zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Mfano wako ni irrelevant kabisaYou actually think that’s a good idea?
Mtu aje kujenga hotel kwenye kiwanja chako bila kukulipa ata senti moja,
Biashara ikianza wewe usipate chochote.
Anarudisha faida ya ujenzi ndani ya miaka 5 lakini hataki umdai chochote mpaka baada ya miaka 20.
Asilipe kidi yoyote kwa serikali ndani ya muda huo.
Sehemu ya kiwanja chako ulichomkatia baada ya kujenga kama kuna spare space huna say. Akitaka na yeye anaweza muuzia mtu mwingine afanye uwekezaji wowote kwa masharti kama uliyompa yeye?
Yote hayo kwa sababu kaajiri ndugu zako kwenye kazi za uhudumu (kutandika vitanda, usafi, kutunza maua, na nyingine zisizo na skills).
You actually think that is a good investment? Kama bado lazima utakuwa na matatizo.
Hao ni wa kwenda TIC tu serikali isipoteze muda na hao watu, useless kweli kweli.
Hvi unafahamu mradi wa trillion 20+ ? Faida zake ni kama kiwanja cha hoteli?
Faida za mradi wa bagamoyo ni mtambuka sio za moja kwa moja kma kodi n.k. kumbuka sheria zetu za uwekezaji zinataka serikali ipewe 16% shares, kampuni itunze pesa zake walau 25% kama sikosei benki za ndani, haya local content inataka ajira za wabongo kwa zile nafasi ambazo kuna Mtanzania ana skills hizo n.k hizo ni direct tu
Sasa multiplier effect ni kwamba SGR itaongeza volume ya mizigo, ATCL itakuwa na route nyingi zaidi, makampuni ya bima na logistics/maritime kama yote yatahamia TZ so yatalipa kodi hayo na kutoa ajira lukuki. DSE itaongezeka listed companies hivyo kuchochea Capital markets, benki zitaongeza deposits hivyo ukwasi kutanuka.
Jamani Multiplier effect itakuza mradi wa bagamoyo kwa nchi nzima tusikariri kodi na ajira tu!! Fikirieni jinsi mradi utakaribisha miradi mingine mizito zaidi