Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa umeandika nini ? Mimi nimesema baadhi unaniletea habari zako za inclusiveIla kumbuka ' upumbavu ' wa Mtanzania mmoja unawakilisha ' upumbavu ' wa Watanzania wote Mimi na Wewe ' inclusive '.
Ndio hapo wawathibiti hao wavuta bangiWatatumia uwanja gani? Wekeni njia mbadala za
kutatua matatizo kama ya kadi, kuwaelimisha mashabiki na wakifanya uharibifu basi mzuie pesa zao lakini sio kusema wote waadhibiwe kuto tumia uwanja wa taifa sabb ya wavuta bangi wachache.....
Walikuwa na hasira za kuahirisha UKUTA.2020 watabadili msimamo!
Sijui kama hiyo marufuku itadumu wakati wote. Cha msingi tuangalie wapi tulipojikwaa tusiangalie tulipoangukia. Hivi unafikiri kwa marefa kama wale soka letu litapiga hatua???!
Wachezaji kutoka azam, mtibwa nk watacheza timu ya taifa na sio lazima watoke simba na yanga. Kumbuka club yoyote hairuhusiwi na FIFA kumkataza mchezaji kui
Wapuuzi sana hawa Mashabiki wa Simba aisee! Sijui waling'oa viti kumkomoa Yanga, TFF au Serikali?
Baada ya Uharibifu mkubwa wa Viti vya uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam uliokuwa unafanywa mara kwa mara na Mashabiki wanaoongozwa kwa Mihemko, Hasira na Matumizi yatokanayo na vilevi vikali kama Bange, Mirungi, Viloba n.k yaani Mashabiki wa Simba SC kwa nyakati Tofauti Tofauti umesababisha wizara husika kupitia waziri Nape Nnauye kupiga Marufuku klabu za Simba SC na YANGA SC kutumia uwanja huo kwa mechi za LigiKuu kuanzia hivi leo.