BUBERWA D.
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 2,293
- 1,170
Kwahiyo tukichaua mbeligiji ndiyo tutapata ajira?BUBERWA D.,
Kazi zipi unazozungumzia. Wakulima wanapumulia mashine, wafanya biashara wanapumulia mashine, wafanyakazi wanaumia kila kukicha, hamna ajira. Nani atampenda sasa
Na tutakuonyesheni ujinga wetu Oct 28 wewe mwerevu.Anapendwa na wajinga.
Sawa tumekuelewa, bwana usie na chama.Mimi sina chama ila huyu Baba Magufuli Watanzania wanampenda sana.
Jieheshimu basi,kuna mbeligiji hapana?Kwahiyo tukichaua mbeligiji ndiyo tutapata ajira?
Ajira wapi umekosa kafanye kwenye ndege au DGR mtu kusoma hamjasoma mnataka ajiraHatutaki marekani ije Tanzania hatuna sababu ya kufa njaa. Ajira kwanza midege baadae
Kuna wakati unakuwa umevurugwa!Na yule 'Mwakilishi' wa 'Wabeleshi / Wabelgiji' ambaye ni Balozi wa 'Mabeberu' kwa hapa nchini Tanzania TL nae 'Hati' yake ataiwasilisha lini labda?
We kima vijana gani uliowauliza? Wadogo zako nyumbani au?
Hivi mbona mwaka huu inaonekana maccm hamtaki kujionesha waziwazi yani mnakuwa mazezeta Kama vile mmeazimisha akili kwa watu wengine mkabaki makopo tu kichwani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisi walimu na madaktari tukafanye kazi kwenye DGR au ndege! Una akili kweli?Ajira wapi umekosa kafanye kwenye ndege au DGR mtu kusoma hamjasoma mnatala ajira
Tutarudisha utaratibu ule wa jk wa kuajiri kila mwaka! Kuliko hili katili jpmKwahiyo tukichaua mbeligiji ndiyo tutapata ajira?
Usisahau mkuu hao ni wapiga kura!Ni jambo jema.
Tundu Lissu yuko kKariakoo anawasalimia mama lishe!
Sisi walimu na madaktari tukafanye kazi kwenye DGR au ndege! Una akili kweli?
Jpm Hana mpango wa kuajiri yeye ni ndege tu! Juzi walitangaza ajira za ualimu 13000 mpaka sasa application ni 100,000. Kwa jk Mambo haya hayakuwepo.Utakosaje kazi au una elimu ya kuunga unga ya kusubiri hela mara moja kwa mwezi kama period
Jpm Hana mpango wa kuajiri yeye ni ndege tu! Juzi walitangaza ajira za ualimu 13000 mpaka sasa application ni 100,000. Kwa jk Mambo haya hayakuwepo.
Lundo la vijana waliojazana Kibamba kutaka kazi ya kusimamia uchaguzi mpaka wamepigwa mabomu na kuumizwa wajue kuwa suluhu ya suala la ajira liko hapa. Meko na CCM wameshindwa kutatua hilo for mkre than 50 years.
Meko hawezi kutatua tatizo la ajira hana hizo akili VOTE HIM OUT
Mi nimemaliza chuo 2011 wakati wa jk ajira zilikuwa za kumwaga ziwe za ualimu, polisi, jwtz au udaktari labda ukatae kuajiriwa mwenyewe! Lakini hili jamaa ndo limekuja kuharibu nchi Mambo hayaendi.Hivi kwa hiyo JK mimi sikuwepo nini? Mimi nimezaliwa wakati nyerer ni Raisi na ana miaka saba tu kama RAIS sasa wew wa lini.Ambaye hana akili ni yupi? Au kuna tatizo la elimu? Semana masomo mnayosoma ya kufuata mikumbo shida ndio hii
Anampongeza kimtego wale hayafanyagi kosaNimefurahishwa na statement ya ambassador from yuK, Who completely congratulate our lovely president Dr John Magufuli for his good work. #Mi5tena kwa JPM
Kuna mtu kakuuliza wewe chama gani?
Mbona makada wa ccm hampendi kujitambulisha?
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Kama unasubiri kuajiriwa kwenye karne hii ambapo benki zinaongeza ATM mashine zenye kupokea nakutoa pesa, mamlaka za maji zinaweka mita za maji kama zile za luku, Rwanda wametengeneza roboti za kuhudumia wagonjwa wa corona,nk, nk wewe ni KILAZA!Nchi imependezaje wakati wananchi wanakufa njaa. Elimu haina maana tena ajira hakuna miaka mitano.