Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

Huyu 'Jamaa' alikuwa mwongo na muovu kwa mambo mengi; lakini huwezi ku'dismiss' kila kitu alichokisema kuwa kweli hakikuwepo kwenye mkataba huo.

Hawa wanaochochea sasa hivi bandari ijengwe kwa njia yoyote ile, hawa nao ni waovu kama huyo jamaa kwa njia zao wenyewe, kama siyo waovu zaidi ya Magufuli.

Bandari ya Bagamoyo ni muhimu sana kwa nchi hii, na ni muhimu ijengwe, lakini umuhimu huo ni lazima ulindwe kwa manufaa ya nchi yetu.
 
Makonda alikuwa ni mkuu wa mkoa mwenye nguvu kuliko baraza la mawaziri, ukiondoa mwenyekiti wake!
 
Eti wakazi wa Bagamoyo ambao wamelipwa hawafiki 20!

Kwa maneno yake haya nadhani aliikataa hii bandari kwa sababu zake binafsi tu.
 
Huyu 'Jamaa' alikuwa mwongo na muovu kwa mambo mengi; lakini huwezi ku'dismiss' kila kitu alichokisema kuwa kweli hakikuwepo kwenye mkataba huo.

Hawa wanaochochea sasa hivi bandari ijengwe kwa njia yoyote ile, hawa nao ni waovu kama huyo jamaa kwa njia zao wenyewe, kama siyo waovu zaidi ya Magufuli.

Bandari ya Bagamoyo ni muhimu sana kwa nchi hii, na ni muhimu ijengwe, lakini umuhimu huo ni lazima ulindwe kwa manufaa ya nchi yetu.
Watanzania wengi tuwepesi wa kusahau na tunazowea mateso kwa haraka sana. Ninaamini kwenye bandari ya Bagamoyo tunaenda kupigwa kama ambavyo Kenya wamepigwa.

Muda ni mwalimu mzuri na hakimu wa haki.

Let's sit back and watch the unfolding of the events
 
Mnaonaje hii nchii ikauzwa alafu tukagawana hela ???

Sent using Jamii Forums mobile app
Aice inama, umenifanya nmekumbuka wimbo wa kitambo kidogo unaitwa kimbia umeimbwa na babuu wa kitaa, et nchi ishauzwa kuanzia tanesco, migod mpaka air Tanzania
Mnaonaje hii nchii ikauzwa alafu tukagawana hela ???

Sent using Jamii Forums mobile app

Mnaonaje hii nchii ikauzwa alafu tukagawana hela ???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

Huyu 'Jamaa' alikuwa mwongo na muovu kwa mambo mengi; lakini huwezi ku'dismiss' kila kitu alichokisema kuwa kweli hakikuwepo kwenye mkataba huo.

Hawa wanaochochea sasa hivi bandari ijengwe kwa njia yoyote ile, hawa nao ni waovu kama huyo jamaa kwa njia zao wenyewe, kama siyo waovu zaidi ya Magufuli.

Bandari ya Bagamoyo ni muhimu sana kwa nchi hii, na ni muhimu ijengwe, lakini umuhimu huo ni lazima ulindwe kwa manufaa ya nchi yetu.
Huelewek unasimamia wapi
 
Nafikiri akili sasa zitatukaa vizuri. Tunaposema Katiba Mpya ni muhimu tunamaanisha.

Nchi ni lazima iwe na dira ya maendeleo na si kama hivi sasa inavyoongozwa Kwa kufuata mawazo ya mtu mmoja. Yawe mazuri au ya hovyo. Anaweza kuamua lolote bila kushauriana na yeyote yule. Mbaya zaidi hakuna chombo Chenye Mamlaka ya kuhoji.

Nije kwenye mada. Rais aliamua Bandari ijengwe. Kwa mawazo yake aliona/aliamini ina faida kubwa kwa Taifa na hata kwa mataifa jirani zetu kusini mwa nchi. Makofi alipigiwa na kupongezwa kwa moyo wake wa kizalendo.

Rais aliyefuata akaja na mawazo yake binafsi. Akasema Bandari ile ni wizi na unyonyaji mkubwa kwa Taifa. Mikataba ya hovyo kabisa ni wapumbavu pekee ndio wanaweza kukubaliana na mikataba hii. Nae kapigiwa makofi na kupongezwa kwa moyo wake wa kizalendo ktk kuwatetea raia wa nchi yake.

Kaja mwingine Kwa mbinu mpya eti ile mikataba haikuwa kweli kama tulivyoaminishwa. Hivyo ni muhimu sana kuwa na Bandari ile kwani ina manufaa makubwa Kwa nchi yetu.

