Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

You actually think that’s a good idea?

Mtu aje kujenga hotel kwenye kiwanja chako bila kukulipa ata senti moja,

Biashara ikianza wewe usipate chochote.

Anarudisha faida ya ujenzi ndani ya miaka 5 lakini hataki umdai chochote mpaka baada ya miaka 20.

Asilipe kidi yoyote kwa serikali ndani ya muda huo.

Sehemu ya kiwanja chako ulichomkatia baada ya kujenga kama kuna spare space huna say. Akitaka na yeye anaweza muuzia mtu mwingine afanye uwekezaji wowote kwa masharti kama uliyompa yeye?

Yote hayo kwa sababu kaajiri ndugu zako kwenye kazi za uhudumu (kutandika vitanda, usafi, kutunza maua, na nyingine zisizo na skills).

You actually think that is a good investment? Kama bado lazima utakuwa na matatizo.

Hao ni wa kwenda TIC tu serikali isipoteze muda na hao watu, useless kweli kweli.
Mfano wako ni irrelevant kabisa

Hvi unafahamu mradi wa trillion 20+ ? Faida zake ni kama kiwanja cha hoteli?

Faida za mradi wa bagamoyo ni mtambuka sio za moja kwa moja kma kodi n.k. kumbuka sheria zetu za uwekezaji zinataka serikali ipewe 16% shares, kampuni itunze pesa zake walau 25% kama sikosei benki za ndani, haya local content inataka ajira za wabongo kwa zile nafasi ambazo kuna Mtanzania ana skills hizo n.k hizo ni direct tu

Sasa multiplier effect ni kwamba SGR itaongeza volume ya mizigo, ATCL itakuwa na route nyingi zaidi, makampuni ya bima na logistics/maritime kama yote yatahamia TZ so yatalipa kodi hayo na kutoa ajira lukuki. DSE itaongezeka listed companies hivyo kuchochea Capital markets, benki zitaongeza deposits hivyo ukwasi kutanuka.

Jamani Multiplier effect itakuza mradi wa bagamoyo kwa nchi nzima tusikariri kodi na ajira tu!! Fikirieni jinsi mradi utakaribisha miradi mingine mizito zaidi
 
Kwa hili la bagamoyo Port nahisi bado tulipaswa kulipa kipaumbele cha kipekee.
Tumeangalia Zaidi upande wetu lakini tumeshindwa kuangalia upande wa wanaotoa fedha za kuijenga.
Kwa hali ya kawaida dola bilioni 10 siyo kitu cha mchezo mchezo.
Tulipaswa kuangalia pia yafuatayao:
  • Biashara za kando zitakazo anzishwa(adjacent businesses).
  • Viwanda vitakavyoanzishwa.
  • Nafasi za ajira kwa watu wetu.
  • Kupanuka kwa mji hadi kuwa jiji kwa Bagamoyo.
Kuhusu vipengele vya mkataba nafikiri kulikuwa na nafasi ya kujadiliana na kufikia muafaka kwani nia yao nafikiri ilikuwa kulinda mtaji wao na kupata faida walioitarajia.
Tulitakiwa kujua pia namna ya Bandari nyingine kama Rotterdam,Hong Kong n.k. zinavyoendeshwa.
Tutambue kuwa nchi yetu ni kubwa na tunahitaji maendeleo ya haraka ya watu wetu.
kulinda mtaji kwa kuzuia maendeleo ya sehemu nyingine?bagamoyo kuwa jiji kungemsaidia nn mtu wa ruvuma,kigoma,rukwa nk.huo mkataba bora MAGU aliuona na ukawa void ab initio vinginevyo mabeberu wangetumaliza kabisa.
 
Kubwa zaidi kuhusu ukweli wa mkataba hakuna anayejua pia ata magu mm binafsi siwezi kuthibitisha maelezo yake hadi niuone mkataba unavyosema na mahitaji ya mkataba ndio nitajua ukweli wa mkataba
 
Mfano wako ni irrelevant kabisa

Hvi unafahamu mradi wa trillion 20+ ? Faida zake ni kama kiwanja cha hoteli?

Faida za mradi wa bagamoyo ni mtambuka sio za moja kwa moja kma kodi n.k. kumbuka sheria zetu za uwekezaji zinataka serikali ipewe 16% shares, kampuni itunze pesa zake walau 25% kama sikosei benki za ndani, haya local content inataka ajira za wabongo kwa zile nafasi ambazo kuna Mtanzania ana skills hizo n.k hizo ni direct tu

Sasa multiplier effect ni kwamba SGR itaongeza volume ya mizigo, ATCL itakuwa na route nyingi zaidi, makampuni ya bima na logistics/maritime kama yote yatahamia TZ so yatalipa kodi hayo na kutoa ajira lukuki. DSE itaongezeka listed companies hivyo kuchochea Capital markets, benki zitaongeza deposits hivyo ukwasi kutanuka.

Jamani Multiplier effect itakuza mradi wa bagamoyo kwa nchi nzima tusikariri kodi na ajira tu!! Fikirieni jinsi mradi utakaribisha miradi mingine mizito zaidi
Ndio tatizo la mods wa JF kuunganisha threads zenye premise tofauti kisa topic ni moja.

Hiyo point imekuja kutokana na kwamba kulikuwa na mada usiku wa kuamkia leo inayotoa hints za elements za mkataba wenyewe ambazo TPA inazikataa kwa mujibu wa mkurugenzi wao aliotelewa hapo. Na aliongea points za msingi sana.

Ungesikiliza kwanza hiyo clip uone the logic behind my point. Isitoshe hayo mengine yote uliyo orodhesha yanaweza fanyika separately bila ya ubia wa serikali hao wachina wakipitia TIC be it multipliers zingine ulidhoorodhesha hapo not sure if you can back them back up conclusively.

Umejiuliza kwanini wanataka kufanya huo uwekezaji wa biashara zingine nyuma ya kivuli cha mradi wa bandari?
 
Uliuona wap huo mkataba mkuu usiongee kiushabiki
Hakukuwa na mkataba, bado walikuwa kwenye negotiation jiwe akakurupuka tu. Kwanza pesa hiyo sio tunakopa sisi Bali CHINA MERCHANT ndio walikuwa wanakopa kutoka Serikali ya Oman kupitia Exim bank ya China. Unajua kuna watu wanaongea upuuzi sana haeajui kitu. Hakuna hela tulikuwa tunakopa pale. Ile ni concession agreement.
 
Ndio tatizo la mods wa JF kuunganisha threads zenye premise tofauti kisa topic ni moja.

Hiyo point imekuja kutokana na kwamba kulikuwa na mada usiku wa kuamkia leo inayotoa hints za elements za mkataba wenyewe ambazo TPA inazikataa kwa mijibu wa mkurugenzi wao aliotelewa hapo. Na aliongea points za msingi sana.

Ungesikiliza kwanza hiyo clip uone the logic behind my point. Isitoshe hayo mengine yote uliyo orodhesha yanaweza fanyika separately bila ya ubia wa serikali hao wachina wakipitia TIC. Umejiuliza kwanini wanataka kufanya uwekezaji huo nyuma ya kivuli cha mradi wa bandari?
Yule ni mjinga sana, aliongea vile baada ya kuona meko hautaki mradi. Mnadhani mama Samia Hana akili kuurudisha? Hakina hata Mkataba uliosainiwa walikuwa bado kwenye stage ya negotiations, sasa mtu gani anapewa briefing ya tulipofikia then anakurupuka tu kwa vyombo vya habari wakati negotiation inaendelea???

Alikuwa against miradi ya wachina sababu alikuwa na mambo yake kwa waturuki. Unaanzaje kuwapa miradi mikubwa waturuki hawana hela???

