo behaviour ya ugonjwa utaipata kwa wale wenye dalili!
 
For the record ? Unajua maana ya chanjo? Chanjo ipi tumeshawahi kutengeneza tz..? Chanjo ipi ambayo wataalam wetu wameshawahi kaa chini wakatumia utaalam wao kuja na chanjo?
Ulizia waliokutangulia pale ubungo maziwa/ mabibo vaccine center imepotelea wapi? Ndio utajua kama nchi hii haijawahi kutengeneza vaccine zake kwa matumizi ya watz!
Hii tz yenu kuna watu wameichelewesha sana kwa kupiga madili!
 
Kama kwa waganga wa kienyeji basi sawa, maana WHO ndio coordinator wa masuala ya afya duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo coordinator WHO amepatwa na kirus kinaitwa 'corruption' kinaongozwa na matakwa ya akina Bilgate et al, sio wataalamu wqnaoweka maslahi ya maisha ya watu mbele!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…