Bwawa la Mwl Nyerere tuliambiwa ndiyo mwarobaini wa tatizo la umeme nchini. Kulingana na hali ilivyo kwa sasa wakati wowote tutaambiwa, kulingana na mabadiliko ya tabia ya nchi umeme wa kutegemea maji siyo ishu. Nalo likapigwa pending.

Ni Nani mkweli kati ya hawa wote?? Mimi sina jibu kwani wenye uwezo na mamlaka ya kupitia mikataba yote ni Wabunge.

Bunge lenyewe ndiyo hilo. Limegeuzwa kuwa kichaka cha kupitishia mawazo ya mtu mmoja kwa mgongo wa Serikali.

Bila kuwa na Katiba Mpya itakayompunguzia Rais Mamlaka/Madaraka basi hatutaweza kuwa na Mihimili mitatu itakayoweza kujisimamia yenyewe bila kuingiliana ktk kutekeleza majukumu yao.
 
Huyu 'Jamaa' alikuwa mwongo na muovu kwa mambo mengi; lakini huwezi ku'dismiss' kila kitu alichokisema kuwa kweli hakikuwepo kwenye mkataba huo.

Hawa wanaochochea sasa hivi bandari ijengwe kwa njia yoyote ile, hawa nao ni waovu kama huyo jamaa kwa njia zao wenyewe, kama siyo waovu zaidi ya Magufuli.

Bandari ya Bagamoyo ni muhimu sana kwa nchi hii, na ni muhimu ijengwe, lakini umuhimu huo ni lazima ulindwe kwa manufaa ya nchi yetu.
Kalamu1 ndugu yangu bandari ya Bagamoyo ni uwekezaji wa hovyo kuliko uwekezaji mwingine wowote wa hovyo uliofanyika katika nchi yetu. Ni bora hilo eneo litumike kwa kilimo (kama linafaa kuliko kuwapa hao wachina. Wachina hawaji kucheza makida na wana mkakati mkali sana. Mradi ukiendelea kuna uwezekano mkubwa kabisa vizazi vijavyo vikajaanzisha vita vya kumuondoa mchina. Ni hatari kubwa kabisa kuikabidhi nchi nyingine lango la bandari ya nchi walimiliki. Watafanya chochote wanachotaka, wataingiza na kutoa chochote wanachotaka bila wa kuwauliza. Hata mimi Magufuli bado nasema alikuwa rais mbovu sana lakini kwenye hili la bandari alikuwa sahihi kabisa. Samia anahaha usiku na mchana ili ijengwe lakini atakuja kuingia kwenye rekodi kama rais aliyeuza nchi yetu. Najua wachina wanamwaga fedha nyingi sana kwa kila mtu anayeonekana ni kikwazo kwa sababu wanajua watapakuja kupata faidi kubwa na muda mrefu. Hili jambo linatakiwa lipinngwe kwa nguvu zote.
 
Huyu 'Jamaa' alikuwa mwongo na muovu kwa mambo mengi; lakini huwezi ku'dismiss' kila kitu alichokisema kuwa kweli hakikuwepo kwenye mkataba huo.

Hawa wanaochochea sasa hivi bandari ijengwe kwa njia yoyote ile, hawa nao ni waovu kama huyo jamaa kwa njia zao wenyewe, kama siyo waovu zaidi ya Magufuli.

Bandari ya Bagamoyo ni muhimu sana kwa nchi hii, na ni muhimu ijengwe, lakini umuhimu huo ni lazima ulindwe kwa manufaa ya nchi yetu.
Mkuuu mikataba umeisoma na umeiona?
 
Watanzania wengi tuwepesi wa kusahau na tunazowea mateso kwa haraka sana. Ninaamini kwenye bandari ya Bagamoyo tunaenda kupigwa kama ambavyo Kenya wamepigwa.

Muda ni mwalimu mzuri na hakimu wa haki.

Let's sit back and watch the unfolding of the events
Kwani ni lazima tukubali 'kuigwa'?
"...to sit back and watch...", ndio kukubali kwenyewe huko.

No, we cannot just sit back and watch, we will do everything in our power to stop these ruffians.

Kenya walipigwa kwenye SGR, na sehemu nyingi nyingine, lakini kidogo sasa wameanza nao kutoka tongotongo.

Umesikia wanavyofurumusha 'wapigaji' kwenye shirika lao la umeme "Kenya Power and Transmission co"?
Kinachoshangaza, wakati wao waking'amua jinsi wanavyonyongwa na wawekezaji wa miradi ya ufuaji umeme, sisi ndio kwanza tunachangamkia upigaji huo!
Ina maana sisi hatujifunzi lolote.
 
Back
Top Bottom