Rais Magufuli asikitishwa na vurugu za mechi ya Simba na Yanga,Sasa zazuiwa kutumia Uwanja wa Taifa

Uwanja utatumika kwa parade za majeshi tu. Kweli jpm ana busara!
 
Ila kumbuka ' upumbavu ' wa Mtanzania mmoja unawakilisha ' upumbavu ' wa Watanzania wote Mimi na Wewe ' inclusive '.
Hapa umeandika nini ? Mimi nimesema baadhi unaniletea habari zako za inclusive
 
Wamewafungia cha serikali ili watumie bus ccm wapate mapato, ilitakiwa wafungie mashabiki kuingia uwanjani mechi znazowausu apa dar
 
Watatumia uwanja gani? Wekeni njia mbadala za
kutatua matatizo kama ya kadi, kuwaelimisha mashabiki na wakifanya uharibifu basi mzuie pesa zao lakini sio kusema wote waadhibiwe kuto tumia uwanja wa taifa sabb ya wavuta bangi wachache.....
Ndio hapo wawathibiti hao wavuta bangi
 
Ustaarabu wetu katika kutunza mali za umma ni sifuri. Tujisahihishe!
 
Refa hamfundishi mtu ustaarabu Simba ni wahuni tu mbona Yanga ilipigwa 5-1 na wachezaji wao 2 wakapigwa red card hawakung'oa kiti hata kimoja??
Sijui kama hiyo marufuku itadumu wakati wote. Cha msingi tuangalie wapi tulipojikwaa tusiangalie tulipoangukia. Hivi unafikiri kwa marefa kama wale soka letu litapiga hatua???!
 
Hivi habari hii imethibitishwa au ndio watu mnazusha tuuuu!
 
Wanawafungia wakati wanaleta mfumo wa kielectronik ambao umewashinda wenyewe na kuleta marefa wabovu
 

Mtanzania hajui kitu kizuri,so ilibidi hata uwanja usiwe na viti wakae kwenye sakafu ya simenti,yaani ustaarab zero koki za maji wanang'oa,wanakunywa na kukojoa sehwmu za kunawia yaani taabu tupu
 
Ndio,eeee kweli,haiwezekani,tena....wajenge tumechoka vita na wapangaji!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…