Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

Hakuna kuchelewa hivyo ni visingizio kwani mwizi akikuibia redio yako na kufanikiwa kutoka nayo nje ya nyumba yako basi una haki na hiyo redio hapo nitamdharau magu akilifumbia macho swala LA gesi na mafuta
Anaweza kufuta hata SAA hii akiamua BT umeshawai kujiuliza fidia ya kuwalipa hao majamaa au unaongea hapa ka mtoto mdogo..??? Tushukuru tu amewai hili LA bandari mungu yu mwema. Ila jk aseee daa mungu amsamehee aseee afu wanakuja watu wanasema tunakukumbuka babaaa.. Kua kichaa sio lazma uokote makopo
 
Wakati kenya imebaki majivu[emoji16]
Lamu Port inamalizika, Bagamoyo imesimama.

SGR Kenya inafanya Kazi, SGR Tz imekwama.

KQ bado inaruka na kutua Kila mahali Hadi NY, ATCL inaota kutu na haina hata betri.

GDP Kenya $100b, Tz $6b ....Sasa ni gani ni Majivu???? redeemer wewe ni kichwa maji.
 

SGR kenya inendeshwa kwa hasara.

GDP haiakisi maisha ya wakenya,99$bn na mnashindwa ku fund shughuli ndogo ndogo.

Kq nayo ina run under loss, wakati mkiwa na ndege tatu tu[emoji16][emoji16].

Lamu port[emoji116][emoji116][emoji116]
 
Alimaanisha katika mradi huo kuna hela kadhaa tumekopa na kadhaa za ndani ... Kiswahili cha kisukuma hicho hajakosea mzee

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Kiswahili nakielewa vizuri.
Mandugu zako hapa JF kwanini kila siku kutangaza, 'na pesa yetu'.. 'hatukopi chochote'. 'Pesa ya ndani'. etc.
 

Wacha kutafuta excuses.
Hio ni pesa ingejenga barabara. Mashule, hospitali nk.
 
Utaalamu gani mlionao wakati mnajenga madaraja yanayovunjika kila siku, elimu gani mliyonayo mnashindwa hata kufanya negotiation za maana kwenye mkataba wa SGR? Uhuru amekopa mpaka mmeharibu credit rating ya nchi yenu, sasa hivi mmekuwa hamkopesheki, hiyo ni elimu au utumbo?
Huo umasikini unaupima kwa kipimo gani? Watu wanamiliki ardhi, hawafi njaa, utasemaje masikini?
Hivi kwa akili yako unafikiri Magu anaweza kujiharibia dili zake mwenyewe kwa haya anayofanya sasa au unajiongelea tuu? Ni kweli CCM ilikuwa na kikundi kilichooza ila kuna ambao walikuwa wasafi. Wale wachafu wameshaondolewa na mirija yao inazidi kukatwa na uzuri wa Tanzania hatukatai uozo uliopo, ndiyo maana Magu anaendelea kuweka mambo wazi bila kulindana.

Kwa upande mwingine nyinyi wenzetu hamtaki kukubali kuwa wakikuyu mnalindana, mko radhi nchi ididimie ilmradi mkikuyu mwenzenu anatawala. Na mimi nawafahamu vizuri kwa kuwa nakaa na wakikuyu, huwezi kunidanganya kitu. Uhuru anaharibu nchi lakini anayesemwa ni Ruto na sasa hivi mmeanza kampeni ya kumchafua Ruto na kuhakikisha haingii ikulu, japo kuwa walikubaliana na Uhuru achukue kijiti.
 
Zetu ni white elephant, je zenu ni Nini tukianzia na;
Bagamoyo?
SGR iliokwama?
GDP $61b?
ATCL inaota kutu JNIA?
Budget yenu ya donations and Grants kutoka kwa mabeberu?
 
Zetu ni white elephant, je zenu ni Nini tukianzia na;
Bagamoyo?
SGR iliokwama?
GDP $61b?
ATCL inaota kutu JNIA?
Budget yenu ya donations and Grants kutoka kwa mabeberu?

Bagamoyo imesitishwa mpaka ikaguliwe upya.

Subiri sgr ya umeme EA.

GDP yetu, iko 40 saa hii.
 
Hahahaha, kila mfumo lazima ujengwe juu ya sheria madhubuti. Ujinga huu unatisha, I cry for tou man.
Nimekupa mfano rahisi wa jinsi tulivyo na mfumo mzuri wa sheria za barabarani lakini watu hawaufuati. Ajali zinatokea kwa kuwa madereva wana overtake kwenye "solid line" na kushindwa kuzuia ajali isitkee pale kunapokuwa na gari upande wa pili. Mifumo ipo lakini watu hawaifuati, sasa katiba pekee bila kuondoa uozo kwanza itasaidia nini?
 
