Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu embu dadafua...TATIZO BANDO....
Utagawanaje hela na wewe utakuwa umeuzwa!
mbona ilishauzwa hukapata mgao mkuu?
Watanzania wengi tuwepesi wa kusahau na tunazowea mateso kwa haraka sana. Ninaamini kwenye bandari ya Bagamoyo tunaenda kupigwa kama ambavyo Kenya wamepigwa.Huyu 'Jamaa' alikuwa mwongo na muovu kwa mambo mengi; lakini huwezi ku'dismiss' kila kitu alichokisema kuwa kweli hakikuwepo kwenye mkataba huo.
Hawa wanaochochea sasa hivi bandari ijengwe kwa njia yoyote ile, hawa nao ni waovu kama huyo jamaa kwa njia zao wenyewe, kama siyo waovu zaidi ya Magufuli.
Bandari ya Bagamoyo ni muhimu sana kwa nchi hii, na ni muhimu ijengwe, lakini umuhimu huo ni lazima ulindwe kwa manufaa ya nchi yetu.
Aice inama, umenifanya nmekumbuka wimbo wa kitambo kidogo unaitwa kimbia umeimbwa na babuu wa kitaa, et nchi ishauzwa kuanzia tanesco, migod mpaka air Tanzania
Huelewek unasimamia wapiHuyu 'Jamaa' alikuwa mwongo na muovu kwa mambo mengi; lakini huwezi ku'dismiss' kila kitu alichokisema kuwa kweli hakikuwepo kwenye mkataba huo.
Hawa wanaochochea sasa hivi bandari ijengwe kwa njia yoyote ile, hawa nao ni waovu kama huyo jamaa kwa njia zao wenyewe, kama siyo waovu zaidi ya Magufuli.
Bandari ya Bagamoyo ni muhimu sana kwa nchi hii, na ni muhimu ijengwe, lakini umuhimu huo ni lazima ulindwe kwa manufaa ya nchi yetu.
cc Chige a.k.a .........
Jiwe alikuwa na uwongo unaokaribiana na uchawimwongo sana huyu mzee
Kalamu1 ndugu yangu bandari ya Bagamoyo ni uwekezaji wa hovyo kuliko uwekezaji mwingine wowote wa hovyo uliofanyika katika nchi yetu. Ni bora hilo eneo litumike kwa kilimo (kama linafaa kuliko kuwapa hao wachina. Wachina hawaji kucheza makida na wana mkakati mkali sana. Mradi ukiendelea kuna uwezekano mkubwa kabisa vizazi vijavyo vikajaanzisha vita vya kumuondoa mchina. Ni hatari kubwa kabisa kuikabidhi nchi nyingine lango la bandari ya nchi walimiliki. Watafanya chochote wanachotaka, wataingiza na kutoa chochote wanachotaka bila wa kuwauliza. Hata mimi Magufuli bado nasema alikuwa rais mbovu sana lakini kwenye hili la bandari alikuwa sahihi kabisa. Samia anahaha usiku na mchana ili ijengwe lakini atakuja kuingia kwenye rekodi kama rais aliyeuza nchi yetu. Najua wachina wanamwaga fedha nyingi sana kwa kila mtu anayeonekana ni kikwazo kwa sababu wanajua watapakuja kupata faidi kubwa na muda mrefu. Hili jambo linatakiwa lipinngwe kwa nguvu zote.Huyu 'Jamaa' alikuwa mwongo na muovu kwa mambo mengi; lakini huwezi ku'dismiss' kila kitu alichokisema kuwa kweli hakikuwepo kwenye mkataba huo.
Hawa wanaochochea sasa hivi bandari ijengwe kwa njia yoyote ile, hawa nao ni waovu kama huyo jamaa kwa njia zao wenyewe, kama siyo waovu zaidi ya Magufuli.
Bandari ya Bagamoyo ni muhimu sana kwa nchi hii, na ni muhimu ijengwe, lakini umuhimu huo ni lazima ulindwe kwa manufaa ya nchi yetu.
Mkuuu mikataba umeisoma na umeiona?Huyu 'Jamaa' alikuwa mwongo na muovu kwa mambo mengi; lakini huwezi ku'dismiss' kila kitu alichokisema kuwa kweli hakikuwepo kwenye mkataba huo.
Hawa wanaochochea sasa hivi bandari ijengwe kwa njia yoyote ile, hawa nao ni waovu kama huyo jamaa kwa njia zao wenyewe, kama siyo waovu zaidi ya Magufuli.
Bandari ya Bagamoyo ni muhimu sana kwa nchi hii, na ni muhimu ijengwe, lakini umuhimu huo ni lazima ulindwe kwa manufaa ya nchi yetu.
Kwani ni lazima tukubali 'kuigwa'?Watanzania wengi tuwepesi wa kusahau na tunazowea mateso kwa haraka sana. Ninaamini kwenye bandari ya Bagamoyo tunaenda kupigwa kama ambavyo Kenya wamepigwa.
Muda ni mwalimu mzuri na hakimu wa haki.
Let's sit back and watch the unfolding of the events