Angalia SGR ilivyowashinda waturuki maana walijifanya Wana hela ya kujenga wakafika stage ikawashinda wakaanza kukimbia mmoja mmoja mradi ulisimama muda sana ila hakuna aliyeongea mzee ikabidi akope hela .

Mambo mengine alikuwa anakurupuka sana.
 
Mradi wa bandari ya Bagamoyo ni ovyo na Kakoko gave an honest outtake on the concerns.
 
Mradi wa bandari ya Bagamoyo ni ovyo na Kakonko gave an honest outtake on the concerns.
Kwanza anaitwa Kakoko sio Kakonko. Hayo mengine sitaki kubishana nawe maana unaonekana wewe ni mjuaji.
 
Kwanza anaitwa Kakoko sio Kakonko. Hayo mengine sitaki kubishana nawe maana unaonekana wewe ni mjuaji.
Sana tu mods wametoa clip yake kwenye mada husika, ningekuwekea alichosema na mchango wangu kwenye mada nyingine ya bandari. Ungeona kuna 80% ya similarities kati ya alichosema huyo Kakoko na nilichoandika on the concerns.

Why tulifanana because investments analysis zina logical deduction zake. Yeye katumia alichoona kutokana na matakwa ya TPA na mimi kwa kuangalia where that $10 will be invested bila ya hata kujua details zote.

Ni mkataba mmbovu mno.
 
Tupe reference mkuu
Mods wana matatizo sana wameitoa ile clip kabisa. Mada ya jana ilianzia post #288 ilikuwa ya Britannica.

Jamaa walipounganisha uzi asubuhi wameitoa na clip yake na sikumbuki jamaa aliitoa kwenye you tube channel gani.
 
Mods wana matatizo sana wameitoa ile clip kabisa walipounganisha uzi asubuhi na sikumbuki jamaa aliitoa kwenye you tube channel gani.
Iv youtube ni reference ya kisomi mkuu tunataka document zinazoprove ubaya wa mkataba
 
Iv youtube ni reference ya kisomi mkuu tunataka document zinazoprove ubaya wa mkataba
YouTube ni watu wa magu tu hao wameongea pia kwann umuhukumu jk kwa kusikiliza upande mmoja tu mbona hujaskiliza upande wa jk according to natural justice kwhy usiseme eti mradi ni mbaya kwa kusikiliza upande mmoja pia hatujui mahitaj ya mkataba yapo vp
 
Iv youtube ni reference ya kisomi mkuu tunataka document zinazoprove ubaya wa mkataba
Mkurugenzi wa TPA anapoongea anakuwa ni authority on the subject, kwa sababu yeye ndie lead negotiator au ana set agenda na anakuwa briefed as the negotiations evolve.
 
YouTube ni watu wa magu tu hao wameongea pia kwann umuhukumu jk kwa kusikiliza upande mmoja tu mbona hujaskiliza upande wa jk according to natural justice kwhy usiseme eti mradi ni mbaya kwa kusikiliza upande mmoja pia hatujui mahitaj ya mkataba yapo vp
JK ajaacha mkataba rasmi nadhani mpaka anaondoka kulikuwa hakuna full commitment from the government.
 
Mkurugenzi wa TPA anapoongea anakuwa ni authority on the subject, kwa sababu yeye ndie lead negotiator au anakuwa briefed as the negotiations evolve.
Mkurugenzi wa TPA hawezi akawa against na mkuu wa nchi bcz ameteuliwa na mkuu wa nchi
 
Mkurugenzi wa TPA hawezi akawa against na mkuu wa nchi bcz ameteuliwa na mkuu wa nchi
Yeye ajazungumza alichosema mkuu wa nchi kwanza hiyo clip ya Magufuli on post number 1 na hoja za mkurugenzi azifanani kabisa for the most part.
 
Back
Top Bottom