Kiongozi hili linafikirisha sana, ni kweli aliwasifia sasa sijui hakuona, mbaya zaidi alikua katika baraza wakati wanapitisha
Wakiambiwa mikataba ipelekwe Bungeni ijadiliwe kwa manufaa ya Taifa zima CCM wanakataa mana wanajua Kuwa mawaziri wananufaika na 10% .
Sasa akitokea mtu akagomea 10% ndio wanaona kuwa kuna tatizo japo walikuwepo mikataba mibovu ya kuliibia taifa ikifanyika miaka nenda rudi.

Kama ni kweli walikua wanatuibia basi kuanzia sasa waipeleke mikataba Bungeni ijadiliwe au Mkuu wa nchi aunde Kamati ya watu waadilifu nchi kutoka kila Mkoa bila kijali vyama ,dini, kabila na jinsia. Wawe wanajadili namna bora ya kuwapata wawekezaji na changamoto zilizopo .
Mana ni kweli pia kuwa Wabunge wanahongwa ili mikataba ipite kiholela.
Wabunge wanaangalia maslahi ya vyama vyao na matumbo yao.

Lakini Rais akiunda kikosi nje ya wabuge walioko kisiasa muda wote ataweza kufika anapopalenga Siku zote.
 
Bagamoyo imesitishwa mpaka ikaguliwe upya.

Subiri sgr ya umeme EA.

GDP yetu, iko 40 saa hii.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Bure kabisa. Bagamoyo tuliwaambia haitawezekana, mkatokwa povu ona Sasa😁😁.
SGR ya umeme haitawezekana pia...najua utatokwa povu ka ile ya Bagamoyo ila ndio ukweli.
GDP imewashinda hapo hauna ubishi, We the Kings of EAC bana.
 
Sisi sio kama Kenya yenu hiyo ya upigaji.

Sgr mpaka sasa iko 40% bila mkopo, sasa sijui haitawezekana kivip??

Hiyo bagamoyo siyo kwamba haiwezekani, tumeikataa sisi wenyewe.

Hiyo GDP wala haitishughulishi, ni kitu ya kubrag huko kenya sio nchi nyingine.
 
Bure kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ 40% na magu mwenyewe kasema "tumekopa na pia pesa za ndani"

Ati Bagamoyo mnaikataa wenyewe??? Hamna unalolijua la Nchi yenu wewe Kama wengi wafia chama hufuata bendera.

Ya GDP hamuwezani nayo kusema ukweli, itawachukua miaka zaidi ya 200 kutika hapo Kenya ilipo.
 
Kitu pekee unachoweza ni kupiga kelele.
 
Wacha kutafuta excuses.
Hio ni pesa ingejenga barabara. Mashule, hospitali nk.
Sasa wewe shida yako nini! Kwani ume ambiwa hizo pesa zimetafunwa! hiyo ardhi ikiuzwa barabara na shule zitajengwa zaidi. Kila week scandal mpya ya ufisadi inaibuka Kenya kama dose. Piga hesabu za shule na hosp ambazo zingejengwa kwa pesa zinazopotea kwenu.
 
Kwa mdomo wa kuumba maneno ya uwongo umejaliwa ndugu
 
Sgr imetelekezwa na wachina porini, KQ ipo ICU, Dhahabu ya mwarabu mmekwiba. Deni la taifa halilipiki, njaa kila kona. Ufisadi umeua uchumi,
 
Kuna issue za mikataba ka hii mawaziri hawaambiwi kitu wanasema tuu serikal imekaa na wataalamu then wakasign kumbe wamesign uozo ... Msimlaumu waziri yeyote kwan aliesign hajui kua hayo mashart ni ya ajabuu
Mkuu sikutegemea mtu kama wewe ujibu hii hoja the way ulivyoijibu,hata mtu wa grade 5 atakuona ni mwongo,na hakuna kitu kibaya kama kuongea uongo ni tabia chafu sana,always ukweli utakuacha huru,unapoongelea serikali unamwongelea nani?yaani mkataba mkubwa kama huu waziri mhusika asihusishwe?this is crazy ndio maana tunaitwa ni shit hole country maana tuna watu kama wewe,next time sio lazima ujibie uzi kama unajiona ni mmoja wa wateule wachache wanaoishi ndani ya AC,THIS IS BUSH IT KUNIJIBU KAMA HIVI.
 
Mikataba ilifichwa sasa imeanza kuwekwa wazi so atutaki bagamoyo port over